Ana nini huyu Mke wangu?

Mkuu uko mbali huko ni bora ukapunguza migogoro midogo midogo.
 
Mmmh
 
Mbona Boli linatembea unatuangusha wanaume wenzio? Shemeji anakupenda sana na kakuonea huruma mpaka kakuletea beki 3 umkunje utakavyo bado unalalamika, Mungu akupe zawadi gani tena zaidi ya kuwa na mke anayekujali?
 
Aaah kwann hasikii? Na kama alikua ana maoni tofauti si angesema kuliko kunipiga counter attack
It seems huko ulipo huna kazi ya kukuweka busy. Sawa hajafanya ulichosema, je ameua? Yaani umemuacha mkeo mnaongea naye ungemuuliza why umefanya kitu fulani, unakuja kutushughulisha Sisi?! Stop being petty
 
Kama unasafrii kwa bus kutoka nchi asilia kwemda nchi ya kazi/unapotafutia chakula usiseme uko nje ya nchi. Andika tu nafanya kazi/nasafiri kwenda nchi jirani.

Nje ya nchi unapanda ndege.
 
Wanawake ni Pasu kichwa mkuu, sie wengine tukianza kufunguka na yetu tutaishia kuzidisha hasira tu
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…