Anaandika Askofu Bagonza: Nadhani Tunajichanganya? Au ni Mimi Najichanganya?!

Kwani anayosema hayana ukweli?

Acha kuwa mjinga kama machawa ya ccm
 
Ccm inapenda wapuuzi kama nyie
Na inawatumia kama mipira ya malaya
 
โ€œkuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuumaโ€.
 
 
bwaa shekhe mbona unapaniki...
Hamna anae panic hapa ? Kwani umenitisha ?
unaponiambia mimi mwizi, fisadi bila ushahidi na bila kufuata taratibu za kisheria kuhalalisha wiz na ufisadi wangu unaleta athari gani?
Hapo sasa nani kaonewa? Kama sio mwizi, fisadi alipaswa kwenda mahakamani kudai aliyetoa tuhuma hizo atoe ushahidi alio nao.
Kuna taratibu gani za kisheria za kuhalalisha wizi na ufisadi? Kama hizo zinakuathiri, mahakamani ndio mahali pa kupata haki yako. Na mahakama sio lazima ile inayoongozwa na Jaji. Nenda kwenye ahakama ya jamii ukiwa na ushahidi kuwa umesingiziwa. Jamii itakutendea haki.
Nini chanzo cha uvunjifu wa haki?
Ni mabavu. Mtu kuwa na uwezo wa kunyang'anya haki ya mwenzanke bila kuwajibishwa.
Bagonza amewahi kuwataharisha CDM kwa matamshi yao na kuwashauri wafuate utaratibu?
Matamshi yapi? Na utaratibu gani unataka wafuate kabla ya kusema kuwa wapinzani wao ni mafisadi?
sipo kumponda najaribu kuangalia upande unaosemwa ili tuone chanzo ni nini? vip Tutakinukisha? Bagonza alishauri nini hapo...
Tangu lini mtu kusema watakinukisha imekuwa ni kumnyima mwenzake Haki? Na ulitaka Bagonza aseme nini kwenye tamko la kisiasa? Hivi unaweza kulinganisha tamko hilo na lile la kuwa tutawapoteza linapotolewa na mtu mwenye uwezo wa kuwapoteza kweli?

Chadema hawana uwezo wa kuzuia chama chochote haki yake ya kufanya siasa lakini CCM wana uwezo huo na wanautumia vizuri tu.

Wale wanyonge wasio na uwezo wa kusimamia haki yao ndio wanaomuhitaji huyu Askofu. Mwenye nguvu anachohitaji ni kusifiwa sio kutetewa.

Amandla...
 
Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hii nchi ni kama Channel ya katuni
 
Hapa waziri wako mkuu alimuita na kuzungumza na kitima. Unataka kusema serikali haina akili? Kaeni chini mjue mnashika lipi maana mmechanganyikiwa
 
Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hii nchi ni kama Channel ya katuni
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mmenda kuomba makafiri waombee nchi? Hii serikali na machawa wote akili zimeyumba
 
Kwani anayosema hayana ukweli?

Acha kuwa mjinga kama machawa ya ccm
yanaweza yakawa yanaukweli au yasiwe na ukweli Unaijua shabaha yake ni nini? nani ananyimwa haki? Je, huyo anayewanyima haki wenzio siku naye akinyimwa haki yake atasimama na kuzungumza? ndo maana nikasema simuelewi yuko upande gani..kwani ishu zake nyingi n kuzungumzia serikali+CCM....Je, hao anaowaona wanaonewa hawajawahi kukosea? alichukua hatua gani.
 
Aione the small show ntwara

TAARIFA RASMI YA CPT ( The Catholic Professionals of Tanzania) Kuhusu taarifa ya Waziri wa mambo ya nje Balozi Kombo huko Vatican:

Kwa Niaba ya: Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki โ€“ Tanzania

Dr Nagaikaya Thomas M (PhD)
The Catholic Professionals of Tanzania
Dar es Salaam
Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

โฉ๏ธโฉ๏ธKuhusu: Masuala ya Mahusiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Vatican, Utendaji wa Kanisa Katoliki, na Heshima ya Mifumo ya Kikanisa:

โœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธChama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki, kikiwa ni jumuiya ya wasomi na wataalamu wanaolihudumia Kanisa kwa uaminifu wa kiakili, kimaadili na kitaasisi, kinatoa taarifa hii rasmi ya maoni kwa umma, kwa nia ya kuweka sawa uelewa wa kweli kuhusu namna Kanisa Katoliki linavyofanya kazi, nafasi yake katika jamii, na mahusiano yake na dola na taasisi za kimataifa.

โœ…๏ธ1. Kanisa Katoliki ni Taasisi ya Kisheria, Kihierarkia na Kitaaluma:

โš›๏ธโš›๏ธKanisa Katoliki si jukwaa la maigizo ya kisiasa wala taasisi inayoweza kushughulikiwa kwa mbinu za mkato. Ni taasisi ya kale yenye sheria zake (Canon Law), nidhamu ya juu, na muundo wa ki-hierarchical unaoheshimika duniani kote. Maamuzi, mawasiliano na mahusiano yake hufuata taratibu zilizoainishwa wazi na zinazotambulika kimataifa.

โœ…๏ธโœ…๏ธ2. Vatican na Njia Halali za Mawasiliano ya Kikanisa:

๐ŸŽ“๐ŸชฃNi msimamo wetu wa kitaaluma kwamba Vatican haifanyi kazi nje ya mifumo halali ya Kanisa. Papa, kama Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, hapokei taarifa, wala kufanya maamuzi, nje ya sheria na taratibu za Kanisa.
๐Ÿ’„๐Ÿ’„Kwa Tanzania, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ndicho chombo halali cha mawasiliano kati ya Kanisa la ndani na Vatican. Kupitia TEC, taarifa huandaliwa, kuchambuliwa na kuwasilishwa kwa uhalali unaotambulika.
๐Ÿงช๐Ÿงช Ndani ya mfumo huo, Katibu Mkuu wa TEC (Padre Dr Charles Kitima) ndiye msimamizi wa kitaasisi wa mtiririko wa taarifa na mawasiliano ya Kikanisa.

๐Ÿ”‹๐Ÿ”‹Kwa hiyo, kuruka ngazi na kutegemea mapokezi chanya Vatican bila kupitia TEC ni kinyume na utamaduni, sheria na utendaji wa Kanisa Katoliki.

โœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ3. Kanisa Katoliki Lina Mtandao Mpana wa Taarifa Duniani:

โฉ๏ธโฉ๏ธNi muhimu kukumbusha kuwa Kanisa Katoliki lina mtandao mpana wa taarifa katika kila kona ya dunia kupitia Maaskofu, Mabalozi wa Kitume (Apostolic Nuncios), taasisi za haki za binadamu, mashirika ya kijamii, na waamini wake.

๐ŸŽฉ๐ŸŽฉKwa mantiki hiyo, Kanisa haliwezi kudanganywa kwa simulizi za juu juu, propaganda au taarifa zilizochujwa.

โœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ4. Wajibu wa Serikali Kuheshimu Kanisa na Kulinda Heshima yake:

๐Ÿ“๐Ÿ“Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinasisitiza kuwa heshima ya Kanisa huanza ndani ya nchi. Kabla ya jitihada zozote za kidiplomasia nje ya mipaka, kulikuwa na wajibu wa kushughulikia:

๐Ÿ“ŒVitendo vya uzushi, kejeli na udhalilishaji wa Kanisa Katoliki vinavyofanywa na makundi yanayojitambulisha kama โ€œWakatolikiโ€ bila uhalali wa Kikanisa,

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒMakundi ambayo kwa matendo yao yanalichafua Kanisa na kuwapotosha waumini,

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒNa kuhakikisha kuwa hakuna ulinzi wa kisiasa unaotolewa kwa vitendo vinavyodhalilisha Kanisa, hata pale wahusika wanapojificha chini ya taswira za vyama vya siasa.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHatua hizi ndizo zingetoa ishara ya kweli kwamba serikali na chama tawala vinajitenga wazi na udhalilishaji wa Kanisa Katoliki.

โœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ5. Msisitizo wa Vatican: Haki, Ukweli na Uponyaji wa Taifa:

๐Ÿซ‘๐Ÿซ‘Kwa mujibu wa taarifa sahihi zilizopo Vatican, msimamo wa Holy See umejikita katika misingi ya haki na ukweli, ikiwemo:

๐Ÿ“ŒWito wa kuitisha uchunguzi huru wa kimataifa na wa haki kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29 na siku zilizofuata,

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒNa kusisitiza kuwa matokeo ya uchunguzi huo yatumike kuliponya taifa, kukuza maridhiano, na kurejesha imani ya wananchi katika mifumo ya haki na demokrasia.

๐ŸŽš๐ŸŽš๐ŸŽšHuu ni msimamo wa kudumu wa Kanisa Katoliki duniani kote: amani ya kweli haiwezi kujengwa bila haki.

6. Hitimisho:

โœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธChama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinapenda kuweka bayana kwamba:

โœ๏ธKanisa Katoliki halirukiwi ngazi; linaheshimiwa kwa kufuata taratibu zake,

โœ๏ธโœ๏ธHalifanyi kazi kwa picha, kauli au shinikizo la kisiasa,

โœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธNa litasimama daima upande wa haki, ukweli, na utu wa binadamu, hata pale msimamo huo unapokuwa mgumu kisiasa.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒTunatoa wito kwa wadau wote serikali, vyama vya siasa na jamii kwa ujumla kuliheshimu Kanisa Katoliki kama taasisi huru, ya kimaadili na ya kitaasisi, na kushirikiana nalo kwa uaminifu, ukweli na kwa njia halali.

Imetolewa na:
Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki (CPT)โ€“ Tanzania
๐ŸŽš๐ŸŽš๐ŸŽšKwa ajili ya haki, ukweli, na ustawi wa Taifa.
 
Ikulu hakuna washauri. Papa mnamfuata wa nn, alete wawekezaji? aseme kuna amani. Mkaona mwakilishi wake hamtaelewana bora muende ngazi zajuu! Hamjui hizo ogisi hazichukui atua yute bila kuwasiliana, kushauriana
 
Kwahiyo Papa naye kavaa nini kwenye hiyo picha? Mbona una akili za hovyo hivi?
Waislamu huvaa nini kwenye ibada? Yaani unajitia dole kunako na kulilamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ