Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
1737642422774.jpg

1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.

2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani walitumia risasi, sasa wanaongozwa na “kichaa mstaarabu”.

3. Tundu Lissu siyo Trump. Kwa Trump mihimili inajitegemea na ina nguvu katika kufanya kazi. Hapa kwetu, mihimili inategemea kusemwa na kusimangwa ndipo ifanye kazi.

4. Mmemsahau Spika Makinda? “Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tunaondokaje hapa”. Natamani Tulia atulie mbele ya Makinda apate twisheni ya kufanya kazi na Lissu.

5. Lissu na Freeman wameelewana, lakini wapambe wao wamenuniana. Tatizo lilikuwa moja; Lissu aliwamudu wapambe wake; Freeman wapambe walimmudu.

6. Yaliyotokea ni somo kwetu: Wapambe wa Lissu waliweza kumuambia ni wakati gani sahihi wa kuingia uwanjani, lakini wapambe wa Freeman hawakuweza kumwambia ni wakati gani sahihi wa kutoka uwanjani.

7. Kama kuna makosa yoyote Freeman aliyafanya kwa muda wa miaka 21 aliyoongoza Chadema, basi makosa yake yote ameyafuta kwa kubonyeza kitufe kimoja tu: kuendesha uchaguzi kwa uwazi na kukubali matokeo.

8. Lissu kachukua 'mkopo mkubwa’ na wenye riba kubwa sana, lakini kazungukwa na vibaka. Je atamudu kurejesha mkopo huo?

9. Neno langu kwa Mbowe: Umejenga heshima kubwa, umeondoka kwa heshima kubwa. Ilinde heshima hiyo. Ukistaafu, staafu.

10. Neno langu kwa Lissu: Mahaba ya kutongozea ni tofauti na mahaba ya kuishi na mke katika ndoa. Jitathmini.!
 
View attachment 3211239

Akili kubwa Sana Askofu
 
Maneno kuntu kutoka kwa PhD holder. Lissu na Mbowe ishini na maneno ya Baba Askofu.
 
Tweet ya @madarakanyerere akieleza mazungumzo yake na mama yake (Mama Maria Nyerere) kuhusu uchaguzi wa CHADEMA. Ukisoma between lines utagundua Chadema imetoa somo la demokrasia kwa wengi. Hata kule chama chakavu wanatamani aina hii ya demokrasia ila hawaeezi kusema. Nani amfunge paka kengele? Hawakubaliani na mfumo wa kutoa fomu moja kama hati ya kifo. Lakini watafanyaje sasa? 🤷‍♂️ Samaki ana mengi ya kusema ila maji yamejaa mdomoni. Mama Maria kaamua kutoa ya moyoni. Blessed mama 🙏🏽
1737642708456.jpg
 
Hiyo no 3 imenikumbusha kipindi AG ni George Masaju anasema anakubaliana na mapendekezo ya Mh Andrew Chenge lakini hakubaliani na ya Mh Lissu.
Spika makinda anamuita tena Mh Chenge , Chenge anasema anaungana na yabaki mapendekezo ya Mh Lissu ni Bora zaidi. Bunge lote ni vicheko tu. 🤣🤣
 
Kama hujasimuliwa basi wewe ni legend 😀
 
View attachment 3211239
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.

2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani walitumia risasi, sasa wanaongozwa na “kichaa mstaarabu”.

3. Tundu Lissu siyo Trump. Kwa Trump mihimili inajitegemea na ina nguvu katika kufanya kazi. Hapa kwetu, mihimili inategemea kusemwa na kusimangwa ndipo ifanye kazi.

4. Mmemsahau Spika Makinda? “Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tunaondokaje hapa”. Natamani Tulia atulie mbele ya Makinda apate twisheni ya kufanya kazi na Lissu.

5. Lissu na Freeman wameelewana, lakini wapambe wao wamenuniana. Tatizo lilikuwa moja; Lissu aliwamudu wapambe wake; Freeman wapambe walimmudu.

6. Yaliyotokea ni somo kwetu: Wapambe wa Lissu waliweza kumuambia ni wakati gani sahihi wa kuingia uwanjani, lakini wapambe wa Freeman hawakuweza kumwambia ni wakati gani sahihi wa kutoka uwanjani.

7. Kama kuna makosa yoyote Freeman aliyafanya kwa muda wa miaka 21 aliyoongoza Chadema, basi makosa yake yote ameyafuta kwa kubonyeza kitufe kimoja tu: kuendesha uchaguzi kwa uwazi na kukubali matokeo.

8. Lissu kachukua 'mkopo mkubwa’ na wenye riba kubwa sana, lakini kazungukwa na vibaka. Je atamudu kurejesha mkopo huo?

9. Neno langu kwa Mbowe: Umejenga heshima kubwa, umeondoka kwa heshima kubwa. Ilinde heshima hiyo. Ukistaafu, staafu.

10. Neno langu kwa Lissu: Mahaba ya kutongozea ni tofauti na mahaba ya kuishi na mke katika ndoa. Jitathmini.!
Nahisi kama nchi inaweza kubadilika kwa muda mfupi...

Bado maneno ya Padre Kitima na Mufti Mkuu au angekuwepo yule Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, simkumbuki jina, mweupe hivi, nadhani angetoa neno. I wish hizi taasisi za kidini zitoe maneno ya busara mapema.
 
View attachment 3211239
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.

2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani walitumia risasi, sasa wanaongozwa na “kichaa mstaarabu”.

3. Tundu Lissu siyo Trump. Kwa Trump mihimili inajitegemea na ina nguvu katika kufanya kazi. Hapa kwetu, mihimili inategemea kusemwa na kusimangwa ndipo ifanye kazi.

4. Mmemsahau Spika Makinda? “Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tunaondokaje hapa”. Natamani Tulia atulie mbele ya Makinda apate twisheni ya kufanya kazi na Lissu.

5. Lissu na Freeman wameelewana, lakini wapambe wao wamenuniana. Tatizo lilikuwa moja; Lissu aliwamudu wapambe wake; Freeman wapambe walimmudu.

6. Yaliyotokea ni somo kwetu: Wapambe wa Lissu waliweza kumuambia ni wakati gani sahihi wa kuingia uwanjani, lakini wapambe wa Freeman hawakuweza kumwambia ni wakati gani sahihi wa kutoka uwanjani.

7. Kama kuna makosa yoyote Freeman aliyafanya kwa muda wa miaka 21 aliyoongoza Chadema, basi makosa yake yote ameyafuta kwa kubonyeza kitufe kimoja tu: kuendesha uchaguzi kwa uwazi na kukubali matokeo.

8. Lissu kachukua 'mkopo mkubwa’ na wenye riba kubwa sana, lakini kazungukwa na vibaka. Je atamudu kurejesha mkopo huo?

9. Neno langu kwa Mbowe: Umejenga heshima kubwa, umeondoka kwa heshima kubwa. Ilinde heshima hiyo. Ukistaafu, staafu.

10. Neno langu kwa Lissu: Mahaba ya kutongozea ni tofauti na mahaba ya kuishi na mke katika ndoa. Jitathmini.!
Hii ndio PhD OG sio zile za kupeana kisiasa na kichawa ili baadae nikupe cheo. Kupeana tu no thesis hata moja. Ulishawahi kusikia huko kwa wazungu eti Dr. Trump, Dr. Puttin, Dr. Kim Jon II, Dr. Emmanuel Macron, Dr. Benjamin Netanyahu, Dr. Nyerere, Dr. Olaf Scholz, Dr. Keir Starmer?
 
View attachment 3211239
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.

2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani walitumia risasi, sasa wanaongozwa na “kichaa mstaarabu”.

3. Tundu Lissu siyo Trump. Kwa Trump mihimili inajitegemea na ina nguvu katika kufanya kazi. Hapa kwetu, mihimili inategemea kusemwa na kusimangwa ndipo ifanye kazi.

4. Mmemsahau Spika Makinda? “Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tunaondokaje hapa”. Natamani Tulia atulie mbele ya Makinda apate twisheni ya kufanya kazi na Lissu.

5. Lissu na Freeman wameelewana, lakini wapambe wao wamenuniana. Tatizo lilikuwa moja; Lissu aliwamudu wapambe wake; Freeman wapambe walimmudu.

6. Yaliyotokea ni somo kwetu: Wapambe wa Lissu waliweza kumuambia ni wakati gani sahihi wa kuingia uwanjani, lakini wapambe wa Freeman hawakuweza kumwambia ni wakati gani sahihi wa kutoka uwanjani.

7. Kama kuna makosa yoyote Freeman aliyafanya kwa muda wa miaka 21 aliyoongoza Chadema, basi makosa yake yote ameyafuta kwa kubonyeza kitufe kimoja tu: kuendesha uchaguzi kwa uwazi na kukubali matokeo.

8. Lissu kachukua 'mkopo mkubwa’ na wenye riba kubwa sana, lakini kazungukwa na vibaka. Je atamudu kurejesha mkopo huo?

9. Neno langu kwa Mbowe: Umejenga heshima kubwa, umeondoka kwa heshima kubwa. Ilinde heshima hiyo. Ukistaafu, staafu.

10. Neno langu kwa Lissu: Mahaba ya kutongozea ni tofauti na mahaba ya kuishi na mke katika ndoa. Jitathmini.!
Safi sana.
 
Back
Top Bottom