Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 10 nimerudia mara 10 kuisomaView attachment 3211239
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.
2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani walitumia risasi, sasa wanaongozwa na “kichaa mstaarabu”.
3. Tundu Lissu siyo Trump. Kwa Trump mihimili inajitegemea na ina nguvu katika kufanya kazi. Hapa kwetu, mihimili inategemea kusemwa na kusimangwa ndipo ifanye kazi.
4. Mmemsahau Spika Makinda? “Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tunaondokaje hapa”. Natamani Tulia atulie mbele ya Makinda apate twisheni ya kufanya kazi na Lissu.
5. Lissu na Freeman wameelewana, lakini wapambe wao wamenuniana. Tatizo lilikuwa moja; Lissu aliwamudu wapambe wake; Freeman wapambe walimmudu.
6. Yaliyotokea ni somo kwetu: Wapambe wa Lissu waliweza kumuambia ni wakati gani sahihi wa kuingia uwanjani, lakini wapambe wa Freeman hawakuweza kumwambia ni wakati gani sahihi wa kutoka uwanjani.
7. Kama kuna makosa yoyote Freeman aliyafanya kwa muda wa miaka 21 aliyoongoza Chadema, basi makosa yake yote ameyafuta kwa kubonyeza kitufe kimoja tu: kuendesha uchaguzi kwa uwazi na kukubali matokeo.
8. Lissu kachukua 'mkopo mkubwa’ na wenye riba kubwa sana, lakini kazungukwa na vibaka. Je atamudu kurejesha mkopo huo?
9. Neno langu kwa Mbowe: Umejenga heshima kubwa, umeondoka kwa heshima kubwa. Ilinde heshima hiyo. Ukistaafu, staafu.
10. Neno langu kwa Lissu: Mahaba ya kutongozea ni tofauti na mahaba ya kuishi na mke katika ndoa. Jitathmini.!
...

Lucas wewe una utaahira fulani (sorry to say this) ama una aina fulani ya mtindio wa ubongo na hujijui kama una hizo shida..Hoja namba nane nilishaisema humu jukwaani lakini Wafuasi wa Lissu walishindwa kunielewa na wakapinga kwa kutukana katusi. Nilisema kwa kuandika andiko humu jukwaani kuwa Lissu amezungukwa na watu wa Hovyo sana.
Sasa ndio mjue kuwa mimi naishi mbele ya wakati. Ipo siku mtanielewa vizuri na kuanza kububujikwa na machozi ya majuto kwa kutofanyia kazi ushauri wangu.
Chochote watakachofanya mtaona ni kwa sababu hawajaenda shule na hupenda fujo magaidi.Viongozi wa wavaa kobazi tu ndio hua wanafungamana na shetani ccm, sijui kutokwenda shule ndio sababu? Hawajifunzi kwa viongozi wenzao wa upande wa pili?
10. Baba askofu uzoefu kaupatia wapi, ikiwa aruhusiwiView attachment 3211239
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.
2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani walitumia risasi, sasa wanaongozwa na “kichaa mstaarabu”.
3. Tundu Lissu siyo Trump. Kwa Trump mihimili inajitegemea na ina nguvu katika kufanya kazi. Hapa kwetu, mihimili inategemea kusemwa na kusimangwa ndipo ifanye kazi.
4. Mmemsahau Spika Makinda? “Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tunaondokaje hapa”. Natamani Tulia atulie mbele ya Makinda apate twisheni ya kufanya kazi na Lissu.
5. Lissu na Freeman wameelewana, lakini wapambe wao wamenuniana. Tatizo lilikuwa moja; Lissu aliwamudu wapambe wake; Freeman wapambe walimmudu.
6. Yaliyotokea ni somo kwetu: Wapambe wa Lissu waliweza kumuambia ni wakati gani sahihi wa kuingia uwanjani, lakini wapambe wa Freeman hawakuweza kumwambia ni wakati gani sahihi wa kutoka uwanjani.
7. Kama kuna makosa yoyote Freeman aliyafanya kwa muda wa miaka 21 aliyoongoza Chadema, basi makosa yake yote ameyafuta kwa kubonyeza kitufe kimoja tu: kuendesha uchaguzi kwa uwazi na kukubali matokeo.
8. Lissu kachukua 'mkopo mkubwa’ na wenye riba kubwa sana, lakini kazungukwa na vibaka. Je atamudu kurejesha mkopo huo?
9. Neno langu kwa Mbowe: Umejenga heshima kubwa, umeondoka kwa heshima kubwa. Ilinde heshima hiyo. Ukistaafu, staafu.
10. Neno langu kwa Lissu: Mahaba ya kutongozea ni tofauti na mahaba ya kuishi na mke katika ndoa. Jitathmini.!
Mbona daktari mwenyewe amjeza matusi yasiyo na lazima?View attachment 3211239

Siyo mkatoliki.10. Baba askofu uzoefu kaupatia wapi, ikiwa aruhusiwi
No. 3. Unworking government machineriesView attachment 3211239

Una mjua sheikh Ponda?Viongozi wa wavaa kobazi tu ndio hua wanafungamana na shetani ccm, sijui kutokwenda shule ndio sababu? Hawajifunzi kwa viongozi wenzao wa upande wa pili?