GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pumbavu hao sio wakuwasikiliza, wanaona umuhimu wa CDM leo baada ya kukatwa, Je wangepitishwa wangeweza kuuona umuhimu wa CDM, kwao CDM option "B" kwenye maslahi yao na sio ideology yakuwaokoa Watanzania na nyonya damu CCM.

Ningewaona ni wenye akili timamu kama huko huko wangeunga NO REFORM NO ELECTION mpaka wafukuzwe uanachama.

Binafsi ningetaka ubunge wa CCM majimbo fulani mawili ningeweza kuyapata bure kabisa lakini sio mpumbavu kiasi hicho kuendekeza njaa na kuwasaliti watanzania wanaoteseka na madhira ya CCM.

ndani ya viunga vya Basra - Iraq.
 
Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Nahisi watu wengi wangekufa au kupata ulemavu wa kudumu kama chadema wangeshiriki zaidi hata ya uchafuzi wa Magufuli kaka. Angalia trend ya matukio ya mauaji na utekaji wa wakosoaji na hakuna anayekemea kwenye uchaguzi na Chadema ingekuwa worse
 
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya
Hatujali tunataka Akina Babu Tale, Baba Levo, mwijaku, Mwana FA na kina Jay B wawepo. Kwani hata wakiwa akina Mwigulu tupu kuna tofauti gani?
 
Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Usidanganyike bro, hakuna uchaguzi ila kuna uchafuzi. Kwa maelezo ya Mama Abdul kwa MaRC kuwapa ushirikiano CCM inamaanisha hakuna jimbo litakaloenda upinzani.

Binafsi nawaunga mkono CDM na ni bora wabunge wateuliwe ndani ya CCM then waapishwe basi.
 
Nahisi watu wengi wangekufa au kupata ulemavu wa kudumu kama chadema wangeshiriki zaidi hata ya uchafuzi wa Magufuli kaka. Angalia trend ya matukio ya mauaji na utekaji wa wakosoaji na hakuna anayekemea kwenye uchaguzi na Chadema ingekuwa worse
Viongozi wapya wa chadema wanajali maisha na uhai wa Wanachama na Wananchi. Hali ingekuwa mbaya mno.
 
Itoshe kusema tunaelekea pazuri sana kunapambazuka


No reform No Election
 
Wadai na Urais watu wachukue fomu wachujwe😄, samia anaogopa Nini yeye ni mwenyekiti wa chama Chao ...aweke mezani mpira watu washindane kwa utimamu wa akili zao ili wajumbe waone nani atawafaa na rahisi kwao kupigia debe 😂😂
 
No reform
No election.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Michezo ya kisiasa hiyo wanapelekwa Chaumma ili kiwe na nguvu, ni mkakati wa kubadilisha Chama kikuu cha upinzani
 
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unaenda kutimia Mama mkoloni kaburu toka Zanzibar ataenguliwa kwenye mbio za Urais
 
Michezo ya kisiasa hiyo wanapelekwa Chaumma ili kiwe na nguvu, ni mkakati wa kubadilisha Chama kikuu cha upinzani
Chaumaccm ni vigumu kiwe imara kwani kimejaa watu wa hovyo tupu wana majungu fitina umbea ushirikina uzinzi na vitendo haramu vya kishetani
 
Hakuna jipya, yalikuwepo....yapo.....yatakuwepo
 
Back
Top Bottom