Pumbavu hao sio wakuwasikiliza, wanaona umuhimu wa CDM leo baada ya kukatwa, Je wangepitishwa wangeweza kuuona umuhimu wa CDM, kwao CDM option "B" kwenye maslahi yao na sio ideology yakuwaokoa Watanzania na nyonya damu CCM.
Ningewaona ni wenye akili timamu kama huko huko wangeunga NO REFORM NO ELECTION mpaka wafukuzwe uanachama.
Binafsi ningetaka ubunge wa CCM majimbo fulani mawili ningeweza kuyapata bure kabisa lakini sio mpumbavu kiasi hicho kuendekeza njaa na kuwasaliti watanzania wanaoteseka na madhira ya CCM.
ndani ya viunga vya Basra - Iraq.