Chakandumuz ni tawi la ccmHii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Kaandamane wewe wakukate kichwa Mama yako afurahi.Bora watu wangekufa na kuwa viwete kuliko kupelekeshwa na mwanamke hivi. Chadema kususia uchaguzi ni usaliti kwa watanzania
Kuna mahali umeona nimeandika maandamano? Ndio maana una sura mbaya kama kondom iliyo tumikaKaandamane wewe wakukate kichwa Mama yako afurahi.
Sioni uchaguzi huu mwaka.Hii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Vipi walipata wenyeviti wa mitaa wengi uchaguzi wa mwaka jana? Au unafanya watu kama hawana kumbukumbu sio?Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Nafikiri BoniYai angeenda mbele zaidi kwa kuwataja kabisa waliompigia simu ili kudhibitisha madai yai yake. Vinginevyo itaonekana kama uzushi kama zushi zingine.Hii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Vipi ungeaingia road kukiwasha au ingekuwajeBora watu wangekufa na kuwa viwete kuliko kupelekeshwa na mwanamke hivi. Chadema kususia uchaguzi ni usaliti kwa watanzania
Unaweza kuwa sahihi mkuu. Swali kwako, wewe ungepewa nafasi ya kugombea nafasi yoyote kwenye uchunguzi huu ungekubali? Na kupitia chama gani?Bora watu wangekufa na kuwa viwete kuliko kupelekeshwa na mwanamke hivi. Chadema kususia uchaguzi ni usaliti kwa watanzania
Day dreamNO REFORMS NO ELECTION!!
NO REFORMS NO ELECTION!!Day dream
hapo kwenye "msingi" ndo inategemea na wajumbe waliopo...hakuna anayekatwa bila sababu ya msingi
msingi ni subjectivehapo kwenye "msingi" ndo inategemea na wajumbe waliopo...
Nyuma ya keyboard kama kawaida yetuVipi ungeaingia road kukiwasha au ingekuwaje
Nadhani alikuwa mtoto wakati watu wanakufa na kuwa viwete kwenye utangazaji matokeo ya Lema,Mdee,Sugu,Ndesamburo na Mnyika pale Ubungo.Angewatangaza nani