Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kama kachomolewa Majaliwa wewe nani usifanyiwe ushetwani?
Mbona una hasira?Sasa wewe inakuhusu nini.Mambo ya CCM acha wafu wazikane wenyewe.CHADENA yenyewe ni tia maji tia maji,halafu unapoteza muda kuandika na kudadavua yanayoendelea ndani ya chaguzi za CCM. Sasa huko CHADEMA hakuna tena siasa ?Ama kweli,ashakum lakini,Nyani haoni Kundule.
Kwa hiyo wameshaelewa pia kuwa chama cha yule Mzee wa ubwabwa na Mzee wa TAKATAKA si lolote si chochote bali ni rubber stamp tu ya kuwahadaa mataifaHii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Ni wakuupuuzwa tu huyo IDIOTOna huyu asiyejielewa
Of course utajua tu umuhimu wa mfumo wa haki pale utaksponyimwa haki yakoHii hapa taarifa yake

hapa hutamuona
exactly!Unaitwa unafiki, wangeupata wasingemtafuta
Deep down wanajua lissu is right
Bora watu wangekufa na kuwa viwete kuliko kupelekeshwa na mwanamke hivi. Chadema kususia uchaguzi ni usaliti kwa watanzaniaNahisi watu wengi wangekufa au kupata ulemavu wa kudumu kama chadema wangeshiriki zaidi hata ya uchafuzi wa Magufuli kaka. Angalia trend ya matukio ya mauaji na utekaji wa wakosoaji na hakuna anayekemea kwenye uchaguzi na Chadema ingekuwa worse
Huwezi kufanya siasa in isolation, peke yako, you need to interact with others, know their positions, integrity yao, mikakati yao, what is going on in the inner circles of your opponent, etc, etc.... wewe seems hujui kitu duniani, particularly dunia ya siasaSasa wewe inakuhusu nini.Mambo ya CCM acha wafu wazikane wenyewe.CHADENA yenyewe ni tia maji tia maji,halafu unapoteza muda kuandika na kudadavua yanayoendelea ndani ya chaguzi za CCM. Sasa huko CHADEMA hakuna tena siasa ?Ama kweli,ashakum lakini,Nyani haoni Kundule.
Mama yako aliyekuzaa kwa njia ya haja kubwa ndio jinga.Jinga kabisa, kwa uchaguzi upi??
search.......Naomba link ikimuonyesha
Mwenyekiti na Katibu Mkuu CCM wakisema kwamba wabunge wastaafu lazima wawepo kwenye tatu bora.
ChaliMsigwa wa Iringa je?
Bishweko ni takataka za majani yaliyofunika ndizi wakati wa kupika.... au nakosea?CHADEMA
Kwamba kila anaetia nia ni lazma ashinde kwenye mchujo? Basi ata Kamanda Mbowe inabidi alalamike kua huko CHADEMA akutendewa haki ilibidi ashinde yeye
Kama ni no reforms no elections tungesnzia CHADEMA. Uamuzi wa kusudis Uchaguzi kuvuruga uchaguzi hauingii akilini. Ni ubabe wa hotheads wawil watatu.
Kumbuka hata Dr slaa alikatwa ccm ndio akaja kuhamia chadema. Inawezekana moto ungewaka sana kwenye huu uchaguzi. Kwa mfano January, Mpina, Gambo, Gekul na wengineo wangehamia chademaHapana
Walikuwa sahihi tu ,hao ht wangeenda cdm Bado wangepita watu wao wanaowataka ccm
wewe tuache hujawahi kuwa na akiliNaona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe
Kwahiyo ndugu takataka zinaweza kufunika chakula? JIBIDISHE KAMANDA ila tunaweza kushinda mwakaBishweko ni takataka za majani yaliyofunika ndizi wakati wa kupika.... au nakosea?