Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Mpina amekatwa kwa sababu gani ya msingi?hakuna anayekatwa bila sababu ya msingi

Tena machungu wanayotapitia ni madogo sana waende wakajiajili mtaji wanao tayari.Wengi wao ni sale waliopita bila kupingwa Mwaka 2020.
Ask them how does it feel.
Eeeh kunakucha kwa kasi sasa,yetu macho na masikio 😂😂Hii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Hao wabunge wengi wangepatikana kwa njia gan ikiwq kura zinaibwa? Kura feki zinaingizwa kinyemelaChadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Naomba link ikimuonyeshaHii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Kabisaa,sisi hayatuhusu,ngoma yao wacheze wenyeweeWatajuana wenyewe huko huko.
HapanaChadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Sasa wewe inakuhusu nini.Mambo ya CCM acha wafu wazikane wenyewe.CHADENA yenyewe ni tia maji tia maji,halafu unapoteza muda kuandika na kudadavua yanayoendelea ndani ya chaguzi za CCM. Sasa huko CHADEMA hakuna tena siasa ?Ama kweli,ashakum lakini,Nyani haoni Kundule.Hii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Jinga kabisa, kwa uchaguzi upi??Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Acha waliweka vichwa, walikuwa wapiga meza na kikwazo Kwa demokrasiaHii hapa taarifa yake
Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya.
Ujumbe wao kwa pamoja ni....
1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa sababu wanajua CHADEMA haishiriki Uchaguzi Mkuu
2.Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na Mkoa hawaangalii ubora wa wagombea bali mifuko ya wagombea kwa neno kwamba ukipita katika vikao vyao tayari wewe ni mbunge ni kama wanauza ubunge.
3.Kukosekana kwa CHADEMA katika uchaguzi Mkuu wa 2025 kumefanya Viongozi wa CCM wanaochuja wagombea kutojali ubora wa wagombea wanasema hata jiwe linashinda mwaka huu.
4.Wagombea wanasema nchi inaenda kubaya kama CHADEMA itaendelea kukosekana katika uchaguzi basi wananchi wasitarajie viongozi bora katika mazingira haya.
5.Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
6.Viongozi wa Juu wanatumia vikao vya mchujo vya CCM ngazi ya wilaya na mkoa kama njia ya kulipa visasi kwa wapinzani wao wa kisiasa waliotofautiana nao zamani.
7.Duniani hakuna utaratibu ambao wagombea wanakatwa baada ya kujaza fomu kabla ya kusikilizwa sera zao na mipango yao.
8.Fedha, vimemo na kujuana ndiyo kigezo kikubwa cha jupitisha majina matatu ya wagombea ngazi ya Wilaya na Mkoa.
9.Maelezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Katibu Mkuu kwamba ni lazima Wabunge waliomaliza muda wao wawe katika tatu bora hayazingatiwi na inaonekana uongozi wa CCM Taifa ulitumia kauli hiyo kama njia ya kulainisha wabunge wapitishe bajeti kiulaini.
10.Hatimaye mwisho wote wanakubaliana na CHADEMA kwamba hapa tulipofika kama nchi ili tupate chaguzi za haki na Viongozi bora ndani na nje ya vyama basi "NO Reforms No Election" haiepukiki.
Boniface Jacob
Wanawazidi Ccm, na ndio chama tawalaChaumaccm ni vigumu kiwe imara kwani kimejaa watu wa hovyo tupu wana majungu fitina umbea ushirikina uzinzi na vitendo haramu vya kishetani
'Inge' hata 2020 mlisema hivo hivoChadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"Hii hapa taarifa yake