GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chakandumuz ni tawi la ccm

Mtapewa makapi, mtaruhusiwa kushirki…. Mtapata ruzuku

Kwisha
 
Endeleeni na no reforms no election yenu!

Unatarajia watu kati ya 20 watia nia watapita wote?kwani hawakujua kwamba majina ni MATATU?

Acha Uchochezi Malafyale!Nyie endeleeni kususia tu wenzenu mmewapa tiketi ya kwenda Dodoma kirahisii sana!

Baada ya Uchaguzi ndio Mtaona technical mistake ya No Reforms No Election na wakati huo Uchaguzi Mkuu utakuwa umefanyika na no reforms no election itakuwa Haina maana baada ya October 2025!
 
Mbona ni siku nyingi tunajua jamaa huwa wanagugumiaga tu.
 
Sioni uchaguzi huu mwaka.
 
Chadema ingepata wabunge wengi kwenye huu uchaguzi. Ila walikurupuka sana kwa uamuzi wao
Vipi walipata wenyeviti wa mitaa wengi uchaguzi wa mwaka jana? Au unafanya watu kama hawana kumbukumbu sio?
 
Nafikiri BoniYai angeenda mbele zaidi kwa kuwataja kabisa waliompigia simu ili kudhibitisha madai yai yake. Vinginevyo itaonekana kama uzushi kama zushi zingine.
 
Bora watu wangekufa na kuwa viwete kuliko kupelekeshwa na mwanamke hivi. Chadema kususia uchaguzi ni usaliti kwa watanzania
Unaweza kuwa sahihi mkuu. Swali kwako, wewe ungepewa nafasi ya kugombea nafasi yoyote kwenye uchunguzi huu ungekubali? Na kupitia chama gani?
 
kura za wajumbe zinaandaliwa wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi wa ndani mwaka jana, kama hukushiriki wajumbe watakata jina tu hamna jinsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…