Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufupi aliyeua watu na kuteka watu kumshambulia lissu, magufuli amabye makonda marekani walisema alinyima haki za watu kuishi, ulishawahi kuona anawekewa vikwazo? Swala la vikwazo hilo halipo labda ubane maslahi ya wazungu ila maslahi yao yakienda sawa huwezi ukaona vikwazoLikely scenario: CCM wanajua wazi kuwa yule Mama yao Samia Hassan Suluhu hana ubavu wa kupambana na CADEMA 2025; hata alivyo tu hawezi kuongea, hawezi hata kutunga hoja. Fikiria, JPM alipwaya vile kwa Lissu, Samia ataweza? Totally impossible, sasa CCM wanaanza long propaganda battle, kutafuta kila uongo kuhalalisha kila kitu, Uongo unaosemwa na CCM sasa hivi very systematic, umepangwa, ni strategy.
Wakiongea mara mia Mbowe ni Gaidi mwishowe wananchi wata kubali, ndiyo huu mtindo wa utawala, 60 years CCM wametufikisha hapa, badala ya maendeleo ni kutafuta mbinu watawale milele, hapo wameishiwa, alishindwa JPM, tuone huyu mama anategemea nini. Mbowe ni mbali sana.
Westerners wataweka sanctions,mama inaelekea kishaambiwa asijali, kuna nchi ile, iliyofanya Zimbabwe iwe banana republic ndiyo inampa kicwa huyu mama.
But not now, watanzania wa sasa siyo wale wa 1947. New generation!
Mbowe na team waliafanya makosa makubwa sana kudhani ati huyu mtu afadhalikuliko JPM . Kamgeuka JPM ambaye alikuwa Makamu na kila kitu walikuwa wanafanya pamoja, she is satanic in nature! Un trustable, ukimwamini huyu ujuwe wewe IQ lazima below 50, na ndiyo watanzania wengi.