Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija kila kukicha, tunakosea sana kukiita Chama kikuu cha Upinzani.

Nilisikiliza press ya rafiki yangu Mnyika kufuatia mahojiano ya Mama yetu mpendwa Samia na BBC, hadi mwisho wa press yake sikuelewa alilenga kusema nini, analalamika Rais kaingilia Uhuru wa Mahakama, while Rais alisema 'la mahakamani sio lake', halafu hapohapo anasema wanamuomba Rais afute kesi ya Mbowe, kama sio kuchanganyikiwa ni nini? Wasimshinikize Rais wetu kuingilia Uhuru wa Mahakama ili wapate la kusema. Tumewashtukia.

Leo Mwenyekiti nae katoa Boko la mwaka kutokea Ukonga, jambo la ajabu kuhusu salamu za Mbowe ni kwamba CHADEMA wana msemaji na viongozi wengine, lakini taarifa kwa Wanachama inatolewa na James Mbowe, Mwanafamilia asiye na cheo pale ufipa, Ndio maana tuliimba sana kuwa CHADEMA ni Saccos ya Bwana yule. Chama hakina taratibu, kinaendeshwa kama magenge ya mihadarati (Cartels) ya huko Mexico. Si bora kifutwe tu.

Halafu hawa watu walisema Mbowe kakamatwa kwasababu ya Katiba Mpya, kumbe Mbowe mwenyewe anajua walinzi wake walikamatwa mwaka mmoja uliopita, amekiri kwa maneno yake, Swali la kujiuliza ni moja tu, kama kweli Mbowe hakuhusika na Ugaidi kwanini CHADEMA hawajawahi kuzungumzia issue ya walinzi wa Mbowe kukamatwa hata siku moja? Kama kweli Mbowe hakuhusika, hao walinzi wake wangetetewa kama Dreva wa Lisu na Mdude kwanzia walipokamatwa.

Akili za kuambiwa changanya na zako, IGP Sirro aliwashauri wanachama wa CHADEMA waende wakamuulize Mwenyekiti wao kuhusu kesi inayomkabili, lakini wakakaidi halafu wakalipa watu wakaandamane Mahakamani, wakadhibitiwa, sasa leo Mbowe kupitia salamu zake kakiri kutambua kesi, kakiri anakabiliwa na kesi ya Ugaidi, nguvu za kusema Mbowe sio gaidi zinatoka wapi? Wamezoea kupinga kila kitu sasa wanapinga hadi msimamo wa Mwenyekiti wao.

All in All, Bwana yuke kachemka kutuma salamu ambazo zinakinzana na madai ya wanachama wa chama chake na chembechembe za kadharau uongozi wa Chama chake kwa kumpa taarifa Mwanae (Mtoto wa ndygu yake) wakati wakina John Mrema hawana cha kufanya, wanazurura tu kwenye bar za Mikocheni.
Chama cha magaidi wa Ufipa kifutwe tu.
 
Likely scenario: CCM wanajua wazi kuwa yule Mama yao Samia Hassan Suluhu hana ubavu wa kupambana na CADEMA 2025; hata alivyo tu hawezi kuongea, hawezi hata kutunga hoja. Fikiria, JPM alipwaya vile kwa Lissu, Samia ataweza? Totally impossible, sasa CCM wanaanza long propaganda battle, kutafuta kila uongo kuhalalisha kila kitu, Uongo unaosemwa na CCM sasa hivi very systematic, umepangwa, ni strategy.

Wakiongea mara mia Mbowe ni Gaidi mwishowe wananchi wata kubali, ndiyo huu mtindo wa utawala, 60 years CCM wametufikisha hapa, badala ya maendeleo ni kutafuta mbinu watawale milele, hapo wameishiwa, alishindwa JPM, tuone huyu mama anategemea nini. Mbowe ni mbali sana.

Westerners wataweka sanctions,mama inaelekea kishaambiwa asijali, kuna nchi ile, iliyofanya Zimbabwe iwe banana republic ndiyo inampa kicwa huyu mama.

But not now, watanzania wa sasa siyo wale wa 1947. New generation!

Mbowe na team waliafanya makosa makubwa sana kudhani ati huyu mtu afadhalikuliko JPM . Kamgeuka JPM ambaye alikuwa Makamu na kila kitu walikuwa wanafanya pamoja, she is satanic in nature! Un trustable, ukimwamini huyu ujuwe wewe IQ lazima below 50, na ndiyo watanzania wengi.
Mnatunga hoja au mnajenga hoja?
 
Chadema mmeonywa miaka mingi sana sasa vuneni mlichopanda
 
Pambaneni na hoja ya HP na si HP. Hili la Mnyika hata mimi nilijiuliza saaaana, alikuwa anataka nini?
Bado hamjaacha propaganda za kizee, karne hii ya 21 bado mnatumia mbinu hizo hizo outdated?
 
Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija kila kukicha, tunakosea sana kukiita Chama kikuu cha Upinzani.

Nilisikiliza press ya rafiki yangu Mnyika kufuatia mahojiano ya Mama yetu mpendwa Samia na BBC, hadi mwisho wa press yake sikuelewa alilenga kusema nini, analalamika Rais kaingilia Uhuru wa Mahakama, while Rais alisema 'la mahakamani sio lake', halafu hapohapo anasema wanamuomba Rais afute kesi ya Mbowe, kama sio kuchanganyikiwa ni nini? Wasimshinikize Rais wetu kuingilia Uhuru wa Mahakama ili wapate la kusema. Tumewashtukia.

Leo Mwenyekiti nae katoa Boko la mwaka kutokea Ukonga, jambo la ajabu kuhusu salamu za Mbowe ni kwamba CHADEMA wana msemaji na viongozi wengine, lakini taarifa kwa Wanachama inatolewa na James Mbowe, Mwanafamilia asiye na cheo pale ufipa, Ndio maana tuliimba sana kuwa CHADEMA ni Saccos ya Bwana yule. Chama hakina taratibu, kinaendeshwa kama magenge ya mihadarati (Cartels) ya huko Mexico. Si bora kifutwe tu.

Halafu hawa watu walisema Mbowe kakamatwa kwasababu ya Katiba Mpya, kumbe Mbowe mwenyewe anajua walinzi wake walikamatwa mwaka mmoja uliopita, amekiri kwa maneno yake, Swali la kujiuliza ni moja tu, kama kweli Mbowe hakuhusika na Ugaidi kwanini CHADEMA hawajawahi kuzungumzia issue ya walinzi wa Mbowe kukamatwa hata siku moja? Kama kweli Mbowe hakuhusika, hao walinzi wake wangetetewa kama Dreva wa Lisu na Mdude kwanzia walipokamatwa.

Akili za kuambiwa changanya na zako, IGP Sirro aliwashauri wanachama wa CHADEMA waende wakamuulize Mwenyekiti wao kuhusu kesi inayomkabili, lakini wakakaidi halafu wakalipa watu wakaandamane Mahakamani, wakadhibitiwa, sasa leo Mbowe kupitia salamu zake kakiri kutambua kesi, kakiri anakabiliwa na kesi ya Ugaidi, nguvu za kusema Mbowe sio gaidi zinatoka wapi? Wamezoea kupinga kila kitu sasa wanapinga hadi msimamo wa Mwenyekiti wao.

All in All, Bwana yuke kachemka kutuma salamu ambazo zinakinzana na madai ya wanachama wa chama chake na chembechembe za kadharau uongozi wa Chama chake kwa kumpa taarifa Mwanae (Mtoto wa ndygu yake) wakati wakina John Mrema hawana cha kufanya, wanazurura tu kwenye bar za Mikocheni.
Kwanza Bongo hakuna mahakama huru,mahakama zote zinafata maagizo ya shetani wa magogoni,
Pili Mbowe kukili kuwa ana kesi ya ugaidi,sio hoja kwani polisiccm wamemkamata kwa tuhuma gani?si za ugaidi.
Na Swala kwamba salamu za Mbowe,kutoka gerezani,kutolewa na mwanae sio hoja,Mzee Mandela alituma salamu kwa wananchi wa SA,kupitia kwa mtoto wake,binti wa miaka 17,kipindi hicho,
Raisi Trump,binti yake alikuwa kama mshauri wake binafsi nje ya fedel government,
Kama Chadema haiwatishi,si muiache ife kama cuf,tlp,nccr?inawakosesha raha
 
Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija kila kukicha, tunakosea sana kukiita Chama kikuu cha Upinzani.

Nilisikiliza press ya rafiki yangu Mnyika kufuatia mahojiano ya Mama yetu mpendwa Samia na BBC, hadi mwisho wa press yake sikuelewa alilenga kusema nini, analalamika Rais kaingilia Uhuru wa Mahakama, while Rais alisema 'la mahakamani sio lake', halafu hapohapo anasema wanamuomba Rais afute kesi ya Mbowe, kama sio kuchanganyikiwa ni nini? Wasimshinikize Rais wetu kuingilia Uhuru wa Mahakama ili wapate la kusema. Tumewashtukia.

Leo Mwenyekiti nae katoa Boko la mwaka kutokea Ukonga, jambo la ajabu kuhusu salamu za Mbowe ni kwamba CHADEMA wana msemaji na viongozi wengine, lakini taarifa kwa Wanachama inatolewa na James Mbowe, Mwanafamilia asiye na cheo pale ufipa, Ndio maana tuliimba sana kuwa CHADEMA ni Saccos ya Bwana yule. Chama hakina taratibu, kinaendeshwa kama magenge ya mihadarati (Cartels) ya huko Mexico. Si bora kifutwe tu.

Halafu hawa watu walisema Mbowe kakamatwa kwasababu ya Katiba Mpya, kumbe Mbowe mwenyewe anajua walinzi wake walikamatwa mwaka mmoja uliopita, amekiri kwa maneno yake, Swali la kujiuliza ni moja tu, kama kweli Mbowe hakuhusika na Ugaidi kwanini CHADEMA hawajawahi kuzungumzia issue ya walinzi wa Mbowe kukamatwa hata siku moja? Kama kweli Mbowe hakuhusika, hao walinzi wake wangetetewa kama Dreva wa Lisu na Mdude kwanzia walipokamatwa.

Akili za kuambiwa changanya na zako, IGP Sirro aliwashauri wanachama wa CHADEMA waende wakamuulize Mwenyekiti wao kuhusu kesi inayomkabili, lakini wakakaidi halafu wakalipa watu wakaandamane Mahakamani, wakadhibitiwa, sasa leo Mbowe kupitia salamu zake kakiri kutambua kesi, kakiri anakabiliwa na kesi ya Ugaidi, nguvu za kusema Mbowe sio gaidi zinatoka wapi? Wamezoea kupinga kila kitu sasa wanapinga hadi msimamo wa Mwenyekiti wao.

All in All, Bwana yuke kachemka kutuma salamu ambazo zinakinzana na madai ya wanachama wa chama chake na chembechembe za kadharau uongozi wa Chama chake kwa kumpa taarifa Mwanae (Mtoto wa ndygu yake) wakati wakina John Mrema hawana cha kufanya, wanazurura tu kwenye bar za Mikocheni.
Wachumia tumbo tu nyie
 
USITUTOE KWENYE RELI YA MATAMSHI YAKO KUHUSU CHANJO YA KORONA
 
Polepole katibu mwenezi wa ccm aliyeua na kutesa watu wengi zaidi tangu ccm ianzishwe! Pia aliweka rekodi nzuri ya wezi wa kura uliopindukia kuliko miaka yote tangu tupate uhuru!
 
Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija kila kukicha, tunakosea sana kukiita Chama kikuu cha Upinzani.

Nilisikiliza press ya rafiki yangu Mnyika kufuatia mahojiano ya Mama yetu mpendwa Samia na BBC, hadi mwisho wa press yake sikuelewa alilenga kusema nini, analalamika Rais kaingilia Uhuru wa Mahakama, while Rais alisema 'la mahakamani sio lake', halafu hapohapo anasema wanamuomba Rais afute kesi ya Mbowe, kama sio kuchanganyikiwa ni nini? Wasimshinikize Rais wetu kuingilia Uhuru wa Mahakama ili wapate la kusema. Tumewashtukia.

Leo Mwenyekiti nae katoa Boko la mwaka kutokea Ukonga, jambo la ajabu kuhusu salamu za Mbowe ni kwamba CHADEMA wana msemaji na viongozi wengine, lakini taarifa kwa Wanachama inatolewa na James Mbowe, Mwanafamilia asiye na cheo pale ufipa, Ndio maana tuliimba sana kuwa CHADEMA ni Saccos ya Bwana yule. Chama hakina taratibu, kinaendeshwa kama magenge ya mihadarati (Cartels) ya huko Mexico. Si bora kifutwe tu.

Halafu hawa watu walisema Mbowe kakamatwa kwasababu ya Katiba Mpya, kumbe Mbowe mwenyewe anajua walinzi wake walikamatwa mwaka mmoja uliopita, amekiri kwa maneno yake, Swali la kujiuliza ni moja tu, kama kweli Mbowe hakuhusika na Ugaidi kwanini CHADEMA hawajawahi kuzungumzia issue ya walinzi wa Mbowe kukamatwa hata siku moja? Kama kweli Mbowe hakuhusika, hao walinzi wake wangetetewa kama Dreva wa Lisu na Mdude kwanzia walipokamatwa.

Akili za kuambiwa changanya na zako, IGP Sirro aliwashauri wanachama wa CHADEMA waende wakamuulize Mwenyekiti wao kuhusu kesi inayomkabili, lakini wakakaidi halafu wakalipa watu wakaandamane Mahakamani, wakadhibitiwa, sasa leo Mbowe kupitia salamu zake kakiri kutambua kesi, kakiri anakabiliwa na kesi ya Ugaidi, nguvu za kusema Mbowe sio gaidi zinatoka wapi? Wamezoea kupinga kila kitu sasa wanapinga hadi msimamo wa Mwenyekiti wao.

All in All, Bwana yuke kachemka kutuma salamu ambazo zinakinzana na madai ya wanachama wa chama chake na chembechembe za kadharau uongozi wa Chama chake kwa kumpa taarifa Mwanae (Mtoto wa ndygu yake) wakati wakina John Mrema hawana cha kufanya, wanazurura tu kwenye bar za Mikocheni.
Bwana Chakubamga umeamua kuibukia kwenye unafiki huu baada ya kulikoroga kwa dharau zako kwa mama.

Subiri tu zamu yako ya kunyolewa. Huu unafiki wako safari hii hautakusaidia. Rangi yako tumekwishaijua vizuri.
 
Polepole KM wako ameshasema unashughulikiwa na chama, usimtumie Mbowe ili kuwaonesha CCM wenzio bado uko nao.

Wewe ni msaliti wa chama chako unaemdharau mwenyekiti wako, ya Mbowe iachie mahakama na Chadema wewe hayakuhusu.

Ulivyo mjinga unasema Chadema ni Saccos inayoendeshwa na familia kisa tamko la mwanafamilia ya Mbowe, nikuulize, wewe kwa hili andiko lako ni mwenezi wa CCM? mbona umechukua nafasi ya Shaka? funga mdomo wako.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija kila kukicha, tunakosea sana kukiita Chama kikuu cha Upinzani.

Nilisikiliza press ya rafiki yangu Mnyika kufuatia mahojiano ya Mama yetu mpendwa Samia na BBC, hadi mwisho wa press yake sikuelewa alilenga kusema nini, analalamika Rais kaingilia Uhuru wa Mahakama, while Rais alisema 'la mahakamani sio lake', halafu hapohapo anasema wanamuomba Rais afute kesi ya Mbowe, kama sio kuchanganyikiwa ni nini? Wasimshinikize Rais wetu kuingilia Uhuru wa Mahakama ili wapate la kusema. Tumewashtukia.

Leo Mwenyekiti nae katoa Boko la mwaka kutokea Ukonga, jambo la ajabu kuhusu salamu za Mbowe ni kwamba CHADEMA wana msemaji na viongozi wengine, lakini taarifa kwa Wanachama inatolewa na James Mbowe, Mwanafamilia asiye na cheo pale ufipa, Ndio maana tuliimba sana kuwa CHADEMA ni Saccos ya Bwana yule. Chama hakina taratibu, kinaendeshwa kama magenge ya mihadarati (Cartels) ya huko Mexico. Si bora kifutwe tu.

Halafu hawa watu walisema Mbowe kakamatwa kwasababu ya Katiba Mpya, kumbe Mbowe mwenyewe anajua walinzi wake walikamatwa mwaka mmoja uliopita, amekiri kwa maneno yake, Swali la kujiuliza ni moja tu, kama kweli Mbowe hakuhusika na Ugaidi kwanini CHADEMA hawajawahi kuzungumzia issue ya walinzi wa Mbowe kukamatwa hata siku moja? Kama kweli Mbowe hakuhusika, hao walinzi wake wangetetewa kama Dreva wa Lisu na Mdude kwanzia walipokamatwa.

Akili za kuambiwa changanya na zako, IGP Sirro aliwashauri wanachama wa CHADEMA waende wakamuulize Mwenyekiti wao kuhusu kesi inayomkabili, lakini wakakaidi halafu wakalipa watu wakaandamane Mahakamani, wakadhibitiwa, sasa leo Mbowe kupitia salamu zake kakiri kutambua kesi, kakiri anakabiliwa na kesi ya Ugaidi, nguvu za kusema Mbowe sio gaidi zinatoka wapi? Wamezoea kupinga kila kitu sasa wanapinga hadi msimamo wa Mwenyekiti wao.

All in All, Bwana yuke kachemka kutuma salamu ambazo zinakinzana na madai ya wanachama wa chama chake na chembechembe za kadharau uongozi wa Chama chake kwa kumpa taarifa Mwanae (Mtoto wa ndygu yake) wakati wakina John Mrema hawana cha kufanya, wanazurura tu kwenye bar za Mikocheni.
Polepole ukimwi umeshafika kwenye ubongo anatafutia pa kufia tu
 
Back
Top Bottom