Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
HaijalishiUgomvi wake na chama chake kuhusu chanjo umeisha?
kapiga kwenye mshono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaijalishiUgomvi wake na chama chake kuhusu chanjo umeisha?
Kwa kauli hii anakiri dereva wa Lissu na Mdude walionewa na hawakuhusika tofauti na tuhuma na madai ya jeshi la polisi!Kama kweli Mbowe hakuhusika, hao walinzi wake wangetetewa kama Dreva wa Lisu na Mdude kwanzia walipokamatwa.
Huyo babu polepole, sidhani kama anayafahamu hayo. Akili na uelewa wake ni kibaba. Dunia yake inaishia kuta za lumumba, ya Afrika Kusini atayajulia wapi?Polepole unasema mtoto wa Mbowe kutoa salamu za babaake kutoka jela ni kuendesha chama kama Saccoss ?
Jumapili, Februari 10, 1985, viwanja vya Jabulani, Soweto, tamko la kwanza la Nelson Mandela kwa. unna toka afungwe 1964, akikataa kuachiwa kwa masharti ya kukana na kukoma uhalifu wa kutumia nguvu, akimwambia Rais Peter Botha yeye Rais Bortha ndio aache uhalifu wa kutumia nguvu, ile barua ilisomwa na nani ?????
Likely scenario: CCM wanajua wazi kuwa yule Mama yao Samia Hassan Suluhu hana ubavu wa kupambana na CADEMA 2025; hata alivyo tu hawezi kuongea, hawezi hata kutunga hoja. Fikiria, JPM alipwaya vile kwa Lissu, Samia ataweza? Totally impossible, sasa CCM wanaanza long propaganda battle, kutafuta kila uongo kuhalalisha kila kitu, Uongo unaosemwa na CCM sasa hivi very systematic, umepangwa, ni strategy.
Wakiongea mara mia Mbowe ni Gaidi mwishowe wananchi wata kubali, ndiyo huu mtindo wa utawala, 60 years CCM wametufikisha hapa, badala ya maendeleo ni kutafuta mbinu watawale milele, hapo wameishiwa, alishindwa JPM, tuone huyu mama anategemea nini. Mbowe ni mbali sana.
Westerners wataweka sanctions,mama inaelekea kishaambiwa asijali, kuna nchi ile, iliyofanya Zimbabwe iwe banana republic ndiyo inampa kicwa huyu mama.
But not now, watanzania wa sasa siyo wale wa 1947. New generation!
Mbowe na team waliafanya makosa makubwa sana kudhani ati huyu mtu afadhalikuliko JPM . Kamgeuka JPM ambaye alikuwa Makamu na kila kitu walikuwa wanafanya pamoja, she is satanic in nature! Un trustable, ukimwamini huyu ujuwe wewe IQ lazima below 50, na ndiyo watanzania wengi.
Uungane naye atakapokuwa anafukuzwa CCM kesho.Naungana na MH. Polepole
Adhabu ya Chogolo ipunguzwe kidogo🤣🤣🤣Anasawazisha kwa mama
Hahahaha! Keyboard warrior! Makongamano ya kudai katiba vipi mzee? Mpo kimya sanaa, mlisema mnakiwasha mikoa yote watake wasitakeJaribuni kukifuta chadema ili tugawane fito vizuri yani mtutawale kiseng. Halafu na sehemu yetu ya kutolea dukuduku muifute jaribuni mfurahie shoo.
Kunywa maji utulie mfuasi wa Gaidi, utapaliwa!! Mama ni kipenzi cha westerners, ndiyo maana maigizo yenu ya kipuuzi wameyatupilia mbali!! Yaani westerners wamwekee vikwazo kwa kulifunga gaidi wakati wao kauli mbiu yao ni "War on Terrorism"? Magu na undava wake wote hawakumwekea vikwazo waje wamemwekee mtu anayewasaidia kuyaondoa magaidi mtaani? Leo kapewa dozi mil 17 za Covid na hao unaosema watamwekea vikwazo, it seems wamefurahi gaidi kuwekwa sehemu salama wameamua kumpongeza Samia. BTW kujua kubwatuka majukwaani haina maana ndiyo unajua kuongoza, ingekuwa hivyo Mwijaku/Babalevo wangekuwa viongozi wakubwa muda huuLikely scenario: CCM wanajua wazi kuwa yule Mama yao Samia Hassan Suluhu hana ubavu wa kupambana na CADEMA 2025; hata alivyo tu hawezi kuongea, hawezi hata kutunga hoja. Fikiria, JPM alipwaya vile kwa Lissu, Samia ataweza? Totally impossible, sasa CCM wanaanza long propaganda battle, kutafuta kila uongo kuhalalisha kila kitu, Uongo unaosemwa na CCM sasa hivi very systematic, umepangwa, ni strategy.
Wakiongea mara mia Mbowe ni Gaidi mwishowe wananchi wata kubali, ndiyo huu mtindo wa utawala, 60 years CCM wametufikisha hapa, badala ya maendeleo ni kutafuta mbinu watawale milele, hapo wameishiwa, alishindwa JPM, tuone huyu mama anategemea nini. Mbowe ni mbali sana.
Westerners wataweka sanctions,mama inaelekea kishaambiwa asijali, kuna nchi ile, iliyofanya Zimbabwe iwe banana republic ndiyo inampa kicwa huyu mama.
But not now, watanzania wa sasa siyo wale wa 1947. New generation!
Mbowe na team waliafanya makosa makubwa sana kudhani ati huyu mtu afadhalikuliko JPM . Kamgeuka JPM ambaye alikuwa Makamu na kila kitu walikuwa wanafanya pamoja, she is satanic in nature! Un trustable, ukimwamini huyu ujuwe wewe IQ lazima below 50, na ndiyo watanzania wengi.
Acha kumfananisha Mandela na vitu vya kijingaPolepole unasema mtoto wa Mbowe kutoa salamu za babaake kutoka jela ni kuendesha chama kama Saccoss ?