Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Huyu ni zuzu tu!naona hata uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana!“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji.
…………..
Zuzu kasema yaliyo katika akili yake hebu sema na wewe uliyonayo tuone akili yako ipoje!Huyu ni zuzu tu!naona hata uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana!
Safi sana“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram
…………..
Kwa hiyo yeye alidhani yanga watatuburuza kwa upuuzi wao muda wote?“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram
…………..
Point hii hapa nimechukuakuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana
Htata mimi namuunga mkono. Bora tushuke daraja lakini sio kucheza tena hiyo mechi.Mpuuzi mmoja tuu anaizamisha Yanga bila kujua.
Ni mtu alietoa msimamo mapema kuwa hawatacheza mchezo mwingine wa Ligi.
MTU ALIYETOA MSIMAMO KUWA HAWATACHEZA BAADA YA MAAMUZI YA KISHENZI ANAONEKANA MPUUZI, LAKINI WALIOANDIKA BARUA KUKATAA KUCHEZA MECHI KABLA HATA YA MAAMZI YA KISHENZI WAO NDO WANA AKILI?Mpuuzi mmoja tuu anaizamisha Yanga bila kujua.
Ni mtu alietoa msimamo mapema kuwa hawatacheza mchezo mwingine wa Ligi.
kabisa Mpaka kieleweke..Tutaishabikia hata ikishushwa daraja.Htata mimi namuunga mkono. Bora tushuke daraja lakini sio kucheza tena hiyo mechi.
Mkiendelea kudekezwa ipo siku mtataka kuchagua timu za kucheza nazo na marefa wenu wale wa Namungo.
Sasa umeshasema huchezi taarabu za nini?MTU ALIYETOA MSIMAMO KUWA HAWATACHEZA BAADA YA MAAMUZI YA KISHENZI ANAONEKANA MPUUZI, LAKINI WALIOANDIKA BARUA KUKATAA KUCHEZA MECHI KABLA HATA YA MAAMZI YA KISHENZI WAO NDO WANA AKILI?
you are a great moron
Arafat Haji amekuwa country treasurer wa exim bank nchini Uganda, amekuwa director general Zanzibar insurance sasa ni director general Bank of Zanzibar.Huyu ni zuzu tu!naona hata uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana!
Ajabu sana. Hawa jamaa wanadekezwa sana. Eti sasa hivi Yanga ndio anaonekana hana akili. Wanshondwa hata kujifunza kwa kilichotokea Misri huko kwa Al AhlyMTU ALIYETOA MSIMAMO KUWA HAWATACHEZA BAADA YA MAAMUZI YA KISHENZI ANAONEKANA MPUUZI, LAKINI WALIOANDIKA BARUA KUKATAA KUCHEZA MECHI KABLA HATA YA MAAMZI YA KISHENZI WAO NDO WANA AKILI?
you are a great moron