Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram

…………..
Arafat Haji Ni kilaza sana. Hana uelewa namfahamu.
 
Mkiwa mnaongozwa na viongozi wenye upeo mdogo huwa tunategemea walau kwenye kundi lenu tuwaone baadhi yenu mkiwa na free thinker ili msiingie kwenye mkumbo kikondoo.

Simon Patrick amekuwa na historia ya kushindwa na wachezaji, then leo hii kawaaminisha ataleta ushindi dhidi ya TFF na nyie mnakubali.
Kwani huko CAS lazima timu iwakilishwe na mwanasheria wake (mwanasheria wa timu)?
Yanga wakiamua kuwa hire Tundu A. Lisu na Fatma A. A. Karume kwenda kupigania haki yake CAS au FIFA watawakataa?
Sometimes tupunguzeni umbumbumbu japo kidogo.
 
Tundu Lissu hana muda wa kupoteza kwenye maswala ya kijinga.

Ukichukulia lile la kufanya debate na Wasira basi na hili pia linaingia hapo.
 
kwani si mumeenda CAS kwani, mbona milio mingi babaaa. nyie subirini maamuzi ya CAS mnamo mwezi July/August inshaallah
 
Zuzu kasema yaliyo katika akili yake hebu sema na wewe uliyonayo tuone akili yako ipoje!

Ukute wewe ndie Zuzu Pro Max.
Au ni wewe upo hapa kujifariji! Nendeni CAS ila hapa ningewashauri mwende TLS Kuomba msaada wa kisheria kuhusu tafsiri ya sheria za CAF na TPBL, ili mjue wapi pakuanzia mna wanasheria vilaza wanawaloteza! ndiyo maana Mzee Magoma aliwagaragaza!. Hapa Rais wa TLS aliwapa ushauri katika ukurasa wake sijui hata kama mmesoma!
 
Attachments

  • 1b9c3eaa-3a8e-4618-be87-139850d72a4d.jpeg
    1b9c3eaa-3a8e-4618-be87-139850d72a4d.jpeg
    100.5 KB · Views: 28
Yaani upo kwenye Vijiwe vya Kahawa Magomeni Mikumi unamuita hamnazo mtu anaekula Kiyoyozi 24hr iwe ndani au njiani,sasa sijui nani hamnazo hapo.
Nadhan unaelezea uzoefu wako. Katika maisha yako mtu akiwa na AC anaweza kukufanya chochote atakacho. Mi nshakutana na mademu kama wewe wakija home hawataki kuondoka. Sababu ya AC.

Uchawa ndo tatizo kubwa la Tanzania ya sasa. Wewe ni chawa wake. So huamini kama kuna watu wanaweza mpinga na wana uwezo mkubwa sababu unaangalia mazingira yako unadhani wote wapo hivyo. Ni uchawa tu. Na hili ndo limekuwa chanzo cha gays tanzania. Uchawa
 
mm nataka kujua Mwisho wa uyu Rais wa TFF + simba lini mana wingu ili lipo chini yake. Kabla yake atukuona ujinga kama huuu mbungi ikipangwa kinaumana kweli????

Ndio mana watu wamejenga mazoea ya kusafiri kuja mjini kuwai mbungi!!!! Lkn sasa Tff imekuwa ovyo ovyo. Uyu mzee mwisho wake lini????
 
Back
Top Bottom