Episodes za Utopolo“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram
…………..
nyie zungukeni wee ila hakuna pwenti 3 za mezani“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram
…………..
Dah! Umemaliza aisee.Arafat Haji amekuwa country treasurer wa exim bank nchini Uganda, amekuwa director general Zanzibar insurance sasa ni director general Bank of Zanzibar.
Anatokea dogo mmoja JF baada ya kushiba mihogo ya jero na kushushia maji ya kandoro anaweka bundle la mia tano anaanza kuropoka Arafat ana uwezo mdogo wa kufikiri ni zuzu.
Sababu ni nini? Eti huyu dogo anaipenda sana Simba hapo kavaa kijezi chake feki cha mbet kinatoa jasho kali anasubiri mechi vibanda umiza kwa mkapa uwa anapaona tu kwenye TV.
Hii nchi ngumu sana.
Mmekuwa bariiiiiidi mbumbumbu bin siji fcKama anauhakika wa kushinda kesi huko CAS basi apunguze michambo maana haitamsaidia.
Kati ya huyu aliesema mapema Yanga haitacheza mchezo wa ligi na Simba msimu huu na yule aliesema Simba haitacheza mchezo wowote wa ligi mpaka Yanga itakapoadhibiwa na mkacheza na Dodoma Jiji,nani mpuuzi?Mpuuzi mmoja tuu anaizamisha Yanga bila kujua.
Ni mtu alietoa msimamo mapema kuwa hawatacheza mchezo mwingine wa Ligi.
Kumbe mnaumia sana eeh? Spana zitaongezeka mpaka mjinyongeMwanaume ukishasema huchezi si inatosha, sasa porojo za nini tena na mikwara mbuzi mtandaoni ?
Au tuamini aliyosema Manara kuwa viongozi wa Yanga ni
Ulitaka tuandikie kwenye masaburi yako?Unasema huchezi halafu unaendelea kuandika mitandaoni
we acha hizo sio nyie mlioambiwa mumuache mtoto acheze mpira mmesahau au mnataka tena muambiwe muuache pacoma na chamachao wacheze mpira. hebutulieni ipangwe tarehe ya kula hicho kiporoHtata mimi namuunga mkono. Bora tushuke daraja lakini sio kucheza tena hiyo mechi.
Mkiendelea kudekezwa ipo siku mtataka kuchagua timu za kucheza nazo na marefa wenu wale wa Namungo.
Aseme wakati kashasema kwani wewe umequote nini?Zuzu kasema yaliyo katika akili yake hebu sema na wewe uliyonayo tuone akili yako ipoje!
Ukute wewe ndie Zuzu Pro Max.
Mkiwa mnaongozwa na viongozi wenye upeo mdogo huwa tunategemea walau kwenye kundi lenu tuwaone baadhi yenu mkiwa na free thinker ili msiingie kwenye mkumbo kikondoo.Mmekuwa bariiiiiidi mbumbumbu bin siji fc
Ametoa msimamo,je huo msimamo umesimama?na usipisimama.?MTU ALIYETOA MSIMAMO KUWA HAWATACHEZA BAADA YA MAAMUZI YA KISHENZI ANAONEKANA MPUUZI, LAKINI WALIOANDIKA BARUA KUKATAA KUCHEZA MECHI KABLA HATA YA MAAMZI YA KISHENZI WAO NDO WANA AKILI?
you are a great moron
Huyu kaandika mambo asiyoyaamini.“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram
…………..
Wasomi wa Tanzania ni vichaa,kwa sababu matukio yote ya kijinga yanawahusuDah! Umemaliza aisee.