Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

Mwanaume ukishasema huchezi si inatosha, sasa porojo za nini tena na mikwara mbuzi mtandaoni ?
Au tuamini aliyosema Manara kuwa viongozi wa Yanga ni waoga
 
Episodes za Utopolo
 
nyie zungukeni wee ila hakuna pwenti 3 za mezani
 
Unasema huchezi halafu unaendelea kuandika mitandaoni
 
Dah! Umemaliza aisee.
 
Mpuuzi mmoja tuu anaizamisha Yanga bila kujua.

Ni mtu alietoa msimamo mapema kuwa hawatacheza mchezo mwingine wa Ligi.
Kati ya huyu aliesema mapema Yanga haitacheza mchezo wa ligi na Simba msimu huu na yule aliesema Simba haitacheza mchezo wowote wa ligi mpaka Yanga itakapoadhibiwa na mkacheza na Dodoma Jiji,nani mpuuzi?
 
Htata mimi namuunga mkono. Bora tushuke daraja lakini sio kucheza tena hiyo mechi.
Mkiendelea kudekezwa ipo siku mtataka kuchagua timu za kucheza nazo na marefa wenu wale wa Namungo.
we acha hizo sio nyie mlioambiwa mumuache mtoto acheze mpira mmesahau au mnataka tena muambiwe muuache pacoma na chamachao wacheze mpira. hebutulieni ipangwe tarehe ya kula hicho kiporo
 
Mmekuwa bariiiiiidi mbumbumbu bin siji fc
Mkiwa mnaongozwa na viongozi wenye upeo mdogo huwa tunategemea walau kwenye kundi lenu tuwaone baadhi yenu mkiwa na free thinker ili msiingie kwenye mkumbo kikondoo.

Simon Patrick amekuwa na historia ya kushindwa na wachezaji, then leo hii kawaaminisha ataleta ushindi dhidi ya TFF na nyie mnakubali.
 
MTU ALIYETOA MSIMAMO KUWA HAWATACHEZA BAADA YA MAAMUZI YA KISHENZI ANAONEKANA MPUUZI, LAKINI WALIOANDIKA BARUA KUKATAA KUCHEZA MECHI KABLA HATA YA MAAMZI YA KISHENZI WAO NDO WANA AKILI?

you are a great moron
Ametoa msimamo,je huo msimamo umesimama?na usipisimama.?
 
Huyu kaandika mambo asiyoyaamini.

Waliwapeleka wakandarasi kule kigamboni wakasema wanaanza ujenzi wa kiwanja chao ila hooola hadi leo.

Wakaingia mkataba na La liga ili wafundishwe upupu gani sijui napo hadi leo patupu.

Ila siwezi kushangaa cheupe alisemq wenye akili ni wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…