Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ni muendelezo wa ujinga ule ule na kujitafutia sifa binafsi bila kujali kesho.Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu
Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
Mbaya zaidi hajifunzi kwa mtangulizi wake sankaraNi muendelezo wa ujinga ule ule na kujitafutia sifa binafsi bila kujali kesho.
Watu wa hivi ndio maana kwangu Huwa nawaona ni WA hovyo.Mbaya zaidi hajifunzi kwa mtangulizi wake sankara
Hata Magufuli aliongoza as if ataishi milele na ataongoza mileleWatu wa hivi ndio maana kwangu Huwa nawaona ni WA hovyo.
The kind of kina Mwendazake
Ibrahim traore ana ultimate power anaweza badilisha mifumo ya uongozi yeye neno lake ndo sheria ndo kila kituTatizo la Afrika ni kwamba ukitaka kunyoosha mambo hutadumu. Wasiojulikana watakuondoa.
Hakuna ajuaye kesho au baada ya miaka 5 nini kitatokeaWewe uwe rais wakati kikwete yupo wapi?
Inahusiana vipi na uziKwamba mama ako ana power sawa na baba ako ?
Huu ujinga hata Magufuli aliuleta hapa nchini, tena kibaya zaidi alikuwa na dalili zote za kutaka kubadili ili atawale atakavyo.Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu
Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI
Changamoto kubwa ya viongozi wetu wanaamini wataishi milele wanaubinafsi mkubwa sanaHuu ujinga hata Magufuli aliuleta hapa nchini, tena kibaya zaidi alikuwa na dalili zote za kutaka kubadili ili atawale atakavyo.
Kwamba mfumo wa one man show ni mfumi mpya unaijua historia vizuriWewe unaamini ktk Demokrasia kumbuka Demokrasia ilikuja kulingana na utawala wa kifalme kuwa wa wachache
Sasa hivi Demokrasia imeanza kupitwa na wakati inatoa mianya ya wizi na rushwa plus ukoloni mamboleo
Huo ni mfumo mpya unaanza kama alivyo anzisha Demokrasia Abraham Lincoln
Sasha anatengeneza dynasty na godfather wake.Ni muendelezo wa ujinga ule ule na kujitafutia sifa binafsi bila kujali kesho.
Sio kweli?Sasha anatengeneza dynasty na godfather wake.
Tunakusubiri uje utuwekee misingi imara. Chukua fomu kupitia CHAUMMANi ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu
Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com