Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Hili gazeti lote la nini?? Kama hakuna anayekujua what's bothering u then?? huoni kama watu wanakuona mpuuzi?? Okay, mimi ni mwongo :deadhorse:

Gazeti ni kudhihirisha ujuha, upumbavu, na uongo wako.

Nothing more, nothing less.

Na mpaka sasa hujaonyesha popote pale nilipowahi kusema hayo unayosema nimewahi kusema.

Poooooow:lock1::lock1::lock1:.
 



Sasa kama ndo njia bora
mbona Mwakyembe aliifanya hiii hii huko huko bandarini?
na Sitta nae akarudia hii hii huko huko bandarini
lakini bado waziri mkuu sasa anarudi mara mbili huko huko bandarini?
 

Naona wanaccm mmegeuka wapinzani wa serikali na wapinzani wanaisapoti serikali! Nadhani unaelewa tatizo liko wapi! Jamaa wanatekeleza ilani ya wapinzani sasa naona nyie wazee wa mbele kwa mbele mnaisoma namba. Poleni sana
 
Kwa mfano huu
unaweza ondoa chefs bila hata kumfokea
wala kita wafanyakazi wote na kuwapiga mkwara
unamwambia tu mwezi huu mwisho halafu unaleta mwingine...

kuita wafanyakazi wote na kufoka sana sio dawa....


Hivi yule Nyerere mnayetuambia alikuwa kiongozi mahiri aliendeshaje nchi?? Kulikuwa kuna kuchekeana??

Alafu kama kuondolewa mbona wameondolewa wengi tu na bado business as usual?? At least tupate namna nyingine ya kuwaondoa.. Ili hata yule atakayeletwa ajue aliemtangulia alikipata cha moto.. Hii kuondoana na unapewa allowances iwe mwisho.. Yaani waziri anafukuzwa alafu analipwa gharama za kuhamishia mizigo yake jimboni kwake huu upuuzi uishe..
 

Hii tabia ya kuficha ficha ndio mwanzo wa kudanganywa kama kuna ukweli unaweza sema popote sio lazima mkakae pembeni huo ndio unafiki na wewe unaonyesha ni mnafiki unatakiwa ulipuke na kama mtuhumiwa ana hoja aseme hadharani !
 
Ndo maana tunasema wabadili system
watu wakiharibu wafukuzwe.....
system ndo tatizo sio watu

Sheria ya kazi inapelekwa bungeni na ndio itakuwa ya kwanza kufanyiwa maboresho ikiambatana na sheria ya manunuzi ya umma. Mkuu wewe sio mfuatiliaji kabisa it seems au huenda hupati hizi taarifa kwa haraka labda. Naweza nikawa nakurahumu hapa kumbe hatua nyingi ambazo tayari zimeanza kuchukuliwa wewe huna taarifa nazo. Pole sana mkuu wangu kwa dhihaka ya comments zangu huko nyuma.
 


Nyerere kwangu alikuwa kiongozi bora kulingansha na aina ya viongozi wa Africa na Tz
wakati huo lakini hakuwa kiongozi bora kwa kulinganisha na challenges na jinsi alivyo deal nazo
 
Na hao mawaziri sasa wakianza kazi
itakuwa full bongo movie kila wizara

Na kama zile habari za mikataba yao zikiwa za kweli sijui ndo itakuwaje.

This is drama unfolding right before our very eyes.
 
Mleta mada usitake kufanananisha namna unavyoendesha ndoa yako na utendaji kazi wa Waziri Mkuu.
Hivi anandoa kweli anyway mengine tuyaweke kapuni...

Nini maana ya good governance?

Good governance is transparent

People should be-able to follow and understand the decision-making process.

This means that they-will be able to clearly see how and why a decision was made-? what information,-advice and consultation council considered, and which legislative requirements-(when relevant) council followed. If so alichofanya Majaliwa kipo kwenye part ya GG

Kuna utumbo mwingine ni bora kuumbuana tu Ili watu wajifunze kuwa wakweli na waheshimu mamlaka zilizo waweka kwa maslahi ya nchi.

Mfumo upo lakini mnaufanya nusu nnusu why? Jibu la kijinga kabisa ni kwamba Ili mwanya wa upigaji uwepo.

Huu ushikaji na kuonyana vyumbani mwisho ni kwenye bedroom yako out from there ukifanya ujinga ujue file will be opened front of the camera.
 
Walipokuwa wanafanya Madudu yao in public was it a good governance?
Wezi wakubwa, waongo wakubwa, mafisadi hayo, hayana haya. Ni kujenga magorofa na anasa.
Pengine wapigwe viboko hadharani kabisa.
 
Nyerere kwangu alikuwa kiongozi bora kulingansha na aina ya viongozi wa Africa na Tz
wakati huo lakini hakuwa kiongozi bora kwa kulinganisha na challenges na jinsi alivyo deal nazo

Sasa tatizo ni kushughulika na hizo challenges au ni njia gani inatumika kushughulikia hizo challenges??

Wewe unaona wanachokifanya hakitaweza kuongeza ufanisi??
 
Na kama zile habari za mikataba yao zikiwa za kweli sijui ndo itakuwaje.

This is drama unfolding right before our very eyes.

Kuna so many drama ni only in TZ
hiyo ya mawaziri na mkataba nayo drama ya aina yake
 
Sasa tatizo ni kushughulika na hizo challenges au ni njia gani inatumika kushughulikia hizo challenges??

Wewe unaona wanachokifanya hakitaweza kuongeza ufanisi??



hakitaweza kitaongeza tatizo
watu watafanya kazi kwa fear na kutojiamini
bureaucracy itazidi sababu kila mtu atataka kuwa safe side..
kujipendekeza na kuwa infomer ndo kutageuka dili...
na hata ku pretend kufanya kazi kuliko kufanya kazi kutaongezeka..
na culture ya kukaa kimya na kutohoji maamuzi na amri kutoka juu itaongezeka
 
Kuna so many drama ni only in TZ
hiyo ya mawaziri na mkataba nayo drama ya aina yake

Halafu, labda ni kwa ujinga [ignorance] wangu tu ndo maana labda sielewi.

Mbona Samia yeye sijaona makali yake bado?

Au kwa vile yeye ni makamu wa rais ?

Halafu Ombeni Sefue kageuka kuwa kama 'presidential spokesman' flani hivi.
 
Mkuu pasco siyo good governance sawa,lakini na hawa watendaji ni kama hawajielewi hivi,yaani libaba lizima linaulizwa maswali linaanza kutetemeka ,,lol

Mwingine alishawahi alikua afisa ardhi mwz baada ya kuulizwa maswali na mh. Lukuvi akaanza kulia mbaya kabisa hadi kamasi
 


Then jibu sahihi la hofu yako tutalipata siku za usoni...

Na Je, ufanisi ukiongezeka, will u be ready to eat your words??
 
Kwa tulipofika hakuna haja ya kubembelezana km Yule wa TRL yaan ukope hela ya kujengea Nyumba alafu uende kulia bata? Nyambaf zao mijitu kama ile ndo inarudisha maendeleo nyuma
Hela ya biashara ndio wamelia bata, bora wangekula faida. Nyamafu kabisa.
 

Icho unachokitaka kifanyike, yaani kubembelezana, ndo maana hii nchi imefika tilipo leo. Acha awa nyoshe kwanza ndani ya hii miaka mitano.
 
Halafu, labda ni kwa ujinga [ignorance] wangu tu ndo maana labda sielewi.

Mbona Samia yeye sijaona makali yake bado?

Au kwa vile yeye ni makamu wa rais ?

Halafu Ombeni Sefue kageuka kuwa kama 'presidential spokesman' flani hivi.




Samiah anapaswa kusafiri safari zote ambazo JPM haendi
tutakosa hata mikutano ya muhimu kwa kuendekeza kuchukia safari...
na mwisho tutazidi kuwa taifa la kienyeji..kama one big village
mara amri ya kufanya usafi mara hivi mara vile...as if hakuna nchi zingine tunazoweza jifunza
 
Pasco zinduka. Awamu ya kuchekacheka na kubembelezana ilishapita. Tuko awamu ya kukusanya kodi na kuleta mabadiliko.
Whenever there is change of power in Africa a few heads must go. - Idi Amin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…