Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Anatuma ujumbe kwa Jk!

Nilivyoona hili tukio nikakumbuka na lile la awali nikagundua ni zaidi ya kuumbuana bali huenda hawa watu hawakuwa na good terms maana huu sio utamaduni wao unless Pombe ameamua kuwa mpinzani.

pm ni kawaida yake waulize wakuu wa sekonda na deo wao MBINGA
 
Sasa si ushasema mimi mzushi, sikujui, muongo, namba si yako etc.. Aya nimekubali..

Sasa nirudishe Ignore list, ila I already ring out your bell :hurt:

Kama umekubali basi safi.

Uache tabia mbaya ya kuzushia watu.

Mimi naitwa Richard Mugizi, nina miaka 49, sina mtoto wala mke.

Ni Google upate habari zangu:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:.
 
Inawezekana tunabishana sana hadi tunashindwa kujua nini tunabishania
watu hatupingi nia nzuri ya Waziri mkuu au Rais
ishu hapa sio nia nzuri ,ishu hapa ni njia nzuri ya ku fix tatizo
kuna ulazima wa waziri mkuu kwenda bandarini ghafla mara mbili in a week?
hawezi toa maagizo yakatekelezwa?
kama hilo haliwezekani basi tatizo lipo kubwa somewhere...

Kwel kuna tatizo kwa waliopewa dhamana ya kusimamia ayo mashirika ya umma.kama meneja anamdanganya PM mbele ya media bila uoga si tatizo ilo,kipind cha pinda,meneja alipewa ripot ya CAG ila hakuifanyia kaz.ndo maana PM kamwendea.

Tulipofikia hayaitajiki maagizo ya vimemo bal ni uso kwa uso.yule mkurugenz wa TRL ndo bure kabsa kashindwa hata kujibu nan aliidhinisha huo mkopo
 
Ndo maana wengine tunaona hizi ni bongo movies tu
manake mtu kama unajua ABC hadi Z ya ku fix tatizo huhitaji media...
watu watajikuta tu bandari inafanya kazi vizuri....
kuna nchi unakuta airport inafanya kazi vizuri,bandari pia,barabara zinsafishwa
na hujawahi kuona hata siku moja kuna waziri 'kaja kutingisha'....
Boss mimi napingana na hoja zenu, watanzani ni watu wanaopenda kufuatiliwa sana, waziri akifanya mambo bila wengine kuona sehem zingine wataendelea kulala na kaI haitafanyika -anavyofanya hivi ni kama katembelea taasisi zote za umma at once.
Najua unakubaliana na mimi 100%
Kumbuka unafanya kazi na watanzania sio wamarekani.
 
Inawezekana tunabishana sana hadi tunashindwa kujua nini tunabishania
watu hatupingi nia nzuri ya Waziri mkuu au Rais
ishu hapa sio nia nzuri ,ishu hapa ni njia nzuri ya ku fix tatizo
kuna ulazima wa waziri mkuu kwenda bandarini ghafla mara mbili in a week?
hawezi toa maagizo yakatekelezwa?
kama hilo haliwezekani basi tatizo lipo kubwa somewhere...

Sijui na wewe unaishi USA kama huyo mmiliki wa apartment Masaki na Msasani (Nyani)?

Au kama lah...basi inaonyesha ni muda mrefu haukuwepo bongoland...labda uliondoka enzi za utawala wa mwalimu au Mwinyi.

Ila nikujuze kitu ambacho nahisi hukifahamu kuhusu Watanzania wa leo...Watanzania wa leo ni sugu sana kwenye mambo ya ufisadi (of course wakiongozwa na Lowassa kwenye rekodi) na rushwa. Bila huu mshike mshike unao endeshwa na PM...basi nakuhakikishia kuwa utawala wa Dkt Magufuli utakuwa kama wa Kikwete tu. Maybe even worse.

Enzi za Kikwete...hicho unacho kipendekeza wewe ndicho kilikuwa kinafanyika...hivyo hivyo yani. Mtu anaitwa ofisini...kikao kinafanyika...anapatiwa maelekezo...but at the end hakuna mabadiliko. Na hali imedumu kwa miaka 10 ya utawala wa Kikwete...na unaona nchi ilipofika.

Ikiwa mnataka mabadiliko ya kweli mkuu wangu The Boss...huwezi kutumia approach ile ile iliyotufikisha shimoni...ni lazima tuje na approach tofauti...na ndio hii ya Dkt Magufuli na PM Majaliwa.
 
Kwel kuna tatizo kwa waliopewa dhamana ya kusimamia ayo mashirika ya umma.kama meneja anamdanganya PM mbele ya media bila uoga si tatizo ilo,kipind cha pinda,meneja alipewa ripot ya CAG ila hakuifanyia kaz.ndo maana PM kamwendea.

Tulipofikia hayaitajiki maagizo ya vimemo bal ni uso kwa uso.yule mkurugenz wa TRL ndo bure kabsa kashindwa hata kujibu nan aliidhinisha huo mkopo

Mkuu hawa wote ni kufuta kazi, hawawezani na hii speed.
Bado hajagusa tanapa bado hiko mashirika ya bima.
Nchi imeliwa sana ngoja tu watumbuliwe
 
Kama umekubali basi safi.

Uache tabia mbaya ya kuzushia watu.

Mimi naitwa Richard Mugizi, nina miaka 49, sina mtoto wala mke.

Ni Google upate habari zangu:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:.

:attention::attention::embarrassed:
 
Mkuu si unamwona anavyoweweseka hapo.. Alafu mi namwacha tu aendelee kulia lia..

Unaweza kuuficha ukweli kwa kipindi fulani, lakini hutaweza kuuficha ukweli kipindi chote..

Kwa Kweli Inashangaza Sana,mimi Nilishamdharau Aliposema Hawachukii Yafanywayo Na Serikali Ya Mh Magufuli Na Wala Hawayafurahi, Maana Yake Ni Kwamba Alikua Kwenye Chain Ya Wanufaika Vya Kutosha Na Mfumo Mbovu Na Hii Safishasafisha Kuna Kitu Kimemgusa Sasa Hajui Asimamie Wapi Na anachotaka Tukose Wote Sisi Wanyonge Na Wao
 
Mkuu si unamwona anavyoweweseka hapo.. Alafu mi namwacha tu aendelee kulia lia..

Unaweza kuuficha ukweli kwa kipindi fulani, lakini hutaweza kuuficha ukweli kipindi chote..

Wewe ni mchemkaji sana.

Kwanza ulikuja na habari za kwamba mimi naitwa Richard Mugizi [kwa sababu tu eti niliwahi kuitumia hiyo ID na baadaye ikaja kuunganishwa na ya Nyani Ngabu]. Hola.

Ukazusha kwamba nawadanganya watu humu kuwa nina apartments Msasani na Masaki. Nikakwambia nionyeshe nilipowahi kusema hivyo, ukashindwa.

Leo tena umeuendeleza huo uzushi na umeshindwa kunionyesha nilipowahi kudanganya, achilia mbali nani nilimdanganya.

Nimekwambia weka hapa nilipowahi kudanganya hivyo, umeshindwa na umetoa kisingizio huna muda. Mwongo wewe. Ukweli ni kwamba huwezi kunionyesha.

Haya, leo hii umekuja na mpya. Sijui umeenda kuokoteza wapi tu hiyo namba ya simu na kuiweka hapa. Napo hola.

Inavyoelekea unajitahidi sana kutaka kunijua na kama kweli ungekuwa unanijua ungekuwa ushaweka kila ukijuacho.

Kwa kifupi, hakuna anayenijua humu.
 
Sijui na wewe unaishi USA kama huyo mmiliki wa apartment Masaki na Msasani (Nyani)?

Au kama lah...basi inaonyesha ni muda mrefu haukuwepp bongo land...labda uliondoka enzi za utawala wa mwalimu.

Ila nikujuze kitu...Watanzania wa leo ni sugu sana kwenye mambo ya ufisadi (of course wakiongozwa na Lowassa kwenye rekodi) na rushwa. Bila huu mshike mshike unao endelea wa PM...basi nakuhakikishia kuwa utawala wa Dkt Magufuli utakuwa kama wa Kikwete tu.

Enzi za Kikwete...hicho unacho kipendekeza ndicho kilikuwa kinafanyika...hivyo hivyo. Mtu anaitwa ofisini...kikao kinafanyika...anapatiwa maelekezo...but hakuna mabadiliko. Na hali imedumu kwa miaka 10 ya utawala wa Kikwete...na unaona nchi ilivyo.

Ikiwa mnataka mabadiliko mkuu wangu The Boss...huwezi kutumia approach ile ile iliyotufikisha shimoni...ni lazima tuje na approach tofauti...na ndio hii ya Dkt Magufuli na PM Majaliwa.

Lowasa chimbuko la ccm, aisee huyu mtu anarepresent 90% ya wana ccm jinsi walivyo. Ufisadi ufisadi ufisadi wizi na uzandiki.
Magufuli sasa hivi kilichobakia tu ni kumgeuka JK kama Jk alivyomgeuka Lowasa.
Si ndio michezo iliyopo ccm.
Wataisoma nambaaa
 
Kwa hiyo Pasco unataka type ya wale waliosema..... "nawajua wauza madawa ya kulevya na list Yao ninayo?.".
 
Hii post ni pumba kutoka kwa mwanaJF ninayemheshimu!

Au wale walishtukizwa n ndugu zako, km ndo hivo wambie wapige kaz sawa sawa, ila sio kubembelezwa, then waambie kuna watanzania km wao wengi sana wanazitaman zile kazi.
 
Yupo sahihi kwa sababu meneja bandari alipaswa atoe maelezo wakati PM hajaanza kuzunguka kwa mazoea ya viongozi wetu ya kujenga mazoea na viongozi wakuu ndiyo hayo yatawatafuna kanuni ya uongozi inasema uadilifu wako ndiyo kinga yako ya kutodhalilishwa kwa wafuasi wako
 
Nasemaje?:Hii nchi ngumu sana. Haya Maigizo ya hawa jamaa yataisha mda si mrefu.
Nawezs kuwahakikishia kwamba hawa wakurugenzi wa haya mashirika wana majibu mazuri sana kwa hawa jamaa. Ilavhawawezi kuwajibu kwenye media kwa sababu wakubwa wataumbuka. Hivi kweli kina Mwakyembe na Sitta hawakufanya chovhote hapo bandarini? Hawa jamaa wanatafuta tu media publicity. Na ndio maana wamechelewesha baraza la mawaziri ili wauze sura kwanza. Unajua ukimshamtrua wazir huwexi wewe km rais au waziri mkuu kuingilia kazi zake. Unaagiza tu. Sssa kaxi ikiwa nzuri sifa zinakwenda kwa waziri. Hii ndiyo siri ys kuchelewesha baraza la mawaziri km mlikuwa hamjui. Muda si mrefu haya maigixo yataisha. Huwezi kufanya fundamental changes kyk nchi hii hasa kwenye ufisadi ccm ipone. Ccm wansshinda uchaguxi kwa fedha za wizi. Kwa hiyo kupambana kweli na ufisadi ni kupambana na ccm. Magu ameingizwa madarakani kwa fedha za escrow! Sijuibkm kina kinana na kikwete walishamwambia hili.

So long as ccm ipo, nchi hii haitakaa ipige hatua mbele. Ccm ni kikwazo!
 
Sijui na wewe unaishi USA kama huyo mmiliki wa apartment Masaki na Msasani (Nyani)?

Hahahaa you gals are hilarious.

Yeah...mimi ni bilionea.

Na similiki apartments Masaki na Msasani tu.

Namiliki apartments Atlanta, Raleigh, Brooklyn, Bronx, Queens, Yonkers, Arusha, Shinyanga, Dutwa, na Ikungulyabashashi.

Oh btw, naitwa Richard Mugizi, nina iaka 49, sina mke wala mtoto:lol:
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco

wewe huna zuri
 
Yupo sahihi kwa sababu meneja bandari alipaswa atoe maelezo wakati PM hajaanza kuzunguka kwa mazoea ya viongozi wetu ya kujenga mazoea na viongozi wakuu ndiyo hayo yatawatafuna kanuni ya uongozi inasema uadilifu wako ndiyo kinga yako ya kutodhalilishwa kwa wafuasi wako

Asante Sana,umenena Vema Uadilifu Kweli Kinga Imara Sana Kwa Awamu Hii Dhidi Ya Ziara Za Ghafla Kama Hizi,ni Kama Vile Kidini Tunavyohimizwa Tukeshe Tukiomba Maana Hatujui Ni Lini Na Kwa Wakati Gani Utaitwa, Inashangaza Kwa Kwel Watu Wanaoponda Kazi Nzuri Inayofanyika Mpaka Sasa
 
Boss mimi napingana na hoja zenu, watanzani ni watu wanaopenda kufuatiliwa sana, waziri akifanya mambo bila wengine kuona sehem zingine wataendelea kulala na kaI haitafanyika -anavyofanya hivi ni kama katembelea taasisi zote za umma at once.
Najua unakubaliana na mimi 100%
Kumbuka unafanya kazi na watanzania sio wamarekani.


Huyu The Boss atakuwa kila kitu anakipata through a phone call.. Huyu atakuwa si mwenzetu..

Huyu kama ana vitu vyake anataka vishughulikiwe atakuwa anatuma sub-ordinates tu na vinashughulikiwa..

Hajawahi yeye mwenyewe kwenda kufatilia huduma mbalimbali kwenye haya maofisi ya serikali, no discipline kabisa na ubabaishaji mwingi. Hii ndio njia mojawapo ya kurudisha discipline mahala pa kazi.. Hakuna cha Blue print wala cha nini, ni discipline tu.. Na kama ni marekebisho ambayo yeye The Boss anayataka ni madogo madogo sana.. Tatizo kubwa ni discipline na rushwa tu..

Mkuu The Boss kama hotel yako inapika chakula kibovu huitaji kubadili the whole Blue Print, reception, customer care and delivery inaweza kuwa ni safi ila tatizo ni chakula kibovu. Hapo ni kuondoa Chefs leta wapya wenye ujuzi wa kupika chakula safi..
 
Last edited by a moderator:
Ww endelea kulalamika tu uliwah sema hesabu zako znampa ushindi lowasa... kwa akil yako hyo lazma upinge kila tunachokifanya... sasa hapo bado kazi haijaanza mtalia sana na wananch ndo washatuelewa....
 
Back
Top Bottom