#Pascoooo... #Pascooooo....
For this thread, you went very wrong...👎👎👎👎😨😨😨.....!!
Hivi Pasco, nikuulize, UNATAKA GOOD GOVERNANCE kwa MWIZI, MLA RUSHWA..??, FISADI.??, wenye nyumba 74, akina Masamaki..?? Watu ambao ukifika OFISINI kwao, ukiwauliza vipi kazi zenu hakuna wizi, boss wa hapo eg TRA, TRL, ATCL, TTCL, TCRA, TGFA, TANESCO... 👉 atakujibu with high confidence HAKUNA MH. WAZIRI MKUU, kila kitu kiko sawa kabisaaaa Mhe. Waziri Mkuu, na atakujibu anakuangalia machoni... huku KUNA WIZI, UFISADI, NA UCHAFU WA KUTOSHA....!!! Unataka Good Governance kwa mtu MPUUZI KAMA HUYO...!!?
Pasco, hivi unajua mwizi tena wa kusomea HAUTAKIWI KUMFANYIA GOOD GOVERNANCE...sbb amebobea kuiba, so ujanja ni KUFANYIANA TIMING TU.... kama Rais Magufuli au Majaliwa anavyofanya... NDIVYO INAVYOTAKIWA...!!!
Dawa ya Mwizi, Mla RUSHWA ni Rais au Waziri Mkuu kuenda huku amejiandaaaaaaa kabisa... ktk taasisi husika ya serikali, kisha kuuliza tu kama vile hajui kitu... KISHA ANATOA MADUDU YOOOOOOOOTE HADHARANI... na kuwafukuza au kuwashtaki WAKUU, MD, CEO wa mashirika husika...!!!
Pasco, Waziri Mkuu, ndio INAVYOTAKIWA KUFANYA kwa wezi, wala RUSHWA, MAFISADI... sbb once UKIWAITA chini chini, KAMWE NA MILELE YOTE hawataacha kula na kupokea RUSHWA, kupitisha makontena bila kulipia kodi... etc...mashirika ya umma karibu yote yameoza, yananukaaa ufujaji wa mabilioni... sbb ya uwizi, rushwa...
Na wahusika ni WAKUU WA MASHIRIKA HAYO...So Majaliwa ongeza kasi zaidi na zaidiiii... hakuna cha nini wala nn, fukuza, shitaki, funga wengine, hao vigogo wa mashirika ya SERIKALI WAMEIBA HADI BASI...!!!
Mh. Rais, Waziri Mkuu, ongezeni kasi mara 4 ya hapo, utaona WANANYOOKA KABISA....!!!
Mwizi, Mla Rushwa hahitaji GOOD GOVERNANCE....hata kidogo...!!