Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Ulieandka hii thread Nina wacwac na wewe,but 1.yupo sahh kwa % 100 ,2 hii nchi imeoza il iwe saf lazma awadharirishe
 
Pasco unamatatizo gani sikuhizi? Unazidi kuwa mpumbavu kila siku.
 
Sometimes good dictatorship is better than bad democracy.hiyo mambo ya kuitana sijui chamber sijui nini hayapo tena....sometimes huwa nashindwa kuelewa wanachokitaka chadema maaana wako kila kitu ni kupinga tu.

Huyo Pasco sio CHADEMA ni CCM tu.
 
Mm nadhani hivi sasa sio wakati wa kufichana tens kila MTU aliefanya madudu wezi mafisadi watangazwe hadharani hata kiongozi wa sasa kama wamefanya ufisadi watangazwe ili isijekuwa wao kuonekana watakatifu kumbe Hanna kitu tusiwe waoga kila mwizi atangazwe
 
Pasco,

Usililie utawala wa mwazowea kama wa Lowassa uliotufikisha hapa, bali tunataka utawala unasimamia matokeo mazuri kama huu wa Majaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Mtu anaposema UKAWA wao hawaisomi namba anamaanisha nini? wakati maofisin watu wengi walikua wakiunga mkono upinzani na haohao ndio leo wanarukaruka tu na kauli za mheshimiwa Rais sasa anayeisoma namba ni nani kama UKAWA??..
japokua ccm wanaisoma namba zaidi kutokana na jamaa kua kivingine sana na walivyozoea...
 
Mkuu pasco siyo good governance sawa,lakini na hawa watendaji ni kama hawajielewi hivi,yaani libaba lizima linaulizwa maswali linaanza kutetemeka ,,lol
Kuondoa uchafu ni jambo la kufurahia sana, kwa hapa tulipokuwa tumefikia njia zote ni sahihi. Baada ya hapo tunaweza kujadili njia sahihi lakini kwa sasa wacha njia zote zitumike ili nchi ipone.
 
Ni mapema sana kusema sana. Uongozi wa kuteuliwa ni kazi nzito sana, ipo siku tunaweza tena kuja hapa hapa na kusema bora Pinda au bora Kikwete, kipya kinyemi ingawa kidonda, Changamoto za serikali mpya zinakuja, na hapo Majariwa atapimwa vizuri zaidi. This is worldwide, hata Obama at First alionekana like African Messiah ila baada ya muda kiasi akapwaya sana.
Let wait and give time.


Haujui Kiingereza!

 
Nikweli sio sawa kwa mantiki ya good governance but kwa jinc hawa jamaa wenye hela za rushwa wanavyotusmbua mtaani ngoja tu nao wasumbuliwe kid go. Mana imefika hatua wengine elimu yetu in?onekana haijatusaidia kimaisha kumbe tunapimwa namafisadi.
Pili wacha iwe hivyo mana hao ndyo walikuwa wachangiaji wakuu wa ccm. By the way umesahau kwenye ilani ya ccm hakunaga kipengele cha good governance so its clear kwamba wanapotaka kufanya jambo litafanyika kienyeji tu
 
Watanzania tumezidi kulalama
Hakuna jema tunaloweza kifanyiwe.kila kitu lazima kitafutiwe kadogo. Hata lenye manufaa.
 
Pasco ujue anachokifuatilia Mh.Waziri Mkuu kiko kwenye mafaili mezani kwake tangu utawala uliopita. Majibu ya wahusika ndo hayo hayo waliyoyatoa kwa serikali iliyopita. Majibu ya kulindana.

W/M Mh.Majaliwa anaenda pale akijua nini kinachoendelea. (TISS wanaijua issue zote za TPA na TRA na ziko mezani kwa WM kitambo).

WM chonde chonde USIACHE! Wananchi tuko nyuma yako. Natukuombea wewe na prezdaa.

Ifanyacho serikali kina manufaa kwa watz wote bila kujali itikadi.

Nimshauri tu WM asiishie TRA na TPA utoroshaji hayo makontena, vyombo vya dola nao wanasehemu yao. Kanda Maalum ichunguzwe.
 
Last edited by a moderator:
Pasco ujue anachokifuatilia Mh.Waziri Mkuu kiko kwenye mafaili mezani kwake tangu utawala uliopita. Majibu ya wahusika ndo hayo hayo waliyoyatoa kwa serikali iliyopita. Majibu ya kulindana.

W/M Mh.Majaliwa anaenda pale akijua nini kinachoendelea. (TISS wanaijua issue zote za TPA na TRA na ziko mezani kwa WM kitambo).

WM chonde chonde USIACHE! Wananchi tuko nyuma yako. Natukuombea wewe na prezdaa.

Ifanyacho serikali kina manufaa kwa watz wote bila kujali itikadi.

Nimshauri tu WM asiishie TRA na TPA utoroshaji hayo makontena, ni mtambuka, Kanda Maalum ichunguzwe.
 
Last edited by a moderator:
Kama ww ni kiongozi makini, makontena zaidi ya 2000 yapotee halafu unaulizwa unasema iko pooa tu. Mueleze kuna matatizo, tunayafanyia kazi. Hapo hata mkuu anakua hana la kusema. Wadhalilike tu kwani hamna namna. Pia hawafokei anawaeleza ukweli.
 
Wewe Pasco enzi za ujinga zimekwisha, hakuna cha TUME wala kuitwa chumbani, Sasa hii ndiyo Slogan ya Mkapa. Yaani Mkapa alianzisha hiyo theory "Zama za Uwazi na Ukweli" Makufuli na Majaliwa wanaimplement practically. Nimebahatika kuishi nchi za Uropa miaka 3 tu. Kwangu ilikuwa somo tosha sana. Yaani nilitamani sana siku moja TZ iwe kama ile nchi. Big up Sana Magufuli na Majaliwa. Tunawaombea sana kwa Mungu. Lakini shukrani nyingi zaidi ni Kwa Mungu kumtuma mwanawe Lowasa, naye ati saa sauti ya Mungu, kupambana mpaka dk ya mwisho. Na shukrani nyingine ni kwa uongozi wa Ukawa kwa Kazi kubwa mliyoifanya. Leo hii hata sisi watu wa chini, tutaonekana ni binadamu.
 
Inanishangaza sana wa2 wanatuibia kiasi kikubwa cha hela ambacho hatujatangaziwa ni kiasi gani tunaambiwa kirahisirahisi eti wakirudisha ndani ya siku saba watasamehewa. Hii ni only in Tanzania sijawahi sikia nchi nyingine. Watuambie kupitia gazeti la serikali ni kina nani wamekwepa kodi kiasi walichokwepa na kuanzia lini. Pia sheria inasemaje na wakitimiza matakwa ya hiyo sheria tuambiwe. Isije ikawa changa la macho kama ile EPA. Hizi za sasa ni nyingi mno jamani viongozi wetu waache kubembeleza majizi
 
Anachotakiwa kufanya maghufuli ni kuzunguka tz nzima awaimbishw watu selema ....afu tufanye mabadiliko ya kweli
 
#Pascoooo... #Pascooooo....

For this thread, you went very wrong...👎👎👎👎😨😨😨.....!!

Hivi Pasco, nikuulize, UNATAKA GOOD GOVERNANCE kwa MWIZI, MLA RUSHWA..??, FISADI.??, wenye nyumba 74, akina Masamaki..?? Watu ambao ukifika OFISINI kwao, ukiwauliza vipi kazi zenu hakuna wizi, boss wa hapo eg TRA, TRL, ATCL, TTCL, TCRA, TGFA, TANESCO... 👉 atakujibu with high confidence HAKUNA MH. WAZIRI MKUU, kila kitu kiko sawa kabisaaaa Mhe. Waziri Mkuu, na atakujibu anakuangalia machoni... huku KUNA WIZI, UFISADI, NA UCHAFU WA KUTOSHA....!!! Unataka Good Governance kwa mtu MPUUZI KAMA HUYO...!!?

Pasco, hivi unajua mwizi tena wa kusomea HAUTAKIWI KUMFANYIA GOOD GOVERNANCE...sbb amebobea kuiba, so ujanja ni KUFANYIANA TIMING TU.... kama Rais Magufuli au Majaliwa anavyofanya... NDIVYO INAVYOTAKIWA...!!!

Dawa ya Mwizi, Mla RUSHWA ni Rais au Waziri Mkuu kuenda huku amejiandaaaaaaa kabisa... ktk taasisi husika ya serikali, kisha kuuliza tu kama vile hajui kitu... KISHA ANATOA MADUDU YOOOOOOOOTE HADHARANI... na kuwafukuza au kuwashtaki WAKUU, MD, CEO wa mashirika husika...!!!

Pasco, Waziri Mkuu, ndio INAVYOTAKIWA KUFANYA kwa wezi, wala RUSHWA, MAFISADI... sbb once UKIWAITA chini chini, KAMWE NA MILELE YOTE hawataacha kula na kupokea RUSHWA, kupitisha makontena bila kulipia kodi... etc...mashirika ya umma karibu yote yameoza, yananukaaa ufujaji wa mabilioni... sbb ya uwizi, rushwa...

Na wahusika ni WAKUU WA MASHIRIKA HAYO...So Majaliwa ongeza kasi zaidi na zaidiiii... hakuna cha nini wala nn, fukuza, shitaki, funga wengine, hao vigogo wa mashirika ya SERIKALI WAMEIBA HADI BASI...!!!

Mh. Rais, Waziri Mkuu, ongezeni kasi mara 4 ya hapo, utaona WANANYOOKA KABISA....!!!

Mwizi, Mla Rushwa hahitaji GOOD GOVERNANCE....hata kidogo...!!
 
Back
Top Bottom