Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hata mi sipendi. Sidhan ka vyombo vya habari visingekuwepo angefanya vile. Ndo mana kuna siku bunge lilitaka liwe recorded.
Ni mparaganyiko kwa kweda mbele.
Ila watu tukisema tunaonekana kana kwamba hatumpendi Magufuli wakati suala si kumpenda wala kumchukia.
Mkuu uajua una heshimika sana hapa..?? Ila naona kama umejichoka..
Ni mparaganyiko kwa kweda mbele.
Ila watu tukisema tunaonekana kana kwamba hatumpendi Magufuli wakati suala si kumpenda wala kumchukia.
Pasco Huwa Anakuwa Vizuri Ila Kwa Hili Kuna Jiwe Limetupwa Gizani Ukisikia Yowe La Namna Hii
Weeewe! acha kusema hayo, ni 'dhambi'Wht if Magufuli ndo kamuagiza?
inaitwa good cop na bad cop.....
mmoja awe mkali mwingine awe mpole....
Magufuli hata safari za nje haeni na hataki Makamu aende pia...
kua kitu very wrong na hii administration.....