Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

We unalamikia hilo dogo hivyo? Wengi tunataka mawaziri wenye kasi na roho ngumu kushinda hawa 2. Watu wabanwe mpaka yuheshimiane hapa TZ. Wanaoishi wa jasho lao wapete na hawana sababu ya kuwa na hofu.
 
Ile game ya Sokoine tuliyokuwa tunahadithiwa wengine tunataka kuiona live na with more action than ever.
Hatutaki comedy au romance reality shows.
We want all super star reality show.
Ukiitwa njoo uje sio unauliza unaniitia nini.
 
Nimejifunza humu kuna wakongwe unaweza kufikiri ni wazalendo kumbe uzalendo wao ni mazuri kufanywa na vyama vyao tu hasa viongozi wao wanaowaunga mkono ....wao kazi yao kusoma upepo na kutafuta uelekeo ....hili jukwaa limejaa wanafiki na wazalendo wenye uzalendo unaochagua pakutumikia ....
 
aliposema atarara nao mbere maana yake ndo iyo,
km hutaki jiuzuru mapema.
hapa kzi tu,
 
So akae kimya ili mje "kugundua ufisadi" siyo.
Mnanyooshwa kweli!!
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Mkuu Pasco,
Hakuna Maendeleo yanayokuja bila gharama,tujiandae:
1.Hayo unayoyasema yote Kikwete ameyafanya na matokeo yake tumefikia hapa tulipo,usiwe mwepesi kusahau
2.Ingekuwa Nchini China baada ya Ndugu Bade kutoa taarifa zisizo sahihi cha kufuata ilikuwa ni kumchukua na kwenda kutandika risasi muda wa kutoa karatasi la ushahidi kama alivofanya Mh Majaliwa Haupo.Ni wewe unayekaa hapa na kutoa kila aina ya sifa juu ya maendeleo ya China unafikiri yamekuja kwa kuitana faragha,kupiga mikwara kwamba wala rushwa wajiandae then hakuna action,au unafurahi contena 2400 kutokulipiwa kodi huku ukienda hospitali MRI ni moja na unaambiwa haifanyi kazi
4.Watanzania ni nani katuroga? tunajua tunachokihitaji kweli?
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-tba-mhe-magufuli-umekosea.html#post14780063
Pitie huo uzi,ni haya haya yanayotokea leo,anyway mimi nitamuunga mkono magufuri maana udikteta una faida nyingi kuliko hasara ila hata madkteta walitumia udikteta kuunda sheria mpya za kidkteta ,magufuri ili uwe kwenye safe side badilisha sheria karbu 70% ya sheria zote alafu fanya yako kwa uhuru,ila nasisitiza badilisha sheria kw?nza ili tujue mipaka yetu
 
Uwezo wa wafanyakazi wa serikali in ICT ni mdogo sana. Lazima tunaibiwa sana kwa jina la ICT. Lazima tunauziwa programs ambazo ni substandard, mara nyingi kwa kutokujua ni program gani tunataka. Na kwa jinsi tulivyozoea ujanja ujanja na udanganyifu, lazima ICT inatumika sana kuwezesha ukwepaji wa kodi. Kabla ya kuendelea kushangilia ICT kwenye mifumo ya ukusanyaji mapato ya serikali, forensic auditing inahitajika kwa mifumo ambayo inatumika tayari.

Cha kushangaza, eneo ambalo hajafika au sijasikia kama amefika pale bandarini ni la kupokea mafuta. Kuna ujinga mkubwa sana uliofanyika kwa miaka mingi wa ku-temper na vifaa vya kupimia shehena ya mafuta inayoingia nchini "flow meters". Bila "flow meters" inayofanya kazi na ambayo haijachakachuliwa, serikali haiwezi kujua kiwango sahihi cha kodi inachostahili.

Tena huko kwenye Mafuta, Mwalimu mkuu kwenye hotuba yake ya jana alisema ndio maeneo yake ya kujidai
 
So akae kimya ili mje "kugundua ufisadi" siyo.
Mnanyooshwa kweli!!
 
kudos Mr pm achana na haya matanganyika mavivu ya kazi na ni mavivu ya kufikiri yameanza kutumbuliwa yameona yakimbilie jukwaani kuja kupima upepo ili yaone km kuna wajinga wenzao. ushauri wangu kwa pm awe anayachapa na bakora huwezi kukopa pesa kwa writeup ya kuendeleza TRL then mkalipana mishahara na km mlitaka kulipana mishahara c wangeandika write up ya kukopa pesa ya mishahara? Leo mnakuja na filigisu za kipumbafu co bure mmelogwa na aliyewaloga ameshakufa
 
Hii ndio serikali inayohitajika kwa sasa.wachache wamenufaika vyakutosha kwa sababu ya hiyo kuulizana ndani.ukimplipua mbele za watu ajaye atakuwa na nidhamu. Angalau naona heshima inarudi katika jamii.watanzania tujifunze kutafuta kipato cha halali.
Big up JPM na kamanda wako majaliwa.
 
MAJALIWA NA MAKUFULI/magufuli WAKO SAWA KABSA JINS WANAVYOPAMBANA NA UFSADI ILA WANAKOSEA MNO JINSI/NJIA WNAYOTUMIA
 
hamna shida yoyote kwa hiyo staili yake, maana bila hivo watamdanganya

Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco
 
Pasco mpiga dili wa jijini,haya majambo yanamuathiri kwa njia moja au nyingine. Atabidi arudi tu kwenye utangazaji hamna jinsi. Kwa sasa tunapoona kosa hamna cha good governace wala babaake good governance kwa mbwa hawa. Ningekuwa Rais ningewachinja hadharani. Tuko nyuma ya Waziri Mkuu. Achape kazi tu
 
leadership? More than you might think.
In business, we have to be both coaches and managers. To lead effectively, we need to know when to wear which hat.
Managing involves a more directive, task-oriented style that should only be used under certain conditions. It usually produces the best results in a crisis situation, when someone has never done the task before, or when they have little or no confidence in their ability to get it done.
Coaching works best for developmental purposes, especially when you have a team of competent professionals already performing at a reasonably high level. Once you define winning for your organization, team members may need your guidance and support. But in most cases they shouldn?t need direction.
Knowing when to direct, delegate or develop is critical to managerial effectiveness. Determine which style is appropriate based on the task at hand rather than the individual. Often, people will need a combination of styles depending on the complexity of the task assigned, their experience with the task, and the competency levels required to complete it with excellence.
Direct when the employee has low to moderate competence with the skills and abilities needed to complete the task. Be sure to define excellence (what, how and when), and provide specifics (templates, examples, etc.) so the person can achieve the desired outcome. Direct when a person:

  • Is new in a role
  • Is new to the company
  • Is new to the client/customer
  • Has new job responsibilities or tasks
  • Has new ways of working
Delegate when the employee has moderate to high competence. Again, define excellence so both sides have clarity around the goal. Then let the employee determine the approach they will take and keep you informed as to their progress. Ask questions and provide direction and specific support when necessary. Delegate when a person has:

  • Some experience in the role
  • A track record or competence
  • A sensitive task or client
  • Confidence in their abilities
  • Similar ways of working
Develop when the employee has high competence and high commitment to the task. Then define excellence and get out of the way! Give plenty of recognition for successful completion of the task. Then determine the person?s next challenge. Develop when the person:

  • Has extensive experience
  • Has demonstrated evidence of competency
  • Has experienced similar clients or task sensitivities
  • Is growing new competences
  • Is trying new approaches
Sometimes we have to coach and sometimes we have to manage. But the more time we can spend delegating and developing, the more effective we?ll be.

Forbes Welcome

 
Back
Top Bottom