Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Upo serious kabisa na umemaliza na neno "Amen" kabisa?Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu) kufungamana na upande wowote wa chama cha siasa. Sheria hii inasisitiza kuwa wakleri hawapaswi kuchukua nafasi yoyote katika vyama vya kisiasa wala uongozi wa kisiasa ili kulinda umoja wa waumini wote.
Katika karne ya 16 na 17, Papa alikuwa na mamlaka ya "kidini" na "kiserikali." Hata hivyo, baada ya mageuzi ya Kiprotestanti na mabadiliko ya kijamii Ulaya, mfumo huo ulikoma. Lengo lilikuwa kutenganisha huduma ya “Kiroho” (inayofanywa na viongozi wa Kanisa) na huduma ya “Kisiasa” (inayofanywa na wanasiasa). Kisaikolojia na kivitendo, huduma hizi mbili haziwezi kwenda sambamba bila kuleta mgongano wa kimaslahi.
Papa Yohane Paulo II alipinga vikali "Theolojia ya Ukombozi" (Liberation Theology), ambapo baadhi ya mapadri walitumia kuhalalisha harakati za kimapinduzi na kisiasa. Papa Francis pia alikaririwa mara nyingi akisema, "Mapadri wasiwe wanasiasa, bali wawe wachungaji."
Kitendo cha Padre Kitima kwenda kinyume na miongozo hii ya Ma-papa ni ishara ya Utovu wa Utii (Disobedience), kosa ambalo linaangukia chini ya Kanuni ya 173 ya Sheria za Kanisa, inayohusu kuchochea uadui au utovu wa utii dhidi ya mamlaka ya juu ya Kanisa.
Historia inatufundisha madhara ya viongozi wa dini kuingilia siasa na makundi ya kisiasa, Mwaka 1994 nchini Rwanda, mapadri kama Athanase Seromba na Emmanuel Rukundo walitumia ushawishi wao kuunga mkono harakati za "Hutu Power," jambo lililopelekea mauaji ya Watutsi zaidi ya watu laki 8 waliokuwa wamekimbilia makanisani;
Huu ndio upande wa giza wa "Siasa za Mimbari" (Pulpit Politics) kuitumia kofia ya dini kufanya siasa za chuki ambazo mwisho wake ni mgawanyiko, uhasama, na maasi ndani ya jamii.
Mwisho, Ni wazi kuwa Padre Kitima anavuka mstari mwembamba kati ya utetezi wa haki na uanaharakati wa kisiasa. Ni vyema angetumia hekima kuachana na U-Padri kama alivyofanya Dkt Slaa Ili aingie kwenye siasa ieleweke kuwa anayezungumza ni mwanasiasa ama achague kubaki kuwa Padri na aachane na harakati za Wanasiasa.
*#NCHI KWANZA
*#AMANI YETU KWANZA
*#TUSHIKAMANE KIIMANI ZAIDI NA UKATOLIKI WETU,TUSIGAWANYIKE,TUSILIARIBU LILE KANISA ALILOTUACHIA MT.PETRO,AMEN.
Tumia neno magaidiila Shekh mwaipopo kumiliki kundi la maninja yuko sawa??
Maccm yanajishtukia maana tarehe 7/7 inasigea na Kitima wala Gwajima hawajishughulishi nao wala kuongea kuhusu maandamano ya vijana so wanamlisha maneno Padri Kitima.Father ametoa mpya gani tena? Tupia hata kavideo mkuu tuweze kuchangia kwa hoja.
Muuweni basi, ili MFURAHI, maana mara ya kwanza mlishindwa kumuua amekuwa MZIMU.Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu) kufungamana na upande wowote wa chama cha siasa. Sheria hii inasisitiza kuwa wakleri hawapaswi kuchukua nafasi yoyote katika vyama vya kisiasa wala uongozi wa kisiasa ili kulinda umoja wa waumini wote.
Katika karne ya 16 na 17, Papa alikuwa na mamlaka ya "kidini" na "kiserikali." Hata hivyo, baada ya mageuzi ya Kiprotestanti na mabadiliko ya kijamii Ulaya, mfumo huo ulikoma. Lengo lilikuwa kutenganisha huduma ya “Kiroho” (inayofanywa na viongozi wa Kanisa) na huduma ya “Kisiasa” (inayofanywa na wanasiasa). Kisaikolojia na kivitendo, huduma hizi mbili haziwezi kwenda sambamba bila kuleta mgongano wa kimaslahi.
Papa Yohane Paulo II alipinga vikali "Theolojia ya Ukombozi" (Liberation Theology), ambapo baadhi ya mapadri walitumia kuhalalisha harakati za kimapinduzi na kisiasa. Papa Francis pia alikaririwa mara nyingi akisema, "Mapadri wasiwe wanasiasa, bali wawe wachungaji."
Kitendo cha Padre Kitima kwenda kinyume na miongozo hii ya Ma-papa ni ishara ya Utovu wa Utii (Disobedience), kosa ambalo linaangukia chini ya Kanuni ya 173 ya Sheria za Kanisa, inayohusu kuchochea uadui au utovu wa utii dhidi ya mamlaka ya juu ya Kanisa.
Historia inatufundisha madhara ya viongozi wa dini kuingilia siasa na makundi ya kisiasa, Mwaka 1994 nchini Rwanda, mapadri kama Athanase Seromba na Emmanuel Rukundo walitumia ushawishi wao kuunga mkono harakati za "Hutu Power," jambo lililopelekea mauaji ya Watutsi zaidi ya watu laki 8 waliokuwa wamekimbilia makanisani;
Huu ndio upande wa giza wa "Siasa za Mimbari" (Pulpit Politics) kuitumia kofia ya dini kufanya siasa za chuki ambazo mwisho wake ni mgawanyiko, uhasama, na maasi ndani ya jamii.
Mwisho, Ni wazi kuwa Padre Kitima anavuka mstari mwembamba kati ya utetezi wa haki na uanaharakati wa kisiasa. Ni vyema angetumia hekima kuachana na U-Padri kama alivyofanya Dkt Slaa Ili aingie kwenye siasa ieleweke kuwa anayezungumza ni mwanasiasa ama achague kubaki kuwa Padri na aachane na harakati za Wanasiasa.
*#NCHI KWANZA
*#AMANI YETU KWANZA
*#TUSHIKAMANE KIIMANI ZAIDI NA UKATOLIKI WETU,TUSIGAWANYIKE,TUSILIARIBU LILE KANISA ALILOTUACHIA MT.PETRO,AMEN.
kum.a la m.am.ako kwamba dini ya kikatoliki imekataza mapadri kupinga uovu ?!Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.

Shehe Mwaipopo ameanzisha vikundi vya kigaidi au dini yenu inaruhusu.Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.

Wewe daràsa la nne utaweza VIPI Ku argue na PhD holder kitima? Ka some kwanza ngumbaru weeeHarakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu) kufungamana na upande wowote wa chama cha siasa. Sheria hii inasisitiza kuwa wakleri hawapaswi kuchukua nafasi yoyote katika vyama vya kisiasa wala uongozi wa kisiasa ili kulinda umoja wa waumini wote.
Katika karne ya 16 na 17, Papa alikuwa na mamlaka ya "kidini" na "kiserikali." Hata hivyo, baada ya mageuzi ya Kiprotestanti na mabadiliko ya kijamii Ulaya, mfumo huo ulikoma. Lengo lilikuwa kutenganisha huduma ya “Kiroho” (inayofanywa na viongozi wa Kanisa) na huduma ya “Kisiasa” (inayofanywa na wanasiasa). Kisaikolojia na kivitendo, huduma hizi mbili haziwezi kwenda sambamba bila kuleta mgongano wa kimaslahi.
Papa Yohane Paulo II alipinga vikali "Theolojia ya Ukombozi" (Liberation Theology), ambapo baadhi ya mapadri walitumia kuhalalisha harakati za kimapinduzi na kisiasa. Papa Francis pia alikaririwa mara nyingi akisema, "Mapadri wasiwe wanasiasa, bali wawe wachungaji."
Kitendo cha Padre Kitima kwenda kinyume na miongozo hii ya Ma-papa ni ishara ya Utovu wa Utii (Disobedience), kosa ambalo linaangukia chini ya Kanuni ya 173 ya Sheria za Kanisa, inayohusu kuchochea uadui au utovu wa utii dhidi ya mamlaka ya juu ya Kanisa.
Historia inatufundisha madhara ya viongozi wa dini kuingilia siasa na makundi ya kisiasa, Mwaka 1994 nchini Rwanda, mapadri kama Athanase Seromba na Emmanuel Rukundo walitumia ushawishi wao kuunga mkono harakati za "Hutu Power," jambo lililopelekea mauaji ya Watutsi zaidi ya watu laki 8 waliokuwa wamekimbilia makanisani;
Huu ndio upande wa giza wa "Siasa za Mimbari" (Pulpit Politics) kuitumia kofia ya dini kufanya siasa za chuki ambazo mwisho wake ni mgawanyiko, uhasama, na maasi ndani ya jamii.
Mwisho, Ni wazi kuwa Padre Kitima anavuka mstari mwembamba kati ya utetezi wa haki na uanaharakati wa kisiasa. Ni vyema angetumia hekima kuachana na U-Padri kama alivyofanya Dkt Slaa Ili aingie kwenye siasa ieleweke kuwa anayezungumza ni mwanasiasa ama achague kubaki kuwa Padri na aachane na harakati za Wanasiasa.
*#NCHI KWANZA
*#AMANI YETU KWANZA
*#TUSHIKAMANE KIIMANI ZAIDI NA UKATOLIKI WETU,TUSIGAWANYIKE,TUSILIARIBU LILE KANISA ALILOTUACHIA MT.PETRO,AMEN.
Wewe mijnga sana, hapana, mpumbavu.Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.

Yes,Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.

Sawa kabisa mkuuYes,
uko sahihi 100%
in fact mi nadhani huyo ni miongoni mwa mashahidi wa uongo wa imani ndani ya kanisa katoliki. Halafu hulka na tamaa za fedha za kanisa na za kimwili alizonazo huyo muungwana dhidi ya waamini hasa wa kike wa kanisa hilo, zinalandana kabisa na mwenye laana mzee Slaa.
Alipoaga dunia hayati Cardinal P.Pengo alifurahi mno huyo muungwana. Daima alijua Pengo ndio kizuizi cha yeye kua Askofu. Yaani ana tamaa ya pesa, vyeo, mali na tamaa za kingono kupindukia huyo muungwana.
Na ukifuatilia hata anapokua katika kazi za kanisa katoliki, unamuona kabisa ni mtu mwenye majivuno, ni mchochezi, ni mtu mwenye kiburi, mjeuri anaependa sana kujikweza, ni mtu mwenye dharau na aliekosa adabu hata kwa viongozi wa kanisa katoliki.
Nadhani ule mpango wake wa kutaka kuingiza chadema ndani ya kanisa katoliki, kisa tu eti Lisu ni Mnyiramba kutoka Singida kama yeye, kilionyesha upendeleo wa kikabila ndani ya kanisa katoliki na kupelekea walei kindakindaki kupinga wazi wazi najisi hiyo kwa kanisa.
Nadhani ni muhimu sana huyo muungwana apuuzwe kama alivyo puuzwa Mzee Slaa anateseka na laana ya tamaa za kingono na kupora wake za wenyewe hukua akimuacha mkewe 🐒
Nimekuona pm Mkuu vYes,
uko sahihi 100%
in fact mi nadhani huyo ni miongoni mwa mashahidi wa uongo wa imani ndani ya kanisa katoliki. Halafu hulka na tamaa za fedha za kanisa na tamaa za kimwili alizonazo huyo muungwana dhidi ya waamini hasa wa kike wa kanisa hilo, zinalandana kabisa na mwenye laana mzee Slaa.
Alipoaga dunia hayati Cardinal P.Pengo alifurahi mno huyo muungwana. Daima alijua Pengo ndio kizuizi cha yeye kua Askofu. Yaani ana tamaa ya pesa, vyeo, mali na tamaa za kingono kupindukia huyo muungwana.
Na ukifuatilia hata anapokua katika kazi za kanisa katoliki, unamuona kabisa ni mtu mwenye majivuno, ni mchochezi, ni mtu mwenye kiburi, mjeuri anaependa sana kujikweza, ni mtu mwenye dharau na aliekosa adabu hata kwa viongozi wa kanisa katoliki.
Nadhani ule mpango wake wa kutaka kuingiza chadema ndani ya kanisa katoliki, kisa tu eti Lisu ni Mnyiramba kutoka Singida kama yeye, kilionyesha upendeleo wa kikabila ndani ya kanisa katoliki na kupelekea walei kindakindaki kupinga wazi wazi najisi hiyo kwa kanisa.
Nadhani ni muhimu sana huyo muungwana apuuzwe kama alivyo puuzwa Mzee Slaa anateseka na laana ya tamaa za kingono na kupora wake za wenyewe huku akimuacha mkewe 🐒