Anachokifanya Fr. Kitima ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya Kikatoliki

Anachokifanya Fr. Kitima ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya Kikatoliki

Yes,
uko sahihi 100%


in fact mi nadhani huyo ni miongoni mwa mashahidi wa uongo wa imani ndani ya kanisa katoliki. Halafu hulka na tamaa za fedha za kanisa na tamaa za kimwili alizonazo huyo muungwana dhidi ya waamini hasa wa kike wa kanisa hilo, zinalandana kabisa na mwenye laana mzee Slaa.

Alipoaga dunia hayati Cardinal P.Pengo alifurahi mno huyo muungwana. Daima alijua Pengo ndio kizuizi cha yeye kua Askofu. Yaani ana tamaa ya pesa, vyeo, mali na tamaa za kingono kupindukia huyo muungwana.

Na ukifuatilia hata anapokua katika kazi za kanisa katoliki, unamuona kabisa ni mtu mwenye majivuno, ni mchochezi, ni mtu mwenye kiburi, mjeuri anaependa sana kujikweza, ni mtu mwenye dharau na aliekosa adabu hata kwa viongozi wa kanisa katoliki.

Nadhani ule mpango wake wa kutaka kuingiza chadema ndani ya kanisa katoliki, kisa tu eti Lisu ni Mnyiramba kutoka Singida kama yeye, kilionyesha upendeleo wa kikabila ndani ya kanisa katoliki na kupelekea walei kindakindaki kupinga wazi wazi najisi hiyo kwa kanisa.

Nadhani ni muhimu sana huyo muungwana apuuzwe kama alivyo puuzwa Mzee Slaa anateseka na laana ya tamaa za kingono na kupora wake za wenyewe huku akimuacha mkewe 🐒
Ngumbaru Wewe daràsa la nne huna hadhi ya kutaja jina la PhD holder
 
Kukemea uovu sio kufanya siasa na sikosa kisheria nanikazi ya mtumishi wa Mungu kukemea maovu.
Kinachotushangaza niwale mashekhe wanatangaza kukata watu vichwa, Wanoatangaza kuwa wanamiliki makundi vya kigaidi bado wapo uraiyani na hamuwakemei maana nikinyume na mafundisho ya Mungu na nikinyume na katiba yetu
 
Huyo Padri amenogewa na siasa za kiharakati mpaka emejisahu kama yeye ni mtumishi wa mungu.Kanisa katoliki washtuke kutoka usingizini hawana Padri ila mwanasiasa wa CDM mpinga Serikali tukufu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom