Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,399
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana
kihistoria na Kibiblia, viongozi wa kiroho daima wamekuwa "sauti ya wasio na sauti." Kama vile Manabii wa Agano la Kale (kama Eliya na Yohane Mbatizaji) walivyowakabili wafalme waliokiuka maadili, mapadri wana wajibu wa kukemea dhuluma, rushwa, na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na wanasiasa. Huu si ushabiki wa kisiasa, ni utetezi wa haki.Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu) kufungamana na upande wowote wa chama cha siasa. Sheria hii inasisitiza kuwa wakleri hawapaswi kuchukua nafasi yoyote katika vyama vya kisiasa wala uongozi wa kisiasa ili kulinda umoja wa waumini wote.
Katika karne ya 16 na 17, Papa alikuwa na mamlaka ya "kidini" na "kiserikali." Hata hivyo, baada ya mageuzi ya Kiprotestanti na mabadiliko ya kijamii Ulaya, mfumo huo ulikoma. Lengo lilikuwa kutenganisha huduma ya “Kiroho” (inayofanywa na viongozi wa Kanisa) na huduma ya “Kisiasa” (inayofanywa na wanasiasa). Kisaikolojia na kivitendo, huduma hizi mbili haziwezi kwenda sambamba bila kuleta mgongano wa kimaslahi.
Papa Yohane Paulo II alipinga vikali "Theolojia ya Ukombozi" (Liberation Theology), ambapo baadhi ya mapadri walitumia kuhalalisha harakati za kimapinduzi na kisiasa. Papa Francis pia alikaririwa mara nyingi akisema, "Mapadri wasiwe wanasiasa, bali wawe wachungaji."
Kitendo cha Padre Kitima kwenda kinyume na miongozo hii ya Ma-papa ni ishara ya Utovu wa Utii (Disobedience), kosa ambalo linaangukia chini ya Kanuni ya 173 ya Sheria za Kanisa, inayohusu kuchochea uadui au utovu wa utii dhidi ya mamlaka ya juu ya Kanisa.
Historia inatufundisha madhara ya viongozi wa dini kuingilia siasa na makundi ya kisiasa, Mwaka 1994 nchini Rwanda, mapadri kama Athanase Seromba na Emmanuel Rukundo walitumia ushawishi wao kuunga mkono harakati za "Hutu Power," jambo lililopelekea mauaji ya Watutsi zaidi ya watu laki 8 waliokuwa wamekimbilia makanisani;
Huu ndio upande wa giza wa "Siasa za Mimbari" (Pulpit Politics) kuitumia kofia ya dini kufanya siasa za chuki ambazo mwisho wake ni mgawanyiko, uhasama, na maasi ndani ya jamii.
Mwisho, Ni wazi kuwa Padre Kitima anavuka mstari mwembamba kati ya utetezi wa haki na uanaharakati wa kisiasa. Ni vyema angetumia hekima kuachana na U-Padri kama alivyofanya Dkt Slaa Ili aingie kwenye siasa ieleweke kuwa anayezungumza ni mwanasiasa ama achague kubaki kuwa Padri na aachane na harakati za Wanasiasa.
*#NCHI KWANZA
*#AMANI YETU KWANZA
*#TUSHIKAMANE KIIMANI ZAIDI NA UKATOLIKI WETU,TUSIGAWANYIKE,TUSILIARIBU LILE KANISA ALILOTUACHIA MT.PETRO,AMEN.
Waislamu mfano wa Crocodiletooth Mwaipopo na samia ndiyo roll model waoKwamba unamaanisha Sheikh Mwaipopo ndo anatakiwa awe SI unit kwa taasisi za dini zinavyopaswa kuenenda.
inaelekea Father Kitima anawakosesha sana usingiziHarakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu) kufungamana na upande wowote wa chama cha siasa. Sheria hii inasisitiza kuwa wakleri hawapaswi kuchukua nafasi yoyote katika vyama vya kisiasa wala uongozi wa kisiasa ili kulinda umoja wa waumini wote.
Katika karne ya 16 na 17, Papa alikuwa na mamlaka ya "kidini" na "kiserikali." Hata hivyo, baada ya mageuzi ya Kiprotestanti na mabadiliko ya kijamii Ulaya, mfumo huo ulikoma. Lengo lilikuwa kutenganisha huduma ya “Kiroho” (inayofanywa na viongozi wa Kanisa) na huduma ya “Kisiasa” (inayofanywa na wanasiasa). Kisaikolojia na kivitendo, huduma hizi mbili haziwezi kwenda sambamba bila kuleta mgongano wa kimaslahi.
Papa Yohane Paulo II alipinga vikali "Theolojia ya Ukombozi" (Liberation Theology), ambapo baadhi ya mapadri walitumia kuhalalisha harakati za kimapinduzi na kisiasa. Papa Francis pia alikaririwa mara nyingi akisema, "Mapadri wasiwe wanasiasa, bali wawe wachungaji."
Kitendo cha Padre Kitima kwenda kinyume na miongozo hii ya Ma-papa ni ishara ya Utovu wa Utii (Disobedience), kosa ambalo linaangukia chini ya Kanuni ya 173 ya Sheria za Kanisa, inayohusu kuchochea uadui au utovu wa utii dhidi ya mamlaka ya juu ya Kanisa.
Historia inatufundisha madhara ya viongozi wa dini kuingilia siasa na makundi ya kisiasa, Mwaka 1994 nchini Rwanda, mapadri kama Athanase Seromba na Emmanuel Rukundo walitumia ushawishi wao kuunga mkono harakati za "Hutu Power," jambo lililopelekea mauaji ya Watutsi zaidi ya watu laki 8 waliokuwa wamekimbilia makanisani;
Huu ndio upande wa giza wa "Siasa za Mimbari" (Pulpit Politics) kuitumia kofia ya dini kufanya siasa za chuki ambazo mwisho wake ni mgawanyiko, uhasama, na maasi ndani ya jamii.
Mwisho, Ni wazi kuwa Padre Kitima anavuka mstari mwembamba kati ya utetezi wa haki na uanaharakati wa kisiasa. Ni vyema angetumia hekima kuachana na U-Padri kama alivyofanya Dkt Slaa Ili aingie kwenye siasa ieleweke kuwa anayezungumza ni mwanasiasa ama achague kubaki kuwa Padri na aachane na harakati za Wanasiasa.
*#NCHI KWANZA
*#AMANI YETU KWANZA
*#TUSHIKAMANE KIIMANI ZAIDI NA UKATOLIKI WETU,TUSIGAWANYIKE,TUSILIARIBU LILE KANISA ALILOTUACHIA MT.PETRO,AMEN.
🚮Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.

Muuweni basi, ili MFURAHI, maana mara ya kwanza mlishindwa kumuua amekuwa MZIMU.
Mmepambana na MDUDE mkampa moaka kesi za MADAWA YA KULEVYA, mpaka mmefanikiwa KUMUUA.
Muuweni na Padre Kitima basi, maana Nondo mliyompiga mara ya kwanza HAKUFA.
Nilichokisema hapo hakina tofauti na sala.Upo serious kabisa na umemaliza na neno "Amen" kabisa?
Utter nonsense!Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu) kufungamana na upande wowote wa chama cha siasa. Sheria hii inasisitiza kuwa wakleri hawapaswi kuchukua nafasi yoyote katika vyama vya kisiasa wala uongozi wa kisiasa ili kulinda umoja wa waumini wote.
Katika karne ya 16 na 17, Papa alikuwa na mamlaka ya "kidini" na "kiserikali." Hata hivyo, baada ya mageuzi ya Kiprotestanti na mabadiliko ya kijamii Ulaya, mfumo huo ulikoma. Lengo lilikuwa kutenganisha huduma ya “Kiroho” (inayofanywa na viongozi wa Kanisa) na huduma ya “Kisiasa” (inayofanywa na wanasiasa). Kisaikolojia na kivitendo, huduma hizi mbili haziwezi kwenda sambamba bila kuleta mgongano wa kimaslahi.
Papa Yohane Paulo II alipinga vikali "Theolojia ya Ukombozi" (Liberation Theology), ambapo baadhi ya mapadri walitumia kuhalalisha harakati za kimapinduzi na kisiasa. Papa Francis pia alikaririwa mara nyingi akisema, "Mapadri wasiwe wanasiasa, bali wawe wachungaji."
Kitendo cha Padre Kitima kwenda kinyume na miongozo hii ya Ma-papa ni ishara ya Utovu wa Utii (Disobedience), kosa ambalo linaangukia chini ya Kanuni ya 173 ya Sheria za Kanisa, inayohusu kuchochea uadui au utovu wa utii dhidi ya mamlaka ya juu ya Kanisa.
Historia inatufundisha madhara ya viongozi wa dini kuingilia siasa na makundi ya kisiasa, Mwaka 1994 nchini Rwanda, mapadri kama Athanase Seromba na Emmanuel Rukundo walitumia ushawishi wao kuunga mkono harakati za "Hutu Power," jambo lililopelekea mauaji ya Watutsi zaidi ya watu laki 8 waliokuwa wamekimbilia makanisani;
Huu ndio upande wa giza wa "Siasa za Mimbari" (Pulpit Politics) kuitumia kofia ya dini kufanya siasa za chuki ambazo mwisho wake ni mgawanyiko, uhasama, na maasi ndani ya jamii.
Mwisho, Ni wazi kuwa Padre Kitima anavuka mstari mwembamba kati ya utetezi wa haki na uanaharakati wa kisiasa. Ni vyema angetumia hekima kuachana na U-Padri kama alivyofanya Dkt Slaa Ili aingie kwenye siasa ieleweke kuwa anayezungumza ni mwanasiasa ama achague kubaki kuwa Padri na aachane na harakati za Wanasiasa.
*#NCHI KWANZA
*#AMANI YETU KWANZA
*#TUSHIKAMANE KIIMANI ZAIDI NA UKATOLIKI WETU,TUSIGAWANYIKE,TUSILIARIBU LILE KANISA ALILOTUACHIA MT.PETRO,AMEN.
Umeandika mengi ila yote ni uongo wa kujitungia tu.Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.

Sisi waroma tuna ""sheria"". ""kanuni"" na ""vikao"" vyetu, mmoja wetu anapopotoka, humwombea kwa baba yetu wa mbinguni,akae sawa!Umeandika mengi ila yote ni uongo wa kujitungia tu.
NB: Father Kitima anao viongozi/wakubwa wake.Umesikia wamekanusha anachokiongea?Jifunze kuandika mambo machache,ya ukweli na ueleweke.CCM miongoniongo muda wote!
Bado unaendeleza miuongo yako.Nimekupa muongozo na swali ndani yake halafu wewe unajirusharusha kama marehemu msubiriwa.Kanisa haliendi hivyo wewe!Unadhani unaweza tu kusimamisha kiriba tumbo chako na kuanza kumuhoji father Kitima kihunihuni tu?Kama unaona kuna jambo humuelewi,nawe unajinasubisha na ukatoliki(uroma?),nini kinakushinda kwenda kupata ufafanuzi kwa wakubwa wake au kamshitaki kwao.Umbeya kafanye na sheikh Mwaipopo.Sisi waroma tuna ""sheria"". ""kanuni"" na ""vikao"" vyetu, mmoja wetu anapopotoka, humwombea kwa baba yetu wa mbinguni,akae sawa!
kaka mdogo unapokutana na hali kama hii mapema namna hii, njia bora ya kulinda amani yako ya akili ni Kupuuza na Kusonga Mbele kama INJILI kwa kuwa Si kila hoja mtandaoni inastahili nishati na muda wako, hasa kama haijajengwa kwenye misingi ya kuheshimiana. Na pia unaweza kuamua Kujibu kwa Hoja zenye mantiki zaidi hasa pale unapoona kuna nafasi ya kurekebisha kwa ukweli na data za kueleweka, unaweza kuweka mambo sawa kistaarabu ili wasomaji wengine wapate picha sahihi kuliko kuwaacha hawa makanjanja wafanye upotoshajiAkili za kichupi chupi,ndiyo kwanza kumekucha asubuhi ya saa tatu but mtu kichwani anatoa ujinga kama huu ikifika saa tisa alasiri atakuwaje?
Sisi waroma tuna ""sheria"". ""kanuni"" na ""vikao"" vyetu, mmoja wetu anapopotoka, humwombea kwa baba yetu wa mbinguni,akae sawa!
mungu Samia oyeeeeeeeeeNilichokisema hapo hakina tofauti na sala.