Anachokifanya Fr. Kitima ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya Kikatoliki

kihistoria na Kibiblia, viongozi wa kiroho daima wamekuwa "sauti ya wasio na sauti." Kama vile Manabii wa Agano la Kale (kama Eliya na Yohane Mbatizaji) walivyowakabili wafalme waliokiuka maadili, mapadri wana wajibu wa kukemea dhuluma, rushwa, na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na wanasiasa. Huu si ushabiki wa kisiasa, ni utetezi wa haki.
msiwe mnaanza uzi kama mmekatwa vichwa
 
Akili za kichupi chupi,ndiyo kwanza kumekucha asubuhi ya saa tatu but mtu kichwani anatoa ujinga kama huu ikifika saa tisa alasiri atakuwaje?
 
inaelekea Father Kitima anawakosesha sana usingizi
 
🚮
 
Muuweni basi, ili MFURAHI, maana mara ya kwanza mlishindwa kumuua amekuwa MZIMU.

Mmepambana na MDUDE mkampa moaka kesi za MADAWA YA KULEVYA, mpaka mmefanikiwa KUMUUA.

Muuweni na Padre Kitima basi, maana Nondo mliyompiga mara ya kwanza HAKUFA.

Upo serious kabisa na umemaliza na neno "Amen" kabisa?
Nilichokisema hapo hakina tofauti na sala.
 
Utter nonsense!
 
Umeandika mengi ila yote ni uongo wa kujitungia tu.
NB: Father Kitima anao viongozi/wakubwa wake.Umesikia wamekanusha anachokiongea?Jifunze kuandika mambo machache,ya ukweli na ueleweke.CCM miongoniongo muda wote!
 
Umeandika mengi ila yote ni uongo wa kujitungia tu.
NB: Father Kitima anao viongozi/wakubwa wake.Umesikia wamekanusha anachokiongea?Jifunze kuandika mambo machache,ya ukweli na ueleweke.CCM miongoniongo muda wote!
Sisi waroma tuna ""sheria"". ""kanuni"" na ""vikao"" vyetu, mmoja wetu anapopotoka, humwombea kwa baba yetu wa mbinguni,akae sawa!
 
Sisi waroma tuna ""sheria"". ""kanuni"" na ""vikao"" vyetu, mmoja wetu anapopotoka, humwombea kwa baba yetu wa mbinguni,akae sawa!
Bado unaendeleza miuongo yako.Nimekupa muongozo na swali ndani yake halafu wewe unajirusharusha kama marehemu msubiriwa.Kanisa haliendi hivyo wewe!Unadhani unaweza tu kusimamisha kiriba tumbo chako na kuanza kumuhoji father Kitima kihunihuni tu?Kama unaona kuna jambo humuelewi,nawe unajinasubisha na ukatoliki(uroma?),nini kinakushinda kwenda kupata ufafanuzi kwa wakubwa wake au kamshitaki kwao.Umbeya kafanye na sheikh Mwaipopo.
 
Akili za kichupi chupi,ndiyo kwanza kumekucha asubuhi ya saa tatu but mtu kichwani anatoa ujinga kama huu ikifika saa tisa alasiri atakuwaje?
kaka mdogo unapokutana na hali kama hii mapema namna hii, njia bora ya kulinda amani yako ya akili ni Kupuuza na Kusonga Mbele kama INJILI kwa kuwa Si kila hoja mtandaoni inastahili nishati na muda wako, hasa kama haijajengwa kwenye misingi ya kuheshimiana. Na pia unaweza kuamua Kujibu kwa Hoja zenye mantiki zaidi hasa pale unapoona kuna nafasi ya kurekebisha kwa ukweli na data za kueleweka, unaweza kuweka mambo sawa kistaarabu ili wasomaji wengine wapate picha sahihi kuliko kuwaacha hawa makanjanja wafanye upotoshaji
 
Bila shaka mleta mada ni chawa shetani wa wauaji.
Padre Kitima hajawahi kuwa mwanasiasa na hana hamu ya kuwa mwanasiasa. Kauli za Father Kitima kukemea uovu, kukemea vitendo vya ibilisi, kukemea utekaji na mauaji, kukemea dhambi, ni sehemu ya utume. Na wala hiyo haiashirii kuwa yeye ni mwanasiasa au ana hamu ya kuwa mwanasiasa.
Ninyi mnaoshabikia mauaji, na utekaji, naona mmenyimwa hekima. Hata ukiona ndugu yako anauawa au anatekwa, mnaamua kushangilia, na kila anayekemea huo uovu, mnataka mjifiche kwenye kauli za kishetani za kusema kila anayekemea uovu, eti ni mwanasiasa.
Tunamwomba Mungu azidi kumjalia hekima na ujasiri father Kitima ili azidi kukemea vitendo vya kishetani kama vile vya utekaji na mauaji ya binadamu.
 
Sisi waroma tuna ""sheria"". ""kanuni"" na ""vikao"" vyetu, mmoja wetu anapopotoka, humwombea kwa baba yetu wa mbinguni,akae sawa!


Hakuna mroma ambaye anaweza kujitokeza wazi na kujitangaza kuwa yeye ni wakala wa shetani, kama ulivyofanya wewe. Ni wale wenzetu wanaosema mtume alimsilimisha shetani, ndio wanaoweza kupongeza matendo ya shetani, wanayesema alifanywa kuwa rafiki yao kwa kusilimishwa.

Hadaa zako za kujiita wewe ni mkatoliki wa chini ya mamlaka wa Roma, utawapata wale walioharibiwa akili tu, na siyo wenye Roho wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…