Anachokifanya Fr. Kitima ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya Kikatoliki

🖕
 
Umeandika mambo ya hovyo sana, nimegundua ili kuishi lazima ujitoe ufahamu pole sana sio mbaya maana ndivyo unavyopasawakuwa ili uendelee kulipwa
 
Kwamba viongozi wa dini ya kiislamu wako sawa, wakatholiki wanashida sababu ya upeo wao Mkubwa wa ufahamu. Wivu WA nini na wewe wapeleke shule basi
 
Yale maandamano fake yaliyoandaliwa na bachange wa abdu kunishinikiza father kitima afukuzwe mmefikia wapi nayo? Au ndio aibu kubwa?.
 
Siku Father Kitima akikutana na Mungu anayemuabudu angalau atakuwa na cha kujitetea kuwa "Walipoteswa, walipouwawa sikunyamaza kimya nilikemea dhambi ile hata wakataka kuniua na mimi."
 
MÀTAKÓ YENU
 
Umeandika mambo ya hovyo sana, nimegundua ili kuishi lazima ujitoe ufahamu pole sana sio mbaya maana ndivyo unavyopasawakuwa ili uendelee kulipwa
Gentleman,
ukiona kumeandikwa jambo la hovyo jukwaani,
wewe unapaswa kuja na jambo la maana mbadala na bora zaidi ya hilo la hovyo,

lakini kujipiga kifua na kumbwelambwela nonsense kama hivyo jukwaani, ni kujiexpose tu ulivyo empty head with pointless mind
 
We jamaaa ni mpumbavu saaana
 
We jamaaa ni mpumbavu saaana
ndugu muerevu,
huna haja ya kuexpose empty head yako kwa mihemko nonsense jukwaani,
jikite kwenye hoja na mawazo mapya bora zaidi yangu na itapendeza zaidi, acha kumbwelambwela nonsense jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…