Not 100 per cent..hoja nyingine zina ukweli nyingine hapana100%
Haha anaandaa walaka wa puumba tupu. Huwa analinganisha awamu bila kusema yeye msimamo wake ni upi??Lucas mwashamba anakuja kutolea maelezo
Tanzania ni nchi ngumu sana kuielewa.( Hasa Mimi mjinga).Wanausalama ni chawa, vetting na recruiting kuanzia huko wanakowaokota these days(UVCCM) wanachokaririshwa ni kuwa akiwa bootleeaker wa kiongozi, mke wa kiongozi, mtoto wa kiongozi au mabepari kama Rostam Aziz wanaowamiliki viongozi ndiyo kuaminika na kupanda kwao vyeo. This whole ordeal is pathetically bad and it’s crushing the country into pieces.
Mbona Kailima ni usalama wa Taifa na mwanachama hai wa CCM. Hujui hilo. Utasemaje kuwa usalama wa taifa siyo CCMGT
Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na maendeleo ya nchi.
Tujiulize.
1. Mpaka mkataba wa Bandari unasainiwa kinyemela walikuwa wapi.
2. Mtu anasema raisi atauwawa na akafa kweli it is shocking.
3. Wanamtandao kuamua nani awe rais wa nchi rejea mwinyi kule Zanzibar etc, taifa limetekwa hili
4. Rostam kuwa na hatimiliki ya TZ it is crazy.
5.Deni mpaka linafika 107TR kiholela where are they?
6.Kesi ya Lissu upuuzi mtupu
7. Hili la NIDA, NEC na CCM ndiyo kiboko.
9. Katiba ya warioba licha ya kutumia pesa nyingi za serikali iko wapi mpaka sasa?
10. Mgawanyiko na Raia kukosa uzalendo kwa nchi wamelala tu wanakunywa mvinyo.
11. Hao waarabu wanaouziwa.mbuga zetu kiholela what for?
12. Samia kuendelea kuwa raisi hadi 2030 pathetic.
13. Utoroshwaji wa madini na rasilimali zingine kama wanyama, it is painful.
In short wanausalama wetu wamegeuka.kuwa politicians wanakula hela na kulala hawalisaidii Taifa kabisa wanakazi moja tu kukimbizana na chadema ndo uwezo wao unapoishia.
Bado kuna siri kubwa kwa January kuhusu hiyo mifumoAnayoyasema Polepole yanatia hasira sana, na kwakuwa hakuna aliyejitokeza kufafanua au kupinga kwa hoja, kwa asilimia kubwa inathibitisha ni ukweli mtupu.
Nawashangaa sana wanaotaka tumpuuze Polepole, yani leo hii Nape au Kinana wajitokeze waombe msamaha na waseme vile walivyoshinda chaguzi kwa mbinu chafu halafu tuwapuuze na tuwaamini akina Lucas mwashamba kweli? Tutakuwa mapunguani.
Mkuu tukubaliane kuwa Chadema ni wanaume!!!GT
Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na maendeleo ya nchi.
Tujiulize.
1. Mpaka mkataba wa Bandari unasainiwa kinyemela walikuwa wapi.
2. Mtu anasema raisi atauwawa na akafa kweli it is shocking.
3. Wanamtandao kuamua nani awe rais wa nchi rejea mwinyi kule Zanzibar etc, taifa limetekwa hili
4. Rostam kuwa na hatimiliki ya TZ it is crazy.
5.Deni mpaka linafika 107TR kiholela where are they?
6.Kesi ya Lissu upuuzi mtupu
7. Hili la NIDA, NEC na CCM ndiyo kiboko.
9. Katiba ya warioba licha ya kutumia pesa nyingi za serikali iko wapi mpaka sasa?
10. Mgawanyiko na Raia kukosa uzalendo kwa nchi wamelala tu wanakunywa mvinyo.
11. Hao waarabu wanaouziwa.mbuga zetu kiholela what for?
12. Samia kuendelea kuwa raisi hadi 2030 pathetic.
13. Utoroshwaji wa madini na rasilimali zingine kama wanyama, it is painful.
In short wanausalama wetu wamegeuka.kuwa politicians wanakula hela na kulala hawalisaidii Taifa kabisa wanakazi moja tu kukimbizana na chadema ndo uwezo wao unapoishia.
Kabisa. Umenena vema sana MkuuGT

Usalama masalhi binafsi huyoMbona Kailima ni usalama wa Taifa na mwanachama hai wa CCM. Hujui hilo. Utasemaje kuwa usalama wa taifa siyo CCM
Huyo hawezi kufungua mdomoBado kuna siri kubwa kwa January kuhusu hiyo mifumo
Adui namba moja wa Mtanzania ni CCM na katiba ya mwaka 1977GT
Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na maendeleo ya nchi.
Tujiulize.
1. Mpaka mkataba wa Bandari unasainiwa kinyemela walikuwa wapi.
2. Mtu anasema raisi atauwawa na akafa kweli it is shocking.
3. Wanamtandao kuamua nani awe rais wa nchi rejea mwinyi kule Zanzibar etc, taifa limetekwa hili
4. Rostam kuwa na hatimiliki ya TZ it is crazy.
5.Deni mpaka linafika 107TR kiholela where are they?
6.Kesi ya Lissu upuuzi mtupu
7. Hili la NIDA, NEC na CCM ndiyo kiboko.
9. Katiba ya warioba licha ya kutumia pesa nyingi za serikali iko wapi mpaka sasa?
10. Mgawanyiko na Raia kukosa uzalendo kwa nchi wamelala tu wanakunywa mvinyo.
11. Hao waarabu wanaouziwa.mbuga zetu kiholela what for?
12. Samia kuendelea kuwa raisi hadi 2030 pathetic.
13. Utoroshwaji wa madini na rasilimali zingine kama wanyama, it is painful.
In short wanausalama wetu wamegeuka.kuwa politicians wanakula hela na kulala hawalisaidii Taifa kabisa wanakazi moja tu kukimbizana na chadema ndo uwezo wao unapoishia.
Mkuu kama ulikuwa hujui leo na kuambia huyu dogo Mwashambwa anachangamoto ya akili na yupo kwenye dozi! Bila dozi anavuaga nguo!!Lucas mwashamba anakuja kutolea maelezo
Hahahaha 😂😂😂😂Mkuu kama ulikuwa hujui leo na kuambia huyu dogo Mwashambwa anachangamoto ya akili na yupo kwenye dozi! Bila dozi anavuaga nguo!!
Kama huamini subiri utajionea mwenyewe!!! Una fikirii kwanini kwa utetezi anaoufanya hapa hapewi nafasi wakati ni msomi, analo faili!!! CCM sio wajinga ujue!!!
Ndugu yangu unapoteza muda kumfikiria au kuhangaika mtu ambaye ni mental case. Kama uongo apinge, hata akipinga ilhali hajathibitishwa kupona ni bure!!!
Take my word!
🤣 🤣 🤣 🔊ngoma nzito kala kona
Lakini pia ni BWABWA. Ndo maana hawezi kupata uteuzi hata ubalozi wa nyumba kumiMkuu kama ulikuwa hujui leo na kuambia huyu dogo Mwashambwa anachangamoto ya akili na yupo kwenye dozi! Bila dozi anavuaga nguo!!
Kama huamini subiri utajionea mwenyewe!!! Una fikirii kwanini kwa utetezi anaoufanya hapa hapewi nafasi wakati ni msomi, analo faili!!! CCM sio wajinga ujue!!!
Ndugu yangu unapoteza muda kumfikiria au kuhangaika mtu ambaye ni mental case. Kama uongo apinge, hata akipinga ilhali hajathibitishwa kupona ni bure!!!
Take my word!
🤔 🤔 🤔 💭 🔊Not 100 per cent..hoja nyingine zina ukweli nyingine hapana