Mimi namshukuru Mungu Nilibahatika Kuona na kushuhudia utendaji wa serikali awamu ya kwanza mpaka ya sasa.
Kwa kweli kiutendaji na Uwajibikaji ni Awamu mbili tu ndio zilijitolea na kuwajibika kwa dhati kabisa na Uzalendo mkubwa. Ni Awamu ya Kwanza na Awamu ya Tano.
Kwa kweli Kama Viongozi watachukulia Mzaa Basi Maneno ya Marehemu Ndugai yata dhihirika.