Anachokifanya polepole ni kuvivua nguo vyombo vya ulinzi na usalama TZ siyo CÇM hata Raisi hayupo salama chini ya wanamtandao.

Tanzania ni nchi ngumu sana kuielewa.( Hasa Mimi mjinga).
Ukiongea na Wana usalama wetu,mmoja mmoja...utauona Uwezo wao ulivyo wa kutukuka..sasa balaa linakuja wanapofanya jambo as a team..huwezi kuamini unachokisoma au kukishuhudia!
 
Mbona Kailima ni usalama wa Taifa na mwanachama hai wa CCM. Hujui hilo. Utasemaje kuwa usalama wa taifa siyo CCM
 
Shida ni katiba yetu Inawafanya viongozi kuwa kama miungu watu , Pia mihimili ilitakiwa kujitegemea mfano mahakama na bunge lakini vyote viko chini ya kikwapa cha serikali, nawao wanafanya kazi ya serikali.
 
Bado kuna siri kubwa kwa January kuhusu hiyo mifumo
 
Mkuu tukubaliane kuwa Chadema ni wanaume!!!
 
Kabisa. Umenena vema sana Mkuu
 
Adui namba moja wa Mtanzania ni CCM na katiba ya mwaka 1977
 
Lucas mwashamba anakuja kutolea maelezo
Mkuu kama ulikuwa hujui leo na kuambia huyu dogo Mwashambwa anachangamoto ya akili na yupo kwenye dozi! Bila dozi anavuaga nguo!!

Kama huamini subiri utajionea mwenyewe!!! Una fikirii kwanini kwa utetezi anaoufanya hapa hapewi nafasi wakati ni msomi, analo faili!!! CCM sio wajinga ujue!!!

Ndugu yangu unapoteza muda kumfikiria au kuhangaika na mtu ambaye ni mental case! Kama nasema uongo apinge, hata akipinga ilhali hajathibitishwa kupona ni bure!!!

Take my word!
 
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndiyo maana hajaonekana
 
Lakini pia ni BWABWA. Ndo maana hawezi kupata uteuzi hata ubalozi wa nyumba kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…