Uchaguzi 2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

1. Sugu kaenda Na watu kuchukua form,kakamatwa Na polisi kisa maandamano
2)Tulia kaenda kuchukua form Na nyomi. Hajakamatwa.
Kwamba haijulikaniPolisi wanafanyaje kazi?
 

Mkuu ebu tumia akili

Lissu ana kesi mahakamani na inaendelea....

Lissu anakupa faraja wewe na familia yako kwa magumu unayoyapitia hakufikishi unakotakiwa kuwa

Personal struggle matters
 

Kaja na full moody, kakuta sivyo ilivyo....
 
kuijenga upya Tanzania na hana sababu nyingine moyoni mwake.
Mkuu mbona kavikataza vyombo vya habari kuripoti habari za Lisu?

Mbona wamempangia afike makamani 26/8 siku ambayo anatakiwa awe tume ya uchaguzi?
Sifa hizi unazompa Magufuli zitolewe baada ya October 28.
 
SUBIRI UKIFIKA MUDA WA KAMPENI KILA KITU KITAKUWA WAZI.
 
Unadhani Meko hajaiba au kufanya ufisadi? We jidanganye!
 
Subiri KAMPENI zianze utamsikia anatakakuifanyia Nini Tanzania


na siyo Tanzania itamfanyia nini.
 
Huu ujinga kamsimulie Basha wako, hivi mnafikiri watz hatuna akili?
 
Kuna watu wanjua sana kuisemea mioyo ya watu wengine!!sijui sababu ni kitu gani kwa kweli!!
 
yani mmempiga risasi 16 kaugulia miaka mitatu kwa msaada wa wananchi halafu mnataka asiongelee.
 
Ukiona hivyo ujue kwenye hayo maeneo kakosa hoja maana ndani ya muda mchache aliokuwepo nje yote yameshughulikiwa bila uwepo wa prooaganda za wanaharakati mfu kama yeye.

Sasa akigusa wafugaji anaona anaharibu, akigusa afya anakuta mzee kapitiliza maana zahanati hadi kijijini kwao, umeme kakuta vijiji alivyoacha giza huko kwao vinawaka taa, maji imekuwa massive projects nchi nzima hadi kijijini kwake.

Maana alijaribu kumtukana magufuli wee nwanzoni akabaki anashambuliwa yeye.. alisema vibaya kuhusu corona akabaki anashambuliwa.
Juzi kagusia vitambulisho vya machinga napo kaishia kushambuliwa wakiwemo machinga wenyewe.

Sasa ameishiwa hoja..hakujua mambo magumu hivyo..hakupewa taarifa za kutosha kuhusu mageuzi yaliyofanyika ya nchi kipindi alichokuwemo nje. Hoja aliyobakiwa nayo ya mwisho ni hiyo kusema kapigwa risasi ili jamii pengine imuhurumie..amefikia sasa kusema siku magufuli aliyohutubia kuhusu wasaliti masaa mawili akapigwa risasi.

Ana hamu ya kukamatwa sio kidogo. Anaamini hiyo ndio kete aliyobakiwa nayo. Hajui hata atawauza vipi wabunge wa chadema majukwaani.
 
Hizo Ni sifa za mwanaharakati sio sifa za Rais wa nchi
 
Kwani kampeni zimeshaanza? Mbona mna kiherehere hivyo? Atawanyoosha tu na udikteta mavi wenu
 
Wale walimu wanafahamu kitu kinachoitwa Dr. Fox effect. Yaani mwalimu anaingia darasani kwenye kipindi Cha dk 40, badala ya kuanza kufundisha kile anachopaswa kufundisha anatumia dk 20 za kwanza za kipindi kwa kusimulia habari zake binafsi, za mkewe, za bata wake nyumbani, za mbwa wake alivyomuua sungura wake. Hii inasababisha mwalimu huyu kufundisha kile alichopaswa kufundisha kwa dakika chache tu zilizobaki baada ya kumaliza upuuzi wake Jambo linalosababisha akose muda wa kumaliza mada au kuchukua na muda wa walimu wengine kwa uzembe wake mwenyewe.

Badala ya yeye kuwaeleza watu kwanini wamchague yeye anatumia muda mwingi wa kusema yakwake jukwaani, akimaliza kusema ya kwake ananza kusema ya JPM, polisi, usalama wa taifa, ndugai, kigaigai nk. Hii inasababisha kushushwa majukwaani na polisi kwa kupitiliza muda wa kuhutubia ukiisha jioni.

Weledi weledi
 
Sisi wananchi tunajua hata sipoteze muda kutuambia atafanya nini
 
Watamsifia Sana akimaliza muda wake, kima hawa wala jibini na ndizi
 

Sioni shida hapo. Kama mtu atajitambulisha ili ajulikane vizuri, then atakapo kuambia anaweza fanya jambo fulani, hutakuwa tena na maswali kwani utakuwa tayari unamfahamu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…