Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
1. Sugu kaenda Na watu kuchukua form,kakamatwa Na polisi kisa maandamanoHakuna anayesema kuwa upinzani hakuna Tanzania, Goliath alimdharau Daudi akakiona Cha mtemakuni. Tunachosema upinzani hauko makini, unalaumu unalaumu unalaumu hadi mwisho badala ya kujikita, focus kwenye njia mbadala za namna shida zetu tutaziondoa, namna ya kupata katiba nzuri, tume ya Uchaguzi na uchumi wa taifa na watu. Unapofoka na kutukana jukwaani unawaogopesha watu ambao hawajazoea kusikia lugha hiyo ambao bado wako wengi Tanzania.
Hata Nyerere Kama angetumia kejeli, matusi na vitisho wakati anadai Uhuru kutoka kwa mkoloni huenda wangemuua tusingemkuta.
Mnapokuwa majukwaani kuweni Kama walimu ambao mnawafundisha watu uzuri wa vyama vingi, ubaya wa chama kimoja na namna nchi itakavyokuwa salama hata vyama vya upinzani vikiiongoza nchi.
Sasa nyie mkiwa majukwaani mnabeza kila kitu, hamchagui Cha kusema wala wa kumsema. mnabeza hata polisi, usalama wa taifa na kila kitu, hii kinachoonyesha kuwa hamfahamu namna polisi na usalama wa taifa unavyofanyakazi zake.
2)Tulia kaenda kuchukua form Na nyomi. Hajakamatwa.
Kwamba haijulikaniPolisi wanafanyaje kazi?