Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

Fumbo la imani
 
Ukampa za chembe mapema
 
Ndio maana niliapa sitomwajiri binti mzuri au binti mzuri kuwampangaji wangu, miaka yote nahepuka madhara kama hayo. Ninapokuwa natafta mpangaji au mfanyakazi sifa kuu ya kwanza ni sura mbaya.
Mazimwi yanakuhusu
 
Pole sana, nikuambie tu kama kweli mimba ni yako Shukuru Mungu, na umwambie huna mpango nae na hujawahi mpenda. Mpige matukio ataondoka mwenyewe.

Hii Tabia ya wadada wa mjini kutegesha mimba hasa anapoona Kuna uhakika wa maisha imekolea Ila na nyie wanaume em mvaage kondom bhana! Ndo Nini kupiga peku peku.

Soln ni hyo tu aking'ang'ania piga matukio atakuchoka ataondoka na hatokufanya kitu.
 
Kuna mademu wa kuvalia kondom, demu Mkali zaidi ya Pisi kali
 
Mbinu murua KABISA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…