Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Fumbo la imaniUkisikia mitihani ndo hiii sasa ,sasa unamfukuza yes ,na mimba ni yako yes hivi akienda ustawi wa jamii kwamba alikuja kama mpangaji ilaa ukampenda na kumpa mimba kuwa mtaishi hapo utasemaje ? Na akisema ulikuwa unakuja na kulala hapo kwenu kama mme mtarajiwa utakataa?
Hii ni ngumu Sanaa kumfukuza kirahisi tena akiwa na mimba yako yaan labda mtoto akizaliwa ndo unaweza Fanya hivyoo kwa sharti la kuhudumia mtoto