Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

We mzee mwenzangu...mtoto wetu huyo si mpalestina...na hako ni kanyumba ka mwenzetu..
.msukuma gani unakaa huku goba kunguru
...mtaa wa wachaga
 
usiruke mstari huyu mzee bana kavuka mistari yoote..[emoji28][emoji28][emoji28]
Acha KABISA mkuu[emoji4]

Tena uyu wa kwangu Yuko kwny nyumba 3 zilizo kwny fence moja.

Kwasasa ajenda anazojiongelesha Ni eti ananipenda sn na anatamani kuzaa na Mimi,
na umri umemtupa mkono wkt miaka yenyewe Ni ana 24 TU[emoji4]
 
Sasa mzee mambo hayo si yanazungumzika kitaalam kabisa..
Subir mtoto azaliwe usibitishe kama ni wako next time ujiongeze hawa watoto wa mjini mipango
 
Sasa mzee mambo hayo si yanazungumzika kitaalam kabisa..
Subir mtoto azaliwe usibitishe kama ni wako next time ujiongeze hawa watoto wa mjin mipango
Wanawake wa mjini wanahesaabu Kali Sana[emoji4]

Na mwanamke wa hivyo ukikaa vibaya anakutanguliza ahera abaki na nyumba
 
Mkuu umetumia akili mingi lakini angalia asije akakuzidi akili
 
Sidhani kama kuna mwanadada anayefanya kazi taasisi ya fedha asiijue jamiiforums 🤣🤣🤣

Na huu uzi utakavyotrend tegemea umeshauza ramani ya vita kwa adui... Hapo kama alikaza nati 5 ataongeza nyingine 50 ili ishu iwe ngumu mara dufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…