MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
Tulia mkuu, huwezi kua na urafiki na mtu hujui mishe zake we ni mgeni mjini hapa, kama ni jambazi, hujui kua utaisha kizembe sanaMind your own business,
Muda haumsubiri mtu,acha kufuatilia maisha ya watu,
Kwa tabia yako hiyo ya kupoteza muda wako kufuatilia maisha ya wengine,utajikuta kila siku upo pale pale tu.
Sijafatilia maisha yake, mdogo wangu, watu wana pata kesi wasizo zijua oho, kama mwizi huoni nawe utaitwa mwiziDogo maisha ya watu ni siri. Kamwe hakuna mtu atakupa code ya life yake ya kipato. Hakuna atakwambia ukweli wa njia zake za ugali bwashee.
Nje ya mada: Acha kufuatilia riziki ya mwenzio. Ridhiki ya mwenzio ni mwiko wewe kuijua.
babu yangu aliishi miaka 100+Huyu kijana ni mpangaji tu ni mtu tunapiga nae sana stori maisha yake yanakimbia sana, nilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB, nikapata mashaka je hii inaweza kuwa kweli.
So kwa ubaya ila nimekutana nae nikamuuliza sikuoni Sasa wapi, akadai kahamia, kwa muarabu, huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month, kwa navo mjua historia yake mmmh
Sijui mkuubabu yangu aliishi miaka 100+
unajua kwanini??
alikua ana mind busness zakeSijui mkuu
Mkuu hivi nawe una kazi halali kweli ? Mbona umeshituka umekosa amani, mi sija uliza kwa ubaya watu wananiona nae hapa mjini, ni mgeni ndo kwanza ana mwaka mmoja, akiwa jambazi nami taitwa jambazi, sija uliza kwa ubaya nilitaka nipewe elimu lakini naona mmepanic hii alarm kua kazi zenu si halalialikua ana mind busness zake
Utetezi wako hauna maana,Tulia mkuu, huwezi kua na urafiki na mtu hujui mishe zake we ni mgeni mjini hapa, kama ni jambazi, hujui kua utaisha kizembe sana
Mungu anasingiziwa mengi sana.Kuna jamaa huwa anaandika Mungu amsaidie kunyamaza!
Mkuu, wewe muda wa kufanya kazi huwa unautoa wapiHuyu kijana ni mpangaji tu ni mtu tunapiga nae sana stori maisha yake yanakimbia sana, nilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB, nikapata mashaka je hii inaweza kuwa kweli.
So kwa ubaya ila nimekutana nae nikamuuliza sikuoni Sasa wapi, akadai kahamia, kwa muarabu, huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month, kwa navo mjua historia yake mmmh
Hujanielewa mkuu, simuonei wivu na kazi zangu vizuri tu, yeye huja kwangu kunisalimia watu humuona na wanajua ni mshikaji wangu Sasa lazima nimpeleleze mkuu, ili kujihami mapema, hapo shida nini?Utetezi wako hauna maana,
Narudia tena,usipoteze muda wako kufuatilia maisha ya watu,
Mtu amesha hama ila bado tu unamfuatilia mpaka kujua kodi analipa kiasi gani per month!
Jikeep bussy kijana ama sivyo,wrnzako wote watakuacha nyuma.
Kwa nini mkuu, kwani nakulaga kwenu?Mkuu, wewe muda wa kufanya kazi huwa unautoa wapi