Anadai anaunga watu mabando, mb ndo chanzo cha pesa nyingi alizonazo nina mashaka

Anadai anaunga watu mabando, mb ndo chanzo cha pesa nyingi alizonazo nina mashaka

Utetezi wako hauna maana,
Narudia tena,usipoteze muda wako kufuatilia maisha ya watu,

Mtu amesha hama ila bado tu unamfuatilia mpaka kujua kodi analipa kiasi gani per month!

Jikeep bussy kijana ama sivyo,wenzako wote watakuacha nyuma.
Huenda huyo yuko mbele mkuu, ndo maana alifika mbali akasimama akawa anawafuatilia walio nyuma kuulizia wamefika wapi.

Ndo maana hadi alivohama akaendelea kumfatilia
 
Hujanielewa mkuu, simuonei wivu na kazi zangu vizuri tu, yeye huja kwangu kunisalimia watu humuona na wanajua ni mshikaji wangu Sasa lazima nimpeleleze mkuu, ili kujihami mapema, hapo shida nini?
Wapi mimi nimekwambia kua unamuonea wivu?

I told you to mind your own business,dont waste ur time for other people business,

Focus on your own goals.
 
Acha kukariri kijana,hiyo Dar ni mjini kwa upande wako,Mimi nilisha vuka hiyo stage,

Karibu tupige box hapa,na wewe utengeneza Pounds.
Hahahahahaaa🤣🤣🤣🤣 emu ngoja nicheke, Yani niache nyumba yangu, nije kulala ulaya kwenye vibaraza vya maduka, ya wakina McDonald's SI takua mjinga wa Karne,

Mkizeeka mkija huku mnaita huruma na miwani makuubwaa, ka fundi welding, vimechoka ka nini
 
Wewe hapo usiejitambua.

Alikuchoka kwa unavyomfatilia akaamua ahame awe mbali na wewe ila hukutosheka ukamfata hulo huko kuulizia hadi kodi anayolipa.

Utazalishwa mtoto mkuu!
Nimfatilie mtu nae mzidi maisha, una akili timamu mkuu? toka kwa shemeji yako kapange huzijui changamoto za mtaa wewe
 
Hahahahahaaa🤣🤣🤣🤣 emu ngoja nicheke, Yani niache nyumba yangu, nije kulala ulaya kwenye vibaraza vya maduka, ya wakina McDonald's SI takua mjinga wa Karne,

Mkizeeka mkija huku mnaita huruma na miwani makuubwaa, ka fundi welding, vimechoka ka nini
Wewe ni mpumbavu,huwezi kua na maisha kisha ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wenzako,yani mpaka unakuja kufungua uzi ili ujue kama hiyo biashara ina lipa? Na ukiendelea na tabia hiyo,wana watakuja kukuchomeka vidole.
 
Mtoa mada atazalishwa mtoto muda si mrefu
 
Wewe ni mpumbavu,huwezi kua na maisha kisha ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wenzako,yani mpaka unakuja kufungua uzi ili ujue kama hiyo biashara ina lipa? Na ukiendelea na tabia hiyo,wana watakuja kukuchomeka vidole.
Nina maisha mkuu, ili uamini NJOO kwangu nikupe khanga na mtandio ujifunike, huku ukinipikia na KAZI zingine za ndani takupa jina la mwajuma
 
Back
Top Bottom