MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
- Thread starter
- #41
Wivu gani? nimeuliza ili nijirizishe kosa lipi hapo, we afya yako inapata shida unaenda kupima, maana yake ujirizishe, na ndo utaratibu huwezi kaa na mtu hujui shughuli zake anakuja kwangu kama jambazi SI atanidhuruunajitesa bure mkuu,mimi sio nabii ila naona una wivu na rafiki yako ndiyo maana unatafuta ukweli,