Anadai anaunga watu mabando, mb ndo chanzo cha pesa nyingi alizonazo nina mashaka

Mitandao Inalipa sana ndugu zangu, mimi binafsi kuna dogo namfahamu ni mfanyakazi ofisi ya mshkaji wangu.

Dogo ana kama miaka 2 pale ofisini, hana mshahara, mara nyingi huwa anapewa posho ya buku tano kwa siku, kula juu yake, kulala ndio analala kwa bosi.

Huyu dogo, alipokuja kutoka mkoa nilimpokea mwenyewe hata smartphone alikua hana, ila ni mtundu kuchezea simu, hivyo alivyozoea maeneo ya ofisi, watu walikua wanamletea simu zikiwa na shida ndogo ndogo mfano settings anarekebisha.

Humo humo kurekebisha simu akauziwa ki smart kibovu kwa 45k akaanza kudema dema nacho, akafungua page/akaunti kila mtandao (fb, Instagram, tikitoko, youtube).

Maswali yakawa mengi kwangu, blaza nikitaka youtube wanilipe nifanyaje fanyaje??mara META wamefanya hivi mara vile. kupunguza mambo mengi nikaamua kumu introduce kwa chatgpt nikamwambia ukitaka usaidizi au ukiwa na swali lolote uliza chatgpt itakujibu kwa uhakika zaidi maana mie mengine siyajui(nikawa nimempiga chura teke)

Juzi kati kaja kunionesha dashboard yake ya Facebook wameshamlipa dola 1200+ huku mie born hia hia sijawahi kulipwa kwa dola tangu nizaliwe pamoja na utoto wangu wa mjini.

Dogo hataki hata mshkaji wangu(bosi wake) ajue kama amelipwa madola kwenye mtandao, na mshkaji kila akija ofisini yeye ni kumlalamikia dogo "yaani kila siku upo bize na simu kuangalia upuuzi, huingizi chochote unapoteza bando la buuure badala ya kuwatumia wazazi wako"

Laiti kama mshkaji angejua dogo ameshaanza kukunja vi milioni milioni aseee nahisi angemfukuza hata kazi kwa wivu, sema ndio hivyo dogo kapiga kimya na mie nimepiga kimya sababu hayanihusu
Kaka we ni genious umenielewesha, hawa wengine wao nikutukana tu
 
Kodi 170k unaona jamaa ana hela nyingi mpaka unaanzisha uzi jf? Hii nchi ina umaskini mkubwa sana
Usidandie treni kwa mbele ukiwa uchi umeinana, nmesema ni mgeni mwisho nikamalizia historia yake naijua case sio LAKI sabini KESI historia yake naijua, alafu mpaka sasa hujalala unafanya nini wewe, SI kibaka wewe
 
170K mbona hela ndogo sana mkuu 170K uki-break down kwa siku haizidi hata elfu sita .

Sijui umasikini umekuwa mkubwa sana au nini inakuaje ushangae Kodi ya 170K ambayo kwa siku ni kama elfu tano na miatano .
 
Haiwezekani kuishi Maisha ghali Kwa kuuza bundles pekee.hata customer base iwe kubwa vipi.pale huwa wanaambulia elfu tatu,mbili au elfu nne.ni kazi sio rahisi pia kupata mteja Kwa maana ya kutoaminiana haswa hawa mtandaoni.inaweza kumsaidia kupata mahitaji ya msingi lakini kuishi expensive life haiwezi.
Mi nna rafiki ni analala tu ndani hata siku tatu hatoki nje.namuuliza we vipi jobless kama mie😊
Ananiambia mie winga naungaunga tu Maisha yanaenda.kuna muda napata oda mambo yanakuwa mazuri,Kuna muda upepo unakuwa mbaya lakini Kwa mwezi sikosi laki mbili napata Kodi na ya kula.kuna muda Hadi Hela ya umeme anakopa Kwa wengine atarudisha akipata.
Mwanzoni sikutilia maanani but naona ni reasonable.na kazi zake naziona

Sio vema kufatiliana Maisha,but kufahamiana ni muhimu.uko sahihi
Ila kama una mashaka nae kwamba anaweza kuwa na mishe Haram zikakcost sababu ya ukaribu nae keep your distance.kaa mbali nae.
Mjini Kuna mengi ya Siri hutoyajua yote.
Na kufatilia in deep utajikuta unaitwa mmbeya na sio sifa nzuri
 
Kwahiyo kulipa Kodi 170K ni expensive life ?

Uki-break down 170K kwa siku ni sh.ngapi

Ni sawa na 5500

Ur too kid in this life

Ikiwa unaamini kulipa rent 170K na kuendesha maisha ya Kila siku ni expensive life.

Itakuwa rate ya umasikini imekuwa kubwa sana Tanzania

Yaani ili MTU alipe rent 170K anabidi kufanya illegal stuffs

Mwanamke kama wewe binafsi siwezi kuwa na wewe una akili za kimasikini sana.
 
Kwahiyo kulipa Kodi 170K ni expensive life ?

Uki-break down 170K kwa siku ni sh.ngapi

Ni sawa na 5500

Ur too kid in this life

Ikiwa unaamini kulipa rent 170K na kuendesha maisha ya Kila siku ni expensive life.

Itakuwa rate ya umasikini imekuwa kubwa sana Tanzania

Yaani ili MTU alipe rent 170K anabidi kufanya illegal stuffs

Nigger
"huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month"

Anyway mie ni mawazo yangu tu,mapovu peleka kulee!
 
"huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month"
Hapo mleta mada ni kama anashangaa,huyo jamaa yake anawezaje kulipa kodi kubwa kiasi hicho?
Nilimpa ushauri mwanzoni kabisa mwa uzi huu kua aache kufuatilia maisha ya watu,
Akajifanya kichwa ngumu,wachangiaji wengi wamemshangaa kufuatilia life la wengine,

Maisha hayapo hivyo,hata wewe huwezi kupenda mtu afuatilie maisha yako.
 
Ni kweli kabisa.kuchimba maisha ya watu in deep sio vizuri,hata mie sitapenda
mi pale nimempa ufafanuzi tu
Mwisho wa siku Maisha ya jamaa yake amwachie mwenyewe.
 
We ni MTU mjinga Kodi ya 170K ni expensive life ?
Sijasema 170k ni expensive life nimesema huwezi kufanya mishe ndogo mfano ya kuingiza 3000 pekee ukaishi expensive life.labda uwe na hustle nyingine zinzochangia kipato chako.

Ni kama niseme mie nauza maandazi Kila asubuhi halafu nakukaribisha kwangu Nalipa Kodi 300k per month.na unajua nauza maandazi mtaani.
Hapo ukinichimba utakuwa mmbeya.inabidi uishie hapo kwenye maandazi.
Ndio nlichomshauri mtoa mada

Anyway napokea matusi na majina yote.kuna wengine mnaamkaga vibaya.
 
Haiwezekani kuishi Maisha ghali Kwa kuuza bundles pekee.hata customer base iwe kubwa vipi.pale huwa wanaambulia elfu tatu,mbili au elfu nne.ni kazi sio rahisi pia kupata mteja Kwa maana ya kutoaminiana haswa hawa mtandaoni.inaweza kumsaidia kupata mahitaji ya msingi lakini kuishi expensive life haiwezi.
Mi nna rafiki ni analala tu ndani hata siku tatu hatoki nje.namuuliza we vipi jobless kama mie😊
Ananiambia mie winga naungaunga tu Maisha yanaenda.kuna muda napata oda mambo yanakuwa mazuri,Kuna muda upepo unakuwa mbaya lakini Kwa mwezi sikosi laki mbili napata Kodi na ya kula.kuna muda Hadi Hela ya umeme anakopa Kwa wengine atarudisha akipata.
Mwanzoni sikutilia maanani but naona ni reasonable.na kazi zake naziona

Sio vema kufatiliana Maisha,but kufahamiana ni muhimu.uko sahihi
Ila kama una mashaka nae kwamba anaweza kuwa na mishe Haram zikakcost sababu ya ukaribu nae keep your distance.kaa mbali nae.
Mjini Kuna mengi ya Siri hutoyajua yote.
Na kufatilia in deep utajikuta unaitwa mmbeya na sio sifa nzuri
We una akili mkuu, hawa wengine wao kutukana tu ka mazezeta
 
Back
Top Bottom