Nimeshangaa badala wani eleweshe wanani tolewa povuHaiwezekani kuishi Maisha ghali Kwa kuuza bundles pekee.hata customer base iwe kubwa vipi.pale huwa wanaambulia elfu tatu,mbili au elfu nne.ni kazi sio rahisi pia kupata mteja Kwa maana ya kutoaminiana haswa hawa mtandaoni.inaweza kumsaidia kupata mahitaji ya msingi lakini kuishi expensive life haiwezi.
Mi nna rafiki ni analala tu ndani hata siku tatu hatoki nje.namuuliza we vipi jobless kama mieš
Ananiambia mie winga naungaunga tu Maisha yanaenda.kuna muda napata oda mambo yanakuwa mazuri,Kuna muda upepo unakuwa mbaya lakini Kwa mwezi sikosi laki mbili napata Kodi na ya kula.kuna muda Hadi Hela ya umeme anakopa Kwa wengine atarudisha akipata.
Mwanzoni sikutilia maanani but naona ni reasonable.na kazi zake naziona
Sio vema kufatiliana Maisha,but kufahamiana ni muhimu.uko sahihi
Ila kama una mashaka nae kwamba anaweza kuwa na mishe Haram zikakcost sababu ya ukaribu nae keep your distance.kaa mbali nae.
Mjini Kuna mengi ya Siri hutoyajua yote.
Na kufatilia in deep utajikuta unaitwa mmbeya na sio sifa nzuri
Ohoooooooo atasaaaaaaaHahahahahaaaš¤£š¤£š¤£š¤£ emu ngoja nicheke, Yani niache nyumba yangu, nije kulala ulaya kwenye vibaraza vya maduka, ya wakina McDonald's SI takua mjinga wa Karne,
Mkizeeka mkija huku mnaita huruma na miwani makuubwaa, ka fundi welding, vimechoka ka nini
Nisikilize kubwa jinga nisikilize, hiyo laki na sabini ni kubwa inategemea mahala, mfano Kuna mikoa hiyo Kodi unakodisha nyumba nzima unasemaje SI expensive life kama mtu anakodi sehemu kubwa kwa uwezo wake? Hata bakresa akienda kwa Elon musk anaonekana fukara tuWe ni MTU mjinga Kodi ya 170K ni expensive life ?
Ikiwa una ukaribu naye kiasi hicho kwanini usiende huko anapo waunganishia bundle wateja wake. Umwambie awaunge uone anafanyeje anaingiza pesa kiasi gani kwa siku ujiridhishe?Hata akiiingiza milioni kwa siku hawezi nitetemesha, hata yeye anafahamu kwamba nauliza kwa watu ili nijue na nimemfahamisha kuwa tauliza kwa watu wewe unapoyoka tu
Humu Kuna watu wana taaluma mnalimbali tuna maagent humu wa mitandao nikaona nianzie kwenu nijiridhishe, lakini badala ya kupewa ilimu natukanwa as if naongea na wahuni wa tandaleIkiwa una ukaribu naye kiasi hicho kwanini usiende huko anapo waunganishia bundle wateja wake. Umwambie awaunge uone anafanyeje anaingiza pesa kiasi gani kwa siku ujiridhishe?
Kweli wewe ni kama kaka kwake?Mbona upo slow kujiongeza kama wakubwa wafanyavyo?
Mchicha Pori au sio?kwa navo mjua historia yake mmmh
Teh mkuu umenikumbusha, kuna mubaba flan alikuwa anataka kaharage, ana pesa vibaya mno, anatembea na milioni 50 kwenye gari za kula bata mjini hapa, uzalendo ukanishinda, nikamuuliza hivi we unafanya kazi gani hapa mjini, maana toka asubuhi we kila siku ni bata tu, akaniambia anauza kashata feriš¤£š¤£š¤£....huyu ndo alinifundisha ku mind my own businesshata mimi ukiniuliza nafanya shuhuli gani nitakwambia ni dalali wa uyoga pia na kampuni ya kuvuna mwanga wa mbwalamwezi na kuuza jumla na rejareja
Oya mwanetu kwani vipi?Humu Kuna watu wana taaluma mnalimbali tuna maagent humu wa mitandao nikaona nianzie kwenu nijiridhishe, lakini badala ya kupewa ilimu natukanwa as if naongea na wahuni wa tandale
Mkuu hata hela ya kula kasheshe, juzi tu hapa alikua na Hali ngum sana, eti Leo Kalipuka hivo hata mwaka hujaisha, nikapata mashaka ka kaka mtuMchicha Pori au sio?
Na kaharage kako ukampatia akakafokoa au sio?Teh mkuu umenikumbusha, kuna mubaba flan alikuwa anataka kaharage, ana pesa vibaya mno, anatembea na milioni 50 kwenye gari za kula bata mjini hapa, uzalendo ukanishinda, nikamuuliza hivi we unafanya kazi gani hapa mjini, maana toka asubuhi we kila siku ni bata tu, akaniambia anauza kashata feriš¤£š¤£š¤£....huyu ndo alinifundisha ku mind my own business
Nenda kazipitie upya zile epstein files utaelewa jamboMkuu hata hela ya kula kasheshe, juzi tu hapa alikua na Hali ngum sana, eti Leo Kalipuka hivo hata mwaka hujaisha, nikapata mashaka ka kaka mtu
Mkuu samahan, ila mwamba aliichapa mbususu yako?Teh mkuu umenikumbusha, kuna mubaba flan alikuwa anataka kaharage, ana pesa vibaya mno, anatembea na milioni 50 kwenye gari za kula bata mjini hapa, uzalendo ukanishinda, nikamuuliza hivi we unafanya kazi gani hapa mjini, maana toka asubuhi we kila siku ni bata tu, akaniambia anauza kashata feriš¤£š¤£š¤£....huyu ndo alinifundisha ku mind my own business
Nje ya mada.Teh mkuu umenikumbusha, kuna mubaba flan alikuwa anataka kaharage, ana pesa vibaya mno, anatembea na milioni 50 kwenye gari za kula bata mjini hapa, uzalendo ukanishinda, nikamuuliza hivi we unafanya kazi gani hapa mjini, maana toka asubuhi we kila siku ni bata tu, akaniambia anauza kashata feriš¤£š¤£š¤£....huyu ndo alinifundisha ku mind my own business
Tafuta kazi halali kijana we ni kibaka unajificha kwenye kazi ya bodaboda kumbe mkabajiMwanaume mzima tu huoni aibu kufuatilia maisha ya mwenzio
Yaan we unatishia watu matusi humu , hujui hapa ndo kiwanda kinachochakata matusi? Kuna watu wamepinda humu, utatukanwa hadi ukimbie uzi wako!Mnataka matusi sio? Nina kauli tata msije niombea ban, shauri zenu
Aliichapa mtu kutembea na milioni hamsini kwa hawa dada zetu, hakuna wakuchomoa alafu mmoja wao akampiga chini mwenzie, maisha hayaNje ya mada.
Vipi kaharage alipewa? š
Usiji changanye dada angu usije nichukia Bure mi huwa na matusi mabaya,Yaan we unatishia watu matusi humu , hujui hapa ndo kiwanda kinachochakata matusi? Kuna watu wamepinda humu, utatukanwa hadi ukimbie uzi wako!