MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
- Thread starter
- #61
Maisha gani ya kwako, auTabia za Kiswahili za kufuatilia maisha ya watu zinakera sana.
Maisha gani ya kwako, auTabia za Kiswahili za kufuatilia maisha ya watu zinakera sana.
Lete dada yako atakupa jibuWe mtoto wa kiume kweli?
Sawa msaganajiHuna lolote la kunifanya
Tuliza kipwinto hiko
na wewe mwambie rafiki yako unafanyankazi Jf kitengo cha manger doctor wa JfWivu gani? nimeuliza ili nijirizishe kosa lipi hapo, we afya yako inapata shida unaenda kupima, maana yake ujirizishe, na ndo utaratibu huwezi kaa na mtu hujui shughuli zake anakuja kwangu kama jambazi SI atanidhuru
Endelea kufatilia maisha ya wanaume wenzakoLete dada yako atakupa jibu
hufai kuwa mpelelezi wewe fani yako ni unoko..Hujanielewa mkuu, simuonei wivu na kazi zangu vizuri tu, yeye huja kwangu kunisalimia watu humuona na wanajua ni mshikaji wangu Sasa lazima nimpeleleze mkuu, ili kujihami mapema, hapo shida nini?
Sawa nawe mwambie rafiki yako upo ulaya ni barmaid wa club za uchochoronina wewe mwambie rafiki yako unafanyankazi Jf kitengo cha manger doctor wa Jf
Sawa ebitokeEndelea kufatilia maisha ya wanaume wenzako
SAWA ashabokohufai kuwa mpelelezi wewe fani yako ni unoko..
😂😂😂Sawa nawe mwambie rafiki yako upo ulaya ni barmaid wa club za uchochoroni
umekariri jambazi ndo hana kazi..acha kukariri wapo ni wafanyabiashara wakubwa na mitaji mikubwa lakin n watu wa hakuna kulala acha kukariri wewe..huyo unamuonea wivu.Wivu gani? nimeuliza ili nijirizishe kosa lipi hapo, we afya yako inapata shida unaenda kupima, maana yake ujirizishe, na ndo utaratibu huwezi kaa na mtu hujui shughuli zake anakuja kwangu kama jambazi SI atanidhuru
unaishi kwa wasiwasi sana hujiamini..SAWA ashaboko
Umenishitua, we ni lijambazi eti?umekariri jambazi ndo hana kazi..acha kukariri wapo ni wafanyabiashara wakubwa na mitaji mikubwa lakin n watu wa hakuna kulala acha kukariri wewe..huyo unamuonea wivu.
Uyu dogo mpaka Facebook wamlipe ela hiyo hapa tanzania anafanya,biashara gani???Mitandao Inalipa sana ndugu zangu, mimi binafsi kuna dogo namfahamu ni mfanyakazi ofisi ya mshkaji wangu.
Dogo ana kama miaka 2 pale ofisini, hana mshahara, mara nyingi huwa anapewa posho ya buku tano kwa siku, kula juu yake, kulala ndio analala kwa bosi.
Huyu dogo, alipokuja kutoka mkoa nilimpokea mwenyewe hata smartphone alikua hana, ila ni mtundu kuchezea simu, hivyo alivyozoea maeneo ya ofisi, watu walikua wanamletea simu zikiwa na shida ndogo ndogo mfano settings anarekebisha.
Humo humo kurekebisha simu akauziwa ki smart kibovu kwa 45k akaanza kudema dema nacho, akafungua page/akaunti kila mtandao (fb, Instagram, tikitoko, youtube).
Maswali yakawa mengi kwangu, blaza nikitaka youtube wanilipe nifanyaje fanyaje??mara META wamefanya hivi mara vile. kupunguza mambo mengi nikaamua kumu introduce kwa chatgpt nikamwambia ukitaka usaidizi au ukiwa na swali lolote uliza chatgpt itakujibu kwa uhakika zaidi maana mie mengine siyajui(nikawa nimempiga chura teke)
Juzi kati kaja kunionesha dashboard yake ya Facebook wameshamlipa dola 1200+ huku mie born hia hia sijawahi kulipwa kwa dola tangu nizaliwe pamoja na utoto wangu wa mjini.
Dogo hataki hata mshkaji wangu(bosi wake) ajue kama amelipwa madola kwenye mtandao, na mshkaji kila akija ofisini yeye ni kumlalamikia dogo "yaani kila siku upo bize na simu kuangalia upuuzi, huingizi chochote unapoteza bando la buuure badala ya kuwatumia wazazi wako"
Laiti kama mshkaji angejua dogo ameshaanza kukunja vi milioni milioni aseee nahisi angemfukuza hata kazi kwa wivu, sema ndio hivyo dogo kapiga kimya na mie nimepiga kimya sababu hayanihusu
Sasa hata kama angekuwa jambazi unadhani ukimuuliza ndo utaupata ukweli, live your life kikubwa hana madhara au dalili za madhara kwakoTulia mkuu, huwezi kua na urafiki na mtu hujui mishe zake we ni mgeni mjini hapa, kama ni jambazi, hujui kua utaisha kizembe sana
Kwanini unadadisi maisha ya watu? Tafuta vyako... Tulishakatazwa kutangaza mambo yetu. Na tulijua ulikuwa unatafuta cha kuja kuandikanilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB
Ila wewe ni maskini kinyama. 170k unaona jamaa ana hela nyingi? Mtu kama wewe ni wa kuepukwa. Inaonyesha kijana alishakuona una wivu wa kishenzi akaamua kuhama. Keep yourself busy mkuu itakuepusha na matatizo yasiyokuwa ya lazima.Huyu kijana ni mpangaji tu ni mtu tunapiga nae sana stori maisha yake yanakimbia sana, nilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB, nikapata mashaka je hii inaweza kuwa kweli.
So kwa ubaya ila nimekutana nae nikamuuliza sikuoni Sasa wapi, akadai kahamia, kwa muarabu, huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month, kwa navo mjua historia yake mmmh
Achana nae sio lazima awe rafiki akoTulia mkuu, huwezi kua na urafiki na mtu hujui mishe zake we ni mgeni mjini hapa, kama ni jambazi, hujui kua utaisha kizembe sana