Aizat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2025
- 247
- 651
Hapana mkuu, haya mababa siyo ya kuyamanulia, yanamiliki mtambo wa Songas...nilikula vihela hela nikakimbia!Nje ya mada.
Vipi kaharage alipewa? 😄
Hapana mkuu, haya mababa siyo ya kuyamanulia, yanamiliki mtambo wa Songas...nilikula vihela hela nikakimbia!Nje ya mada.
Vipi kaharage alipewa? 😄
Ni kama mdogo wangu nimempokea mjini akipata tatizo takua responsible why nisimfatilie, tunasubiri apate tatizo ndo nianze kutangatangaWabongo wengi tunapenda kufatilia maisha ya watu. Tunaamini ili mtu aishi maisha mazuri lazima atoke kufanya kazi kila siku. Hayo maisha yalisha isha huku 2000s
Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi online kutwa nzima nipo ndani na computer.Wabongo wengi tunapenda kufatilia maisha ya watu. Tunaamini ili mtu aishi maisha mazuri lazima atoke kufanya kazi kila siku. Hayo maisha yalisha isha huku 2000s
Pole mkuu dunia ya Sasa jitahidi kuwaelewesha watu hata kwa kiwadanganya kuwatoa hofu usijifanye hutaki kufatiliwa ukiona hutaki kuchunguzwa kaishi poriniKuna kipindi nilikuwa nafanya kazi online kutwa nzima nipo ndani na computer.
Majirani na ndugu wakaanza kelele eti sifanyi kazi nashinda ndani.
Nitakuwa nawapa mimba house maids.
Huyo mubaba mpole mimi ule pesa zangu alafu unichenge, unaanzia wapiHapana mkuu, haya mababa siyo ya kuyamanyulia, yanamiliki mtambo wa Songas...nilikula vihela hela nikakimbia!
Wengi ni wajinga wajinga hawaamini mtu unaweza kukaa ndani ukatengeneza mtonyo na ukaishi maisha mazuri.Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi online kutwa nzima nipo ndani na computer.
Majirani na ndugu wakaanza kelele eti sifanyi kazi nashinda ndani.
Nitakuwa nawapa mimba house maids.
100% nchii ina watu wajinga sanaWengi ni wajinga wajinga hawaamini mtu unaweza kukaa ndani ukatengeneza mtonyo na ukaishi maisha mazuri.
Huyu fala ana wivu tu alikua anakulana na huyo kijana sasa kahamia kwa mwarabu anafokolewa huko ye anafungua thread hapa.Umbeya tu na roho za korosho, ukipenda kuchunguza mwanaume mwenzio anapataje pesa utakuja kutamani kuolewa siku moja.
namashaka na wewe..kwanza hujiamini na unahofu huenda ukawa mmoja wao..we una mtilia mashaka mwenzio anayetafuta hela mtandaoni au unahisi anapeleleza magendo yako? Ebu acha hzo tabia za wivu wakijinga.Umenishitua, we ni lijambazi eti?
huwezi kumchunguza mtu kwa kumuanika mtandaoni naludi tena huwezi kumchunguza mtu kwa kumuanika direct mtandaoni..huna mbinu za kijasusi wewe wivu unakusumbua.HUMU WENGI HAMNA KAZI ZA HALALI, MNA MISHE MBOVU, HUYU NI MDOGO WANGU KAMA KAANZA KUIBA, USHOGA NK AKIPATA MATATIZO NANI ABEBE MZIGO WAKE KAMA SI MIMI, WHY NISIMCHUNGUZE MAPEMA?
WAHENGA WALINENA USIPO ZIBA UFA UTAJENGA UKUTA
mzee ww unachukulia poa au anavyokwambia anaunga watu MB ukafikiri MB za hii mitandao local kuna madogo wataalam wanaunga watu unlimited internet kwa watu wenye simu zinazo support E sim usikalili maishaHuyu kijana ni mpangaji tu ni mtu tunapiga nae sana stori maisha yake yanakimbia sana, nilipo mdadisi akadai kazi yake nikuunga watu MB, nikapata mashaka je hii inaweza kuwa kweli.
So kwa ubaya ila nimekutana nae nikamuuliza sikuoni Sasa wapi, akadai kahamia, kwa muarabu, huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month, kwa navo mjua historia yake mmmh
Kama hayakuhusu mbona umewashwa hadi kuja kutangaza hukuMitandao Inalipa sana ndugu zangu, mimi binafsi kuna dogo namfahamu ni mfanyakazi ofisi ya mshkaji wangu.
Dogo ana kama miaka 2 pale ofisini, hana mshahara, mara nyingi huwa anapewa posho ya buku tano kwa siku, kula juu yake, kulala ndio analala kwa bosi.
Huyu dogo, alipokuja kutoka mkoa nilimpokea mwenyewe hata smartphone alikua hana, ila ni mtundu kuchezea simu, hivyo alivyozoea maeneo ya ofisi, watu walikua wanamletea simu zikiwa na shida ndogo ndogo mfano settings anarekebisha.
Humo humo kurekebisha simu akauziwa ki smart kibovu kwa 45k akaanza kudema dema nacho, akafungua page/akaunti kila mtandao (fb, Instagram, tikitoko, youtube).
Maswali yakawa mengi kwangu, blaza nikitaka youtube wanilipe nifanyaje fanyaje??mara META wamefanya hivi mara vile. kupunguza mambo mengi nikaamua kumu introduce kwa chatgpt nikamwambia ukitaka usaidizi au ukiwa na swali lolote uliza chatgpt itakujibu kwa uhakika zaidi maana mie mengine siyajui(nikawa nimempiga chura teke)
Juzi kati kaja kunionesha dashboard yake ya Facebook wameshamlipa dola 1200+ huku mie born hia hia sijawahi kulipwa kwa dola tangu nizaliwe pamoja na utoto wangu wa mjini.
Dogo hataki hata mshkaji wangu(bosi wake) ajue kama amelipwa madola kwenye mtandao, na mshkaji kila akija ofisini yeye ni kumlalamikia dogo "yaani kila siku upo bize na simu kuangalia upuuzi, huingizi chochote unapoteza bando la buuure badala ya kuwatumia wazazi wako"
Laiti kama mshkaji angejua dogo ameshaanza kukunja vi milioni milioni aseee nahisi angemfukuza hata kazi kwa wivu, sema ndio hivyo dogo kapiga kimya na mie nimepiga kimya sababu hayanihusu
Mkuu kipindi nafokolewa ulikuwepo? Nikikuita mbumbu takua nimekukosea adabu?Huyu fala ana wivu tu alikua anakulana na huyo kijana sasa kahamia kwa mwarabu anafokolewa huko ye anafungua thread hapa.
Sema nikupe namba zake aka kupe chochote kitu chawa etinamashaka na wewe..kwanza hujiamini na unahofu huenda ukawa mmoja wao..we una mtilia mashaka mwenzio anayetafuta hela mtandaoni au unahisi anapeleleza magendo yako? Ebu acha hzo tabia za wivu wakijinga.