MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
- Thread starter
- #141
Sio lengo langu lengo langu nikujiridhisha kazi anayofanya mi kama kakaNawe muombe akuunge ama akufundishe kabisa kuunga watu
Sio lengo langu lengo langu nikujiridhisha kazi anayofanya mi kama kakaNawe muombe akuunge ama akufundishe kabisa kuunga watu
Unajua mana ya kumuanika mtu unaijua hata picha yake Sasa hapo nime muanikajehuwezi kumchunguza mtu kwa kumuanika mtandaoni naludi tena huwezi kumchunguza mtu kwa kumuanika direct mtandaoni..huna mbinu za kijasusi wewe wivu unakusumbua.
Njoo geto nikuonesheSorry jinsia yako tuanzie hapo kwnz.
Kazi ni kipimo cha utu
Ndio elimu nilio kua naitakamzee ww unachukulia poa au anavyokwambia anaunga watu MB ukafikiri MB za hii mitandao local kuna madogo wataalam wanaunga watu unlimited internet kwa watu wenye simu zinazo support E sim usikalili maisha
fikiri kabla ya kutenda..nenda kamuombe msamaha mdogo wako umemkosea sana kumuhisi vibaya hali yakuwa hajakuibia kitu chochote..wewe unadhani maeneo unayoishi ni wewe tu ndo unatumia jamii forum? Hyo code ya kuhamia ghorofani unadhani hajulikani?Unajua mana ya kumuanika mtu unaijua hata picha yake Sasa hapo nime muanikaje
sina shda na namba yake ila kuna kitu nakufundisha siku nyingne usiludie makosa...Sema nikupe namba zake aka kupe chochote kitu chawa eti
Hayanihusu kuhusu dogo na bosi wake.Kama hayakuhusu mbona umewashwa hadi kuja kutangaza huku