Anadanga akiwa na mimba

Mkuu huna Namba zake huyo jirani,,nitumie pm mkuu.

Mwanamke akiwa na mimba anakuwaga mtamu Sana ,,

Sijuwi kwann..
 
Hyuo ni Malaya toka mwanzo sema huyo fala yeye ni zuzu na bazazi kaoa Malaya bila kujua. KATAA NDOA KATAA KUOA
 
Halafu unaweza ukakuta jamaa mimba sio yake.Wanawake wa karne hii wamepinda.
 
Unamlaumu bure, ukute alidanga apate hela ya pampasi kuna wanaume ni irresponsible
 
Unamlaumu bure, ukute alidanga apate hela ya pampasi kuna wanaume ni irresponsible
sawa kuna wanaume irresponsible but huyo mtoto atakapo zaliwa tutamweka kwenye mazingira gani?ukuaji wake utakuaje?..Mumewe anajitahidi sema sisi wanawake haswa hawa wakiswahili kazi yao ni kuendekeza vitu vya kijinga mbele .Mtu akiona mwenzie kapika nyama yeye akiona siku hio anapika mchicha ananyong’onyea mno wakati ni vitu vya kawaida tu…leo unacho utapika vizuri na kesho huna utakula tu kawaida ila ukisema uishi maisha ya kushindana na kujinyima furaha ndio utaanza Umalaya !
 
Namfahamu jina lake linaanzia A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…