Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyuo ni Malaya toka mwanzo sema huyo fala yeye ni zuzu na bazazi kaoa Malaya bila kujua. KATAA NDOA KATAA KUOAKuna jirani yangu jana aliingia matatizoni na simu kuvunjwa vipande vipande, yaani sisi wanawake sijui tuna matatizo gani?
Yaani unakuta mtu ana mimba halafu anafanya umalaya. Mumewe akiwa kazini yeye anafanya kutoka usiku na kwenda kwenye ushenzi wake. Anafanya kulichomekea tumbo lisionekana sana kisha anatoka.
Jana kajidhalilisha sana, hebu wanawake wenzangu/wasichana tuwe watulivu kwenye mahusiano na kuwa waaminifu. Haipendezi kwa mwanamke kuwa na macho ya nje, hebu tuitambue thamani yetu basi!
Huwa tunasema wanaume ni wabaya ila mengine tunajitakia wenyewe.
sawa kuna wanaume irresponsible but huyo mtoto atakapo zaliwa tutamweka kwenye mazingira gani?ukuaji wake utakuaje?..Mumewe anajitahidi sema sisi wanawake haswa hawa wakiswahili kazi yao ni kuendekeza vitu vya kijinga mbele .Mtu akiona mwenzie kapika nyama yeye akiona siku hio anapika mchicha ananyong’onyea mno wakati ni vitu vya kawaida tu…leo unacho utapika vizuri na kesho huna utakula tu kawaida ila ukisema uishi maisha ya kushindana na kujinyima furaha ndio utaanza Umalaya !Unamlaumu bure, ukute alidanga apate hela ya pampasi kuna wanaume ni irresponsible
Namfahamu jina lake linaanzia AKuna jirani yangu jana aliingia matatizoni na simu kuvunjwa vipande vipande, yaani sisi wanawake sijui tuna matatizo gani?