Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji kujua kwa anaejua hizi simu ziko good niichukue au niipotezee msaada tafadhali