Naona bajeti yake imebanaSimu ya mwaka 2017?
Ina maana simu mpya huzioni
Simu za android zenye physical home button kwa mwaka 2022 kwangu naona checheView attachment 2329566View attachment 2329567
Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji kujua kwa anaejua hizi simu ziko good niichukue au niipotezee msaada tafadhali
Majanga sana iyo kitu ilinikutaga izo simu za Zanzibar ndio majanga yake ukitoka nje ya mji inakamata GKyocera ni wakorea, hiko ni kikorea si kichina.
Sd 430, ram 3GB, battery 3000mah, storage 32GB amdroid 7. Si mbaya kwa hio bei 90k, sema usitegemee maajabu mkuu, matumizi ya kawaida kupiga na whatsapp itafanya ila task yoyote nzito sahau.
Ila haina band 800 na 2600 za 4g ina band 1800 tu, Tigo 4G utapata katikati ya jiji pembeni na mikoani hutapata, same kwa halotel 4g.
Mkuu natambua unachokisema ila ni bora ujibane bane ujivute hadi 250k upate kisamsung cha A series cha mwaka jana ama mwaka huu ambacho una uhakika utafurahia kua na kismat phone kuliko hizo za mwaka 2017.Naona bajeti yake imebana
Me naombeni kujuwa utaratibu wa kuingia Zanzibar, na nauli ni kiasi gani pia gharama za loage huko zinaendaje, nilifikili kwenda kuchukua vitu kule
asante mkuu, vip hata Simu TRA wanakagua yaani vitu vidogo vidogo vinavyobebeka kwenye bagNauli zina madaraja nadhani economy ni 25,000 then zile VIP ni zaidi ya hiyo.
Lodge ndo naambiwa zimechangamka sana yaan sana tu.
Kuchukua vitu kule bei inaweza kuwa chini kidogo ila ukifika bandarini pale baggage room utakutana na wazee wa TRA kama kawaida
asante mkuu, vip hata Simu TRA wanakagua yaani vitu vidogo vidogo vinavyobebeka kwenye bag
Pamoja sanaHizo za kwenye begi dogo sio rahisi kukagua au ukibeba mfukoni kawaida hawana issue
Shida ni pale umepakiza kama mzigo (cargo) hapo lazima upite baggage room wakunyooshe kidogo