Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania

Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania.

Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani.

Tofauti na zamani
Mdee
Bulaya
Boniface Jackub
Salum Mwalim
Kigaira
 
Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania.

Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani.

Tofauti na zamani
Mdee
Bulaya
Boniface Jackub
Salum Mwalim
Kigaira
Usiye amini hilo ni kuwa ama wewe ccm ama chawa wao ila ukweli huwa ni mchungu zaidi ya shubiri ila kwakuwa ni tiba shurti uinywe na kwa kuwa unaumwa!
 
Sisi chadema tunaamin katika misingi na taratibu za chama hatuamin katika WATU ndio maana chama kipo had Leo

Tofaut na kwenu mnaamin katika mtu kwenu CCM mwenyekiti ndio Kila kitu hata kama hajui kuhesabu akisema mafuta lita dola 800 wote mnaitikia

Samahana hv anayejiità RAIS form four matokeo yake yalikuwajeee
 
Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania.

Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani.

Tofauti na zamani
Mdee
Bulaya
Boniface Jackub
Salum Mwalim
Kigaira
Huna akili. Haya kajivike mabomu unamused Trump.
 
Back
Top Bottom